×

Utamu Usioisha Hamu -2

Monica alishaingiwa na tamaa, alichokifanya ni kuingia bafuni kuoga. Alimuogesha mwenye jina kwa makini sana, huyu akimwambia “Uwe mwaminifu katika...

READ MORE

Kocha wa Simba Afunguka Adhabu ya Ibrahimu Ajibu -Video

KOCHA wa Simba SC, Sven Vandenbroeck ameeleza kuwa adhabu ya nyota wake Ibrahimu Ajibu itamalizika Jumatatu ijayo hivyo ataweza kujumuika...

READ MORE

Harmo Afunguka Kutoa Ahadi Hewa Hospitali

KONDE Boy, Rajabu Abdul ‘Harmonize’ au Harmo amefungukia madai ya kutoa ahadi hewa ya kusaidia hospitali mbalimbali na shule kisha...

READ MORE

Mke wa Rais Nkurunzinza Akutwa na Corona

Denise Nkurunziza, Mke wa Rais wa Burundi, amelazwa katika Hospitali ya Aga Khan nchini #Kenya alipopelekwa baada ya kubainika kuwa...

READ MORE

Rais Kagame Ampa Ukurugenzi Mwanaye

RAIS wa Rwanda, Paul Kagame,  amethibitisha  uteuzi wa mwanaye,  Ivan Kagame (kushoto),  kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo la Rwanda...

READ MORE

Trump Asaini Sheria Kubana Twitter, Facebook na Youtube

RAIS Donald Trump wa Marekani jana Alhamisi alisaini Amri ya Utendaji (Executive Order on Preventing Online Censorship) inayolenga kuongeza uwezo...

READ MORE

Muna Achefua Kanisa

  MUIGIZAJI ambaye anajinasibu kuwa ni Mlokole; Muna Alphonce, amedaiwa kulichefua kanisa kwa mambo anayoyafanya mitandaoni.   Kupitia ukurasa wake...

READ MORE

Mateso Juu ya Mateso!

NI mateso juu ya mateso! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya kusoma habari ya mama huyu ambaye amekatwa miguu yote na...

READ MORE

Simba Yapangwa na Azam Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho

  Droo ya Robo Fainali ya kombe la Shirikisho la Azam Sports, imefanyika asubuhi hii, huku Mabingwa watetezi, Azam FC,...

READ MORE

Kisa Mtoto wa Mondi… Mwijaku Kumlipa Tanasha Mamilioni ya Fedha

JANGA alilochuma mtangazaji ambaye pia ni mwigizaji wa Bongo Movies, Burton Mwamba ‘Mwijaku’ kwa kujitangaza kwenye mitandao ya kijamii kuwa...

READ MORE

Ongeza Salio Akaunti Yako ya Meridianbet kwa Airtel Money na UPATE ZAIDI!

KWA Meridianbet, muamala wako una thamani kuliko wakati wowote! Ongeza salio kwenye akaunti yako ya meridianbet.co.tz kwa Airtel Money na...

READ MORE

Mbunge Ataka Serikali Ianzishe Chuo cha WIZI – Video

BUNGE la Bajeti, mkutano wa 19 kikao cha 38 limeendelea kujadili hoja ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu...

READ MORE

BREAKING: Zitto Aachiwa Huru, Apewa Masharti Magumu

  MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Mei 29, 2020 imemuachia huru Zitto Kabwe,  Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, kwa...

READ MORE

Wakili Kambole: Watuhumiwa Mauaji Hupewa Mawakili Bure – Video

WATU  wenye makosa ya mauaji ndiyo pekee wanaopewa bure mawakili  na serikali, pia rais anapokuwa madarakani hawezi kushtakiwa na hata...

READ MORE

Hukumu ya Zitto Kusomwa Leo Kisutu Dar

  MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, leo Ijumaa, tarehe 29 Mei, inatarajiwa kusoma hukumu ya kesi...

READ MORE

Siri Ushindi wa Magufuli dhidi ya Corona Yafichuka

Mwanzoni mwa miaka ya 1990, niliwahi kuishi mkoani Geita kwenye machimbo ya dhahabu yaitwayo Mugusu, waliokuwepo maeneo hayo wakati huo...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Champioi na Ijumaa kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Ijumaa kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Ijumaa, Mei 29, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo MEI 29 Usipitwe na Matukio, Install App...

READ MORE

Rais Kenyatta Amuonya Mwanae kwa Kutoka Nje Usiku

  RAIS wa Kenya Uhuru Kenyatta amefichua jinsi mtoto wake wa kiume alivyovunja marufuku ya kutotembea nje iliyowekwa nchini humo...

READ MORE