×

Airtel Africa Yasaini Ushirikiano Wa Kimkakati Wa Muda Mrefu Na Xtelify, Kitengo Cha Kidijitali Cha Airtel India

Uwezo wa kidijitali wa Xtelify kuharakisha mabadiliko ya kidijitali ya Airtel Africa Afrika, Agosti 04, 2025: Xtelify, kampuni tanzu inayomilikiwa...

READ MORE

Benki Ya Stanbic Yamaliza Kampeni Ya Salary Switch Kwa Droo Ya Mwisho Yawazawadia Washindi 90 

Sarah Odunga (kulia), Meneja wa Huduma kwa Wateja wa Stanbic Bank Tanzania, akiwa pamoja na Judith Wililo (kushoto) kutoka Bodi...

READ MORE

Nafasi ya Kuwa Bingwa Ipo Meridianbet Leo

Kuwa bingwa ni rahisi sana ukiwa na wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet. Arsenal, Villa, Fenerbahce na wengine kibao wapo kibao...

READ MORE

Mshambuliaji Wa Mabao Yanga Auzwa Uarabuni

INAELEZWA kuwa Yanga wamefikia makubaliano ya kumuuza mshambuliaji wa mabao ndani ya kikosi hicho ambaye ni mzawa namba moja kufunga...

READ MORE

Wapalestina 1,500 Wauawa Huko Ghaza Tangu Mei, Un Yalaani “Mtego Wa Kifo” Wa Misaada

Umoja wa Mataifa (UN) umesema Wapalestina 1,500 wameuawa huko Ghaza tangu Mei hadi sasa wakati wanahangaika kutafuta msaada wa kibinadamu....

READ MORE

Shindano Jipya la Kasino, Ingia Ulimwenguni Wa Zombie Apocalypse

Meridianbet, kwa ushirikiano na Expanse Studios, wamezindua promosheni mpya ya kuvutia iitwayo Zombie Apocalypse, inayowaalika wachezaji kuingia katika ulimwengu wa...

READ MORE

Exim Bank Tanzania, JKCI Zashirikiana Kuimarisha Afya Ya Wafanyakazi

Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Exim Tanzania, Stanley Kafu (kushoto), Afisa Masoko Taasisi ya Moyo...

READ MORE

Prof. Kyaharara Amwakilisha Rais Samia Katika Mkutano Wa UN Wa Nchi Zisizo Na Bandari

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inashiriki Mkutano wa Tatu wa Umoja wa Mataifa Kuhusu Nchi Zisizo na Mlango wa Bahari...

READ MORE

Airtel Money Na Benki Ya I&M Wazindua Mpango Wa Elimu Ya Kifedha  Kuwawezesha Wajasiriamali Wanawake

Airtel Money kwa kushirikiana na Benki ya I&M wamezindua rasmi mpango unaolenga wanawake wajasiriamali ukiwa na malengo ya kuwawezesha wanawake...

READ MORE

Aliyekuwa Mbunge wa CCM Mpina Aonekana ACT Wazalendo

Hatimaye aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kisesa mkoani Simiyu kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Luhaga Mpina ameonekana kwenye vikao na...

READ MORE

Meridianbet Kuileta iMoon, Fursa Mpya Kwa Kasino Mtandaoni

Kasi ya mabadiliko katika teknolojia ya burudani imeleta matakwa mapya kutoka kwa wachezaji, wanataka zaidi ya burudani ya kawaida. Wanatafuta...

READ MORE

Waziri Mkuu Amuwakilisha Rais Samia Maadhimisho ya Miaka 20 ya Itifaki ya SADC Dhidi ya Rushwa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza alipomuwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Ufunguzi wa Maadhimisho ya miaka 20 ya...

READ MORE

Jamii Yakumbushwa Kutowatenga Wenye Kifafa, “Kifafa Sio Laana Wala Mkosi”

Dar es Salaam, Agosti 4, 2025 — TAASISI ya Tanzania Epilepsy Organisation (TEO) imeitaka jamii kuwapa heshima, upendo, na haki...

READ MORE

Simba Yamtambulisha Anthony Mligo Kutoka Namungo

Klabu ya Simba imethibitisha kuinasa saini ya mlinzi wa kushoto, Anthony Mligo kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea Namungo Fc...

READ MORE

Suka Jamvi Lako na Mchezaji Bora wa PFA Meridianbet

Je unajua kuwa unaweza kusuka jamvi la kumchagua mchezaji bora wa msimu mapema kabisa kabla ligi hazijaanza?. Ni rahisi sana...

READ MORE

Enock Koola Historia Imejirudia Jimbo la Vunjo!

Mfanyabiashara na mkandarasi kijana, Enock Zadock Koola, ashinda kwa kishindo kura za maoni Jimbo la Vunjo, kwa kupata kura 1999...

READ MORE

Mashindano ya Kwanza ya Dunia ya Soka la Roboti Kuandaliwa – Timu 30 Kuonesha Ubora wa AI

Timu 30 kutoka mataifa kama Marekani, Brazil, Ujerumani na Ureno zinajiandaa kwa mashindano ya kwanza ya dunia ya roboti, ambapo...

READ MORE

Orodha ya Wabunge Walioshinda kura za maoni CCM, Kimei Aangushwa Vunjo – Video

 Matokeo haya ni ya kura za maoni ndani ya CCM (internal primaries), si uteuzi rasmi wa chama — uteuzi...

READ MORE

Shigongo Aongoza Kura za Maoni Buchosa, Tizeba Aambulia Kata Chache

Katika mchuano mkali wa kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Buchosa, wimbi jipya la siasa...

READ MORE

Kada Chipukizi Neto Kapalata Amshinda Kigwangalla Kura za Maoni Nzega Vijijini

Katika tukio la kisiasa lililoibua mjadala mkubwa, Kada wa CCM Jimbo la Nzega Vijijini, Ndugu Neto Kapalata, ameibuka mshindi katika...

READ MORE