×

Official Nai Akanusha Kuolewa!

BAADA ya kudaiwa kuwa amefunga ndoa ya kimyakimya, video vixen Bongo, Official Nai ameibuka na kufafanua ukweli wa mambo.  ...

READ MORE

TFF, BODI YA LIGI Mmeona Kinachotokea Kenya?

SHU kubwa ambayo inagonga vichwa vya wapenda michezo wote Afrika Mashariki na Kati, ni juu ya Shirikishio la Soka Kenya...

READ MORE

Tiba ya Dharura ya Corona Yapatikana, Marekani Yantangaza Dawa

MAMLAKA ya Dawa na Chakula (FDA) nchini Marekani imeidhinisha matumizi ya dharura ya dawa ya Ebola, remdesivir, ianze kutumika kutibu...

READ MORE

Mpinzani wa Trump Akwaa Skendo ya Udhalilishaji Kingono

MGOMBEA urais nchini Marekani katika tiketi ya chama cha Democratic, Joe Biden, amekanusha vikali madai ya kumdhalilisha kingono Tara Reade...

READ MORE

Jide: Miaka 20 Kwenye Gemu Haikuwa Shughuli ya Kitoto!

JIDE amesikika kwenye ngoma za masikio ya wapenda Burudani Bongo yapata miaka 20 sasa. Muziki huu wa Bongo Fleva umemfanya...

READ MORE

Mwili wa Dkt. Mahiga Wawasili Nyumbani Kwake – Video

Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Balozi Dkt. Augustine Mahiga, umefikishwa nyumbani kwake Gangilonga mjini Iringa kwa ajili...

READ MORE

Mbelgiji Yanga: Kurudi Bongo Sasa? Hapana

KOCHA Mkuu wa Yanga, Luc Eymael raia wa Ubelgiji, amefunguka kuwa kwa sasa hawezi kurejea Dar kwa sababu bado uwanja...

READ MORE

Video: Mwili wa Waziri Mahiga Waagwa Iringa Leo

Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan, leo Mei 2, 2020, ataongoza mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria,...

READ MORE

Waziri Mkuu wa Urusi Akutwa na Corona

WAZIRI Mkuu wa Russia Mikhail Mishustin amesema amekutwa na maambukizi ya virusi vya Corona. Taarifa iliyotolewa na Makao Makuu ya...

READ MORE

Kocha Mrundi Ataja Sifa Tano za Kagere

HITIMANA Thierry, Kocha Mkuu wa Namungo FC ambaye ni raia wa Burundi, amesema kuwa mshambuliaji wa Simba, Meddie Kagere ana...

READ MORE

Breaking News: Kim Jong-Un Aonekana Hadharani

KWA mujibu wa vyombo vya habari nchini Korea Kusini, Kim Jong-un, ameonekana hadharani kwa mara ya kwanza baada ya siku...

READ MORE

Nafasi za Kazi 25 Nkamson Consultancy Company Ltd (NCCL)

Background Nkamson Consultancy Company Ltd (NCCL) is a semi-profit firm with the primary focus of providing Professional Consultancy Service in...

READ MORE

Pierre Alivyonusurika Kifo Cha Corona

DAR: MCHEKESHAJI kwenye mitandao ya kijamii Bongo, John Mollel ‘Pierre Liquid’ amesimulia jinsi alivyonusurika kifo baada ya kushambuliwa na Ugonjwa...

READ MORE

Tanasha Atibua Saumu za Watu

DAR: Baada ya kubadili dini kutoka Ukristo na kuwa Muislam, mzazi mwenza wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Mondi’,...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Jumamosi, Mei 2, 2020 – (Picha + Video)

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo MEI 2, 2020. Ni yale ya Hard-news, Udaku na Michezo....

READ MORE

Tatizo la Kuchokana Kwenye Mapenzi-2

NI Ijumaa nyingine nzuri ambayo Mwenyezi Mungu ametujaalia. Hatuna cha kumlipa zaidi ya kushukuru kwa kusema ‘ASANTE’! Wiki iliyopita nilianza...

READ MORE

Mtaalam wa Tiba Asili, Dk Maneno Tamba Afariki Dunia

Mtaalam wa Tiba Asili Tanzania, Dk Maneno Tamba amefariki dunia leo Mei Mosi, jiji Dar es salaam, mdogo wake Sultan...

READ MORE

Yanga Mpya Mbona Kazi Mnayo wa Kimataifa

KAMA mazungumzo yatakwenda vizuri, basi upo uwezekano mkubwa wa mshambuliaji wa Rayon Sports ya Rwanda raia wa Ghana Michael Sarpong...

READ MORE

Morrison: Nimemisi Kushangilia Mabao

NYOTA wa Yanga, raia wa Ghana, Bernard Morrison ameibuka na kudai kuwa amekumbuka kushangilia bao la ushindi, maana kazi pekee...

READ MORE

Jaji Ramadhani Aagwa, Jaji Mkuu Atoa Neno -Video

MWILI wa aliyekuwa Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Agustino Ramadhan umeagwa leo Mei Mosi, 2020, katika viwanja vya Karimjee jijini...

READ MORE