×

Aliyemuua Mtoto Wake kwa Panga Ahukumiwa Kunyongwa Hadi Kufa

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Bukoba imemuhukumu kunyongwa hadi kufa Melchedes Burchard (30) mkazi wa Kiluluma mkoani Kagera kwa kukutwa na...

READ MORE

Membe Achukua Fomu ya Urais NEC

Mgombea wa kiti cha Urais kwa tiketi ya chama cha ACT Wazalendo Bernard Membe amechukua fomu ya kuwania Urais wa...

READ MORE

Mgombea Urais ADC, Queen sendiga Achukua Fomu NEC

  Mgombea kiti cha Urais kwa tiketi ya Allance for Democratic Change ADC Queen sendiga akiwa na mgombea mwenza Shoka...

READ MORE

Azam Rasmi Yamruhusu Sure Boy Kutua Yanga

RASMI uongozi wa Azam FC umekubali kumruhusu kiungo wao mkongwe fundi, Salum Abubakary ‘Sure Boy’ kujiunga na Yanga kwenye msimu...

READ MORE

Albamu Mpya ya Burna Boy Inatengenezwa na P Diddy

Star wa Muziki wa Nigeria, Burna Boy anajiandaa kuileta album yake mpya “Twice as Tall” na ameweka wazi kuwa album...

READ MORE

Sheikh Majini: Lissu Tumia Maneno ya Busara

MTABIRI na mtaalamu wa visomo na dua, Sheikh Sharrif Majini, amemtaka mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo  (Chadema),...

READ MORE

Maambukizi Virusi vya Corona Afrika Yafikia Milioni 1

ZAIDI ya watu milioni moja wameambukizwa virusi vya Corona barani Afrika.   Kwa mujibu wa takwimu za shirika la habari...

READ MORE

NCCR-Mageuzi Yateua Wagombea Urais – Video

VYAMA vya siasa nchini Tanzania vimeendelea kupitisha majina ya wagombea urais katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, 2020, hatua ambayo...

READ MORE

Kisa Barakoa; Wananchi Waadhibiwa Usiku Uwanjani

BAADHI ya wananchi wa Rwanda wamejikuta katika wakati mgumu baada ya kupewa adhabu ya kukaa saa kadhaa na kusikiliza hotuba,...

READ MORE

Mrembo Afariki Akipiga Picha Kwenye Maporomoko

MWILI wa mrembo Jemima Oresha aliyetumbukia katika maporomoko ya Thompson Falls Nyahururu nchini Kenya, umeopolewa juzi Jumatano, Agosti 5, 2020...

READ MORE

Ujio Wa Kocha Mpya Yanga, Ripoti Kamili Hii Hapa

BAADA ya kutambulisha vifaa vyao vipya ambavyo watavitumia kwa msimu ujao akiwemo beki Bakari Mwamnyeto, mabosi wa Yanga, wiki ijayo...

READ MORE

Ligi ya Mabingwa Yarejea, Robo Fainali Kupigwa leo na Kesho

Michuano mikubwa ya soka Ulaya, inarejea wikiendi hii baada ya mapumziko ya miezi mitano na Meridianbet kama mtayarishaji amefanya la...

READ MORE

Abbas: Miaka 5 ya JPM, Pato Limekua Kwa Kasi – Video

MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbas leo Agosti 7, 2020, ame pato la taifa limekua kwa kasi kutokana na shughuli...

READ MORE

Miaka 22 Shambulio Ubalozi wa Marekani Dar, Nairobi

MWAKA 1998, Agosti 7, majira ya saa 4 asubuhi, siku ya Ijumaa katika mitaa ya Dar es Salaam na viunga...

READ MORE

Msumbiji Yadaiwa Kituo cha Wapiganaji wa Islamic State

  MAREKANI imetahadharisha kuwa makundi ya wanamgambo yameendelea na operesheni zake nchini Msumbiji katika eneo la Kaskazini la Cabo Delgado...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Ijumaa  kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

GSM Yataja Siku Ya Kutua Tonombe, Tuisila Yanga

RASMI Kampuni ya GSM chini ya Mkurugenzi wa Uwekezaji, Injinia Hersi Said imesema kuwa wachezaji wao wa kimataifa wataanza kutua...

READ MORE

Trump: Biden Atamkasirisha Mungu

RAIS  wa Marekani, Donald Trump, amesema kuwa “Joe Biden anakwenda kinyume na Mungu”. Trump ameyasema hayo kufuatia kauli ya Biden ...

READ MORE

Meli ya Msumbiji Yadaiwa Kuhusika Mlipuko wa Beirut

MAMLAKA ya bandari nchini Msumbiji imekanusha madai kwamba meli yake ilikuwa imebeba mzigo uliosababisha mlipuko wa Beirut, kwa mujibu wa...

READ MORE

Mlipuko Beirut: Maandamano Yaitikisa Serikali

WAANDAMANAJI katika mji wa Beirut nchini Lebanon walikabiliana na vikosi vya usalama vya nchini humo  wakipinga serikali siku ya Alhamisi....

READ MORE