×

Mechi za Kufuzu Ligi ya Mabingwa Kukupa Mzigo Mkubwa Leo

Leo tena ni siku nzuri ya wewe kuondoka tajiri na Meridianbet kwani tayari mechi zipo kwaajili yako sasa. Suka jamvi...

READ MORE

Shigongo: Wananchi Wananihitaji, Nitarejea Bungeni – Video

  Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Erick Shigongo, amesema ana matumaini kuwa jina lake litateuliwa kugombea ubunge kupitia Chama...

READ MORE

CCM Kongwa Kuanzisha Upya Zoezi la Kuchukua Fomu za Ubunge Baada ya Kifo cha Ndugai

DODOMA – Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kongwa kimetangaza kuanza tena mchakato wa kuchukua na kurejesha fomu za kuwania...

READ MORE

Uhusiano wa Ruto na Raila Wazua Hali Tete, Gachagua Aingia Kati

Aliyekuwa Naibu Rais wa Kenya Rigathi Gachagua amemshambulia vikali kwa maneno kinara wa chama cha ODM Raila Odinga akimuelezea kuwa...

READ MORE

Saleh Jembe: Simba na Yanga Zimeweka Msingi wa Mafanikio ya Taifa Stars

Mchambuzi mahiri wa soka nchini, Saleh Jembe, amesema kuwa ubora wa klabu kongwe za Simba SC na Yanga SC umechangia...

READ MORE

SportPesa Yamwaga Bilioni 21.7 kwa Yanga, Zawadi Nonoo Ubingwa wa Afrika

Kampuni ya michezo ya kubashiri, SportPesa, imeingia mkataba wa miaka mitatu na Klabu ya Yanga wenye thamani ya Shilingi Bilioni...

READ MORE

Jisajili Na Meridianbet Upate Bonasi Hadi Mara Tatu

Meridianbet inakukaribisha kwenye ulimwengu wa ushindi kwa ofa ya kipekee, ni 1st, 2nd & 3rd Deposit Welcome Bonus. Hii ni...

READ MORE

Ruto Aahidi TSh 48 Milioni kwa Kila Mchezaji Harambee Stars Wakishinda Zambia

Rais wa Kenya, William Ruto, leo amekutana na kikosi cha Harambee Stars na kutoa ahadi nono kuelekea mechi ya mwisho...

READ MORE

Nmb Yadhamini Kongamano La Ngos, Yabainisha Mchango Wa Sekta Ya Fedha Katika Maendeleo Ya Taifa

Benki ya NMB imedhamini na kushiriki kikamilifu Kongamano la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGOs) 2025, lililofanyika Agosti 13 jijini Dodoma,...

READ MORE

Mkutano Wa Wakandarasi Wanawake wapigwa Jeki na Equity Bank, Yapania Kuinua Uwezeshaji Wa Kiuchumi

Equity Bank Tanzania imeendeleza dhamira yake ya kukuza huduma za kifedha kwa wafanyabiashara wadogo na wa kati (MSEs na SMEs)...

READ MORE

CRDB Yazindua Hatifungani ya Kwanza Isiyo na Riba kwa Wawekezaji wa Kiislamu

Katika uzinduzi wa kihistoria wa CRDB Al Barakah Sukuk, Mgeni Rasmi ambae ni Rais wa Awamu ya Nne ya Jamhuri...

READ MORE

CCM Kuanza Harambee ya Bilioni 100 Kesho, Rais Samia Kuongoza Uzinduzi

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ametangaza kuwa chama chake kimepanga kukusanya Shilingi...

READ MORE

Waziri Mkuu Amwakilisha Rais Dkt. Samia Mazishi Ya Hayati Ndugai

Asema aliimarisha ushirikiano kati ya Bunge na Serikali Atoa rai kwa Watanzania kuenzi mema yote aliyoyafanya enzi za uhai wake...

READ MORE

Hayati Job Ndugai Aagwa kwa Heshima Kongwa, Azikwa Kijiji cha Madumbwa

Leo, Agosti 11, 2025, mamia ya waombolezaji wakiwemo waumini, viongozi wa serikali na vyama vya siasa wameungana katika Kanisa la...

READ MORE

M23 Yapinga Tuhuma za Mauaji ya Raia na Kuajiri Askari Watoto Mashariki mwa DRC

Kundi la waasi wa M23 linalodhibiti maeneo ya mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) limepinga tuhuma za kuhusika...

READ MORE

Nani Bingwa wa LALIGA 2025/26?

Wakali wa ubashiri Tanzania wanakwambia kuwa leo hii unaweza ukabashiri nani anaweza kuwa bingwa wa Laliga. Kila timu imepewa ODDS...

READ MORE

Mkutano wa Maafisa Wakuu Jeshi la Polisi Moshi Kufunguliwa na Makamu wa Rais Dkt. Mpango

Jeshi la Polisi nchini linatarajia kufanya Mkutano Mkuu wa mwaka wa Maafisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi kuanzia Agosti...

READ MORE

Kidoa: Wasichana Wengi Waliofanikiwa wametokea Uswahilini

MSANII wa fil amu ambaye pia alikuwa muuza sura kwenye video za Kibongo, Asha Salum ‘Kidoa’ amejisifu kukulia uswahilini na...

READ MORE

Meridianbet Yapanua Wigo wa Michezo, Yaleta Watoa Huduma Wapya

Meridianbet imezidi kupanua upeo wa burudani kwa kuwaletea wateja wake watoa huduma wakubwa wawili wa kimataifa wanaofahamika zaidi kwa ubora...

READ MORE

Elewa Kinachosababisha Kuwa na Kizunguzungu (Dizziness)

Kizunguzungu kisichofahamika chanzo (Benign Paroxysmal Positional Vertigo) – Kizunguzungu hiki hakina athari kubwa kwa maisha ya muhusika. Aina hii ya...

READ MORE