×

Mti wa Tambiko Wazua Tafrani

IMANI za kimila zimezua jambo hasa baada ya mti unaodaiwa ni wa tambiko kukatwa na kuleta tafrani kwa wakazi wa...

READ MORE

Zari Alilia Mapenzi

MZAZI mwenziye Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ ametoa kauli inayoashiria moja kwa moja, ana kiu...

READ MORE

Dayna: Siwezi ‘Kum-copy’ Zuchu

MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Mwanaisha Nyange ‘Dayna’, amefunguka kuwa hawezi kuiga style ya uimbaji wa Zuchu. Akizungumza na Amani, Dayna...

READ MORE

Lulu Diva Akoshwa na Nyimbo za Marioo

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Lulu Abas ‘Lulu Diva’ amefunguka kuwa anapenda kusikiliza nyimbo za msanii mwenzake Omary Mwanga...

READ MORE

Richmond Achukua Fomu Kuwania Urais

Mwanasheria Akaro-Simba Richmond amechukua fomu ya kugombea Urais wa Tanzania, kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).   Simba amekabidhiwa...

READ MORE

Kahama: Watuhiumiwa wa Mauaji ya Watu 4 Mgodini Wakamatwa

  Wiki chache baada ya tukio la mauaji ya watu wanne katika mgodi wa wachimbaji wadogo uliopo eneo la namba...

READ MORE

Vodacom yaibuka mshindi wa banda bora la Mawasiliano na Tehama kwenye maonesho ya sabasaba

 Meneja Ruzuku na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Foundation, Sandra Oswald (wa pili kushoto ) pamoja na Msaidizi wa Mipango Vodacom...

READ MORE

Rachel Siwezi Ku-date na Msanii

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Winifrida Joseph ‘Rachel’ amesema katika maisha yake, hajawahi na wala hatarajii kutoka kimapenzi na...

READ MORE

Video: Elfu 30 Tu Kuiona Simba vs Yanga Jumapili Taifa

MASHABIKI watakaoruhusiwa kuutazama mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya nusu fainali, Julai 12, 2020,  ni 30,000. Simba itakuwa uwanjani...

READ MORE

Vodacom yatoa punguzo la bei ya simu janja za Smart Kitochi

Meneja wa maduka ya Rejareja Vodacom Tanzania PlC, Vanessa Mlawi (kulia) akizungumza na waandishi wa habari waliotembelea banda la Vodacom...

READ MORE

Breaking: JPM Amsamehe Kinana, Membe Atimuliwa Mazima – Video

MKUTANO wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa  umemsamehe Katibu Mkuu Mstaafu wa chama hicho, Abdulrahman Kinana, na...

READ MORE

Breaking: CCM Yampitisha Magufuli Kugombea Urais

  MKUTANO wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, leo Ijumaa, Julai 10, 2020, kwa kauli moja umempitisha ...

READ MORE

Breaking: CCM Yampitisha Mwinyi Kugombea Urais Zanzibar

  MKUTANO wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi  (CCM) Taifa umemteua Dkt. Hussein Mwinyi kuwa mgombea urais wa Serikali...

READ MORE

Washindi Wa Baba Lao Wasubiri Zawadi Zao Kwa Hamu Kubwa

WALE washindi saba waliopatikana kupita droo ya mwisho ya Bahati Nasibu ya Baba Lao au Jishindie Gari na Championi wamefunguka...

READ MORE

Yanga Yavuruga Shangwe Za Ubingwa Simba – Video

HOMA na hofu ya pambano la watani limepamba moto, ni baada ya Kocha Mkuu wa Simba Mbelgiji, Sven Vandenbroeck kuzuia...

READ MORE

Vodacom Waipongeza Simba Kwa Ubingwa VPL

KAMPUNI ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania, PLC, ambayo ni mdhamini mkuu wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), wameipongeza...

READ MORE

Tibalishe; Virutubisho Vinavyoweza Kuboresha Afya Yako

Ni ukweli usiopingika kwamba maradhi ni miongoni mwa maadui wakuu watatu wa binadamu, na kwa miaka mingi, wanasayansi wameendelea kutafuta...

READ MORE

Nafasi za Kazi Mbili, FBM Assistant Data Cerk – Red Cross

FBM Assistant Data Cerk 2 Positions The Tanzania Red Cross Society is a voluntary humanitarian organization established as an independent...

READ MORE

BREAKING: Watatu CCM Kugombea Urais Zanzibar

MKUTANO  wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)  umepitisha majina matatu katika mchakato wa wagombea urais wa Zanzibar, ambao...

READ MORE