×

Yanga Yatikisa jiji la Dar Kwa Kishindo na Mataji Matano Msimu Mmoja (Picha +Video)

MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania Bara mara 31, Yanga SC Juni 30 2025 wamepokelewa kwa kishindo wakitokea Zanzibar kwa kufanya...

READ MORE

Mahakama Yamsimamisha Kazi Waziri Mkuu Thailand

Mahakama ya Katiba ya Thailand imemsimamisha kazi Waziri Mkuu, Paetongtarn Shinawatra, kufuatia sakata la kisiasa lililosababishwa na uvujishaji wa mazungumzo...

READ MORE

EWURA Yatangaza Bei Mpya za Mafuta ya Petroli na Dizeli

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa...

READ MORE

Wakili Oscar Mutaitina Ajitosa Kuwania Ubunge Jimbo la Bagamoyo

Wakili maarufu, Oscar Oswald Mutaitina, amejiunga rasmi katika kinyang’anyiro cha kuwania nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Bagamoyo, baada ya...

READ MORE

Diana Sichwale Achukua Fomu Ubunge Tunduma

Daina Elias Sichalwe amechukua fomu ya kuwania UBUNGE kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Tunduma. Zoezi...

READ MORE

Nusura Ya Mauti! Ndege ya Batik Air Yatingishwa na Hali Mbaya ya Hewa!

Ndege ya abiria ya Batik Air ilinusurika kuteleza wakati wa kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Soekarno-Hatta, kutokana...

READ MORE

Lina PG Tour Msimu wa Nne Yatikisa Dar, Wachezaji Wajitokeza

MASHINDANO ya Gofu kwa ajili ya kumuenzi mchezaji wa zamanı wa timu ya taifa ya wanawake ya gofu, marehemu Lina...

READ MORE

Mwenyekiti wa Soka Mkoa wa Dar Achukua Fomu ya Kuwania Ubunge Segerea

Kada wa Chama cha Mapinduzi CCM,ambaye ni mwenyekiti wa Soka Mkoa wa Dar es Salaam, Lamecky Nyambaya amejitokeza na kuchukua...

READ MORE

Chuo cha VETA, Kipawa Chaanzisha Fani Mpya ya Mekatronic

Dar es Salaam 1 Juni 2025: Chuo cha Ufundi Stadi (VETA), Kituo cha Kipawa jijini Dar es Salaam, kimeanzisha rasmi...

READ MORE

Iddi Azzan Achukua Fomu Kuwania Jimbo la Kinondoni, Dainess Achukua ya Udiwani Hananasifu

MTIA NIA na Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Kinondoni Iddi Azzan amechukua fomu kuwania nafasi ya Ubunge katika Jimbo hilo,...

READ MORE

Polisi Wavamia Ibada – Bagonza: Hii Ni Kinyume Na Uhuru Wa Kuabudu

Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza, amesema kuwa hatua zinazoendelea kuchukuliwa...

READ MORE

Cheza Super Heli na Meridianbet Ushinde Zawadi Kabambe ya Samsung A25

Ikiwa wewe ni shabiki wa michezo ya kasino mtandaoni, huu ni wakati wako kung’ara. Meridianbet, kinara wa michezo ya kubashiri...

READ MORE

Mbeto: Rais Dk Samia Kielelezo Cha Kiongozi Mwanademokrasia Afrika

Na Mwandishi Wetu, Zanzibar Chama Cha Mapinduzi kimeitaja hotuba iliotolewa na Rais Dk Samia Suluhu Hassan wakati akivunja Bunge la...

READ MORE

NMB Yawakaribisha Wananchi Kwenye Tawi Lao Lililopo Viwanja vya Maonesho

Dar es Salaam, 30 Juni 2025: Benki ya NMB imewakaribisha Wananchi wote kukaribia katika tawi lao lililopo Viwanja vya Maonesho...

READ MORE

DC Magoti awahamasisha wananchi Kisarawe kutumia huduma za benki

Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Mheshimiwa Petro Magoti amewahamasisha wananchi kutumia huduma za benki kwa maendeleo yao ya kiuchumi, kukuza...

READ MORE

SICPA, TBS wajipanga kuboresha Teknolojia Bunifu ya Kisasa

Tanzania, kupitia Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwa kushirikiana na Shirika la Viwango Zanzibar (ZBS), limepata fursa ya kuwa mwenyeji...

READ MORE

Hata Kama Upo Naeye Kwenye Ndoa, Unapaswa Kumpa Uhuru Wake

  HATA Jinsi tulivyoumbwa, kila mmoja anapenda sana kuwa na ule uhuru wake wa faragha au kwa Kingereza wanaita privacy....

READ MORE

Diwani wa Zamani Kata ya Msasani, Neghesti Achukua Fomu Kuwania Ubunge Jimbo la Kigamboni Kupitia CCM’

Dar es Salaam. Aliyekuwa Diwani wa Msasani na mfanyabiashara maarufu, Bw Luca Hakim Neghesti, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya...

READ MORE

Majaliwa: Tutaendelea Kuilinda Na Kuidumisha Amani Nchini

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali itaendelea kuweka mkazo katika kulinda na kudumisha amani nchini ili kuhamasisha maendeleo na...

READ MORE

Kalulu Ajitosa Ubunge Mbagala

Dar es Salaam 30 Juni 2025: Mwanasiasa kijana ambaye ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa...

READ MORE