×

Arsenal Yamnasa Cristhian Mosquera Kutoka Valencia, Aanika Ndoto Zake!

Klabu ya Arsenal imetangaza rasmi kumsajili beki kinda mwenye kipaji, Cristhian Mosquera, kutoka klabu ya Valencia ya Hispania kwa ada...

READ MORE

Safari ya Upendo Yazaa Tunda, Jux na Priscilla Watangaza Ujauzito

Priscilla Ojo, mke wa msanii maarufu wa Bongo Fleva, Juma Jux, ametangaza rasmi ujauzito wao wa kwanza kupitia ukurasa wake...

READ MORE

RC Chalamila Awaomba Radhi Watumiaji Wa Mwendokasi

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewaomba radhi watumiaji wa magari ya Mwendokasi kwa adha wanazokumbana nazo...

READ MORE

Raila Odinga: Handshake Haikuwa ya Maslahi Binafsi, Sikutegemea Chochote

Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga, amesema katika mahojiano na kituo kimoja cha habari nchini humo NATION, kuwa makubaliano...

READ MORE

Silaha 5 za Mwanamke Kumteka Mwanaume Kimapenzi

KATIKA maisha ya mapenzi watu wanapaswa kuelewana na kusikilizana mno. Hii ndiyo silaha kubwa zaidi kuliko zote na rahisi zaidi...

READ MORE

Mpox Yasambaa Magharibi mwa Kenya, Vifo Viwili Vyaripotiwa Busia

Ugonjwa wa Mpox Wasambaa Kenya Magharibi mwa Kenya sasa ndio kitovu cha mlipuko wa ugonjwa wa Mpox huku kaunti za...

READ MORE

Meridianbet Yaja Na Tsh 10,000,000 Kila Wiki, Ni Loyalty Pays.

Je, wewe ni mpenzi wa michezo ya kasino? Je, unatumia muda wako kwenye michezo ya Slots, Roulette, Blackjackau Poker? Basi...

READ MORE

Vipindi vya Mashindano ya Miss Universe 2025 Kuanza Kuonekana Kwenye Runinga

Dar es Salaam 25 Julai 2025: Vipindi vya mashindano ya Miss Universe Tanzania 2025 vinatarajia kuanza kuonekana kuanzia leo Julai...

READ MORE

Waziri Bashungwa Amwakilisha Rais Samia Mkutano Wa Wakuu Wa Nchi 

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia...

READ MORE

Malori Yapigwa Cheni, Varangati Laibuka ‘Maofisa’ Watimua Mbio

Dar es Salaam 24 Julai 2025: Katika hali isiyokuwa ya kawaida watu waliojitambulisha kutoka mamlaka ya serikali walilazimika kukimbia eneo...

READ MORE

Serikali Yavunja Ukimya: Watoa Huduma wa Mwendokasi Kupigwa Chini – Video

Serikali kupitia Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART), imetangaza kuanza mchakato wa kuwaondoa watoa huduma waliopo sasa kwenye Barabara Kuu...

READ MORE

Waziri Mkuu Ahitimisha Ziara Ya Belarus

Aalika wenye viwanda, makampuni, wafanyabiashara kuwekeza nchini WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amehitimisha ziara yake ya kikazi ya siku mbili nchini...

READ MORE

KCCT na Kilombero Sugar Watoa Mafunzo na Kuwatunuku Vyeti Wakulima 734

Morogoro, Julai 2025 — Taasisi ya Kilombero Community Charitable Trust (KCCT), kwa kushirikiana na Kampuni ya Kilombero Sugar Company Limited...

READ MORE

Rais Samia Mgeni Rasmi Maadhimisho Ya Mashujaa Kesho

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ametoa wito kwa vyombo vya habari kushirikiana na Serikali katika...

READ MORE

Russia Yatikiswa na Ajali ya Angara Airlines, Watu 49 Wahofiwa Kufariki

Kamchatka, Russia – WATU 49 wanahofiwa kupoteza maisha baada ya ndege ya abiria aina ya Antonov An-26 kuanguka leo asubuhi,...

READ MORE

Pacome Zouzoua Kubaki Yanga Mpaka 2027

Kiungo mahiri kutoka Ivory Coast, Pacome Zouzoua, amesaini mkataba mpya na klabu ya Yanga SC siku nyingi zilizopita, muda mfupi...

READ MORE

Meridianbet Wapiga ODDS Kubwa kwa Mechi za Leo – Cheki Shariff vs Utrecht, Braga vs Levski

Kama kawaida ni siku nyingine pendwa kabisa ambapo mechi kibao za kufuzu Europa League msimu ujao zinapigwa. Meridianbet tayari wameshakuwekea...

READ MORE

Yanga Yatangaza Kuagana na Wachezaji Watano Nyota

Klabu ya Yanga imetangaza hatua kubwa ya mabadiliko ndani ya kikosi chake kuelekea msimu wa 2025/2026, kwa kuthibitisha kuachana rasmi...

READ MORE

Stanbic Yaandaa Jukwaa La Kihistoria Kuhusu Uwekezaji Na Uhamasishaji Mitaji Ukanda Wa Afrika Mashariki

Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa CIC Asset Management Limited, Humphrey Gathungu (katikati), akizungumza wakati wa Mkutano wa Taasisi za Uwekezaji Afrika...

READ MORE

Ijumaa Ya Furaha Inarejea Kwa Kishindo Kupitia Meridianbet

Wakati wengi wakihesabu saa kuelekea wikendi ya mapumziko kila ifikapo ijumaa, kwa mashabiki wa michezo ya namba, hii ni fursa...

READ MORE