×

Kura Za Maoni-Bunda Mjini: Maboto Aongoza, Wasira Ashika Nafasi ya Pili

Robert Maboto ameibuka kidedea kwa kupata kura 140 huku Mzee Stephen Wassira akiwa nafasi ya pili kwa kura 115. Namba...

READ MORE

Simba Yaweka Rekodi za Kibabe Bongo

SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba ameweza kukiongoza kikosi chake kuweka rekodi za kibabe ndani ya Ligi Kuu Bara kwa...

READ MORE

Hamis Taletale Ameongoza Morogoro Kusini-Mashariki

Hamis Taletale maarufu kama Babu Tale ameongoza katika kura za maoni kwa kupata kura 318 Nafasi ya pili katika kura...

READ MORE

Kura Za Maoni-Tarime Vijijini: Mwita Waitara Ameongoza

Naibu wa Waziri wa TAMISEMI, Mwita Waitara ameibuka kidedea kwa kupata kura 291. Alikuwa Mbunge wa Ukonga Bunge lililopita James...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Jumatano, Julai 22, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Julai 22, 2020 Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Risasi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Risasi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Fursa ya Ajira (Kwenye Tasnia ya Habari na Masoko – Marketing)

  GLOBAL GROUP, ni kampuni inayomiliki, pamoja na makampuni mengine, kampuni ya uchapishaji magazeti – Global Publishers Ltd na runinga...

READ MORE

Diamond Akabidhi Misaada Kwa Watoto Yatima -Video

 MKURUGENZI wa Wasafi Media na Msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, akishirikiana na Pari Match leo Julai  21, 2020,...

READ MORE

Jela Maisha kwa Kubaka Mwanafunzi wa Miaka 5

MAHAKAMA ya Wilaya ya Kigoma imemhukumu mkazi wa Katubuka Manispaa ya Kigoma/Ujiji, Jeremia Kilahunja (49), kifungo cha maisha jela kwa...

READ MORE

Mwijaku: Wajumbe CCM Msifanye Kama Kigamboni

MTIA nia wa ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Kawe, ambaye pia ni msanii na mtangazaji...

READ MORE

Gwajima, Mashinji, Mwijaku Washindwa Kawe

ALIYEKUWA Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Dkt. Vincent Mashinji,  ameshindwa kura za maoni za Chama Cha...

READ MORE

Gwajima Ajitapa Kumchakaza Mdee Kabla ya Sadaka – Video

ASKOFU wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amesema yeye ni mtu pekee atakayeweza kurudisha jimbo la Kawe kwenye...

READ MORE

Poshy Queen Achumbiwa na Mnaigeria – Picha

MREMBO anayetikisa na umbo matata katika mitandao ya kijamii, Jacqueline Obeid ‘Poshy Queen’,  amevalishwa pete ya uchumba na mpenzi wake...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Uwazi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Uwazi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= Bonyeza hapa...

READ MORE

Dkt. Mwakyembe Awa wa Tatu Kura za Maoni Kyela

Waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo, Dk. Harrison Mwakyembe ameshindwa kura za maoni Jimbo la Kyela Mkoa wa Mbeya...

READ MORE

Mwijage Atoboa Kura za Maoni Muleba Kaskazini

Aliyewahi kuwa waziri wa Viwanda nchini na Mbunge wa Muleba Kaskazini mkoani Kagera, Dkt. Charles Mwijage (CCM) ameibuka kidedea katika...

READ MORE

Silinde Ashindwa Kura za Maoni Tunduma

Aliyekuwa mbunge wa Momba kupitia Chadema, David Silinde ameshindwa kura za maoni Jimbo la Tunduma Mkoa wa Songwe kupitia Chama...

READ MORE

Prof. Maghembe Ashindwa Kura za Maoni Mwanga

Waziri wa zamani wa maliasili na utalii ambaye ni mbunge anayemaliza muda wake jimbo la Mwanga Mkoa wa Kilimanjaro, Profesa...

READ MORE

Kafulila ‘Apigwa’ Kura za Maoni Kigoma Kusini

HASNA MWILIMA amefanikiwa kuongoza katika kura za maoni katika Jimbo la Kigoma Kusini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kupata...

READ MORE