×

Iran Yafanya Mazoezi ya Kuzilenga Meli za Kivita

WANAJESHI wa kikosi cha kulinda mapinduzi cha Iran wamefyatua makombora kukilenga chombo cha mfano wa meli zenye uwezo wa kubeba...

READ MORE

LIVE : Rais Magufuli Akiongoza Mazishi ya KIJESHI ya Hayati Mzee Mkapa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli ameungana na baadhi ya Viongozi wa Tanzania pamoja na...

READ MORE

Nafasi ya Kazi NIT – Tutorial Assistant in Computer Science

POST TUTORIAL ASSISTANT IN COMPUTER SCIENCE – 1 POST POST CATEGORY(S) IT AND TELECOMS EMPLOYER National Institute of Transport (NIT)...

READ MORE

Benki ya NMB Yatoa Milioni 42.5 Maonyesho ya Nanenane Simiyu.

  Benki ya NMB imetoa Shilingi Milioni 42,500,000 kwa ajili ya kudhamini maonyesho ya Nanenane ya yatakayofanyika kitaifa Kanda ya...

READ MORE

Kutoka Lupaso: Ratiba Kamili ya Mazishi ya Rais Mkapa

Ratiba ya Mazishi ya Hayati Benjamin William Mkapa,Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu leo Siku ya Jumatano Tarehe 29 Julai...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Jumatano, Julai 29, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Julai 29 , 2020 Usipitwe na...

READ MORE

Asha Boko Atamani Mzee Majuto Arudi Duniani!  

UKIZUNGUMZIA vipaji vikubwa vya uchekeshaji ambavyo havijawahi kuchuja Bongo, huwezi kuacha kumtaja Asha Boko.   Ni mchekeshaji mkongwe ambaye amekuwa...

READ MORE

Mikakati ‘Babu Kubwa’ Ya Juventus Kubeba Kiatu cha Dhahabu

Stori ni kama zimeisha sasa –kimahesabu Juventus wameshachukua taji lao la 9 la Serie A baada ya kushinda mechi iliyopita...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Risasi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Risasi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Mama Samia Apokea Salam za Rambirambi

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya...

READ MORE

P Funk: Msishangae Siku Nikiokoka

PAUL Matthysse almaarufu kama P Funk, Halfani, Majani, Kinywele Kimoja, ni mtayarishaji mkubwa wa muziki na mmiliki wa Studio za...

READ MORE

Rais JPM Awasili Masasi Kumzika Mkapa – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika uwanja wa ndege wa Mtwara mkoani...

READ MORE

LIVE: Mwili wa Mzee Mkapa Wawasili Nyumbani Kwake Lupaso

Mwili wa Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa umefika nyumbani kwake jioni ya leo Julai 28, 2020 katika Kijiji cha Lupaso mkoani...

READ MORE

Corona Kenya: Vifo, Wagonjwa Waongezeka

IDADI ya watu waliofariki kutokana na ugonjwa wa Covid-19 nchini Kenya inakaribia 300 kulingana na takwimu zilizotolewa na serikali Jumanne....

READ MORE

Waziri Mkuu Jela Miaka 12 kwa Ufisadi

WAZIRI Mkuu wa zamani wa Malaysia, Najib Razak, amekutwa na hatia katika mashtaka saba ya ufisadi yaliyokuwa yakimkabili na kuhukumiwa...

READ MORE

Tessy Jimbo Liko Wazi!

AONGEZE sauti? Sosholaiti matata Bongo ambaye ni baby mama wa staa wa Bongo Fleva, Aslay Isihaka, Katyesia Abdul ‘Tessy Chcolate’...

READ MORE

Jux Kuvuta Jiko Soon

HAYAWI hayawi yanakwenda kuwa! Megastaa wa RnB Bongo, Juma Mussa ‘Jux’ amevunja ukimya kuwa muda umefika wa kuvuta jiko.  ...

READ MORE

Idris Sultan Asomewa Upya Mashtaka

MSANII wa Vichekesho, Idriss Sultan (27) na wenzake wawili wamesomewa upya mashitaka ya kuchapisha maudhui bila leseni ya Mamlaka ya...

READ MORE

Rais JPM Aongoza Viongozi Wakuu Kuaga Mwili wa Mkapa – Pichaz

Rais Magufuli ameongoza hafla ya kumuaga Hayati Benjamin William Mkapa, Rais wa awamu ya Tatu wa Tanzania. Katika hafla hiyo...

READ MORE