×

Meridianbet Yawasha Tena Taa Ya Matumaini Kijitonyama Kisiwani

Mitaa ya Kijitonyama Kisiwani ilisimama kidogo, si kwa kelele za magari wala pilikapilika za kawaida, bali kwa ujio wa Meridianbet...

READ MORE

Fàbregas Aigeuza Como 1907 kuwa Tishio Kubwa Serie A, Kutinga UEFA

Je unajua kuwa Cecs Fabregas amekuwa ni nguzo ya mafanikio kwa klabu ya Como 1907 na amekuwa na msaada mkubwa...

READ MORE

JWTZ Yatangaza Nafasi za Kujiunga na Jeshi, Mwisho Aprili 28, 2026

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limetangaza nafasi za kuandikishwa jeshini kwa vijana wa Kitanzania kuanzia wahitimu wa...

READ MORE

Robo Fainali FA Yaibua Mvutano Mkali; Yanga Yapangwa na JKT, Simba Dhidi ya TRA United

Leo Aprili 17, 2026, jijini Dar es Salaam imefanyika droo ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB (CRDB...

READ MORE

Trump Aeleza Mafanikio Makubwa Katika Mazungumzo na Iran

Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa Marekani iko karibu sana kufikia makubaliano na Iran, hatua inayoweza kupunguza mvutano uliodumu...

READ MORE

Madiwani CCCM Watinga Bungeni Kwa Mwaliko wa Mbunge wa CHAUMMA

Mbunge wa Jimbo la Segerea kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Mhe. Agnesta Kaiza, leo amewaalika Waheshimiwa Madiwani wa...

READ MORE

Utata Wagubika Kifo cha Waziri wa Mawasiliano Burundi Gabby Bugaga Akiwa Ndani ya Gari

Serikali ya Burundi imethibitisha kifo cha Waziri wa Mawasiliano na Vyombo vya Habari, Gabby Bugaga, kilichotokea Alhamisi asubuhi katika kile...

READ MORE

Mbeya City Yaachana na Mecky Maxime Baada ya Kipigo Cha 6-0 Dhidi ya Yanga

Klabu ya Mbeya City imetangaza kuachana na Kocha Mkuu wake, Mecky Maxime, pamoja na benchi lake la ufundi kwa makubaliano...

READ MORE

Papa Leo Awashambulia “Madikteta” Wanaotumia Mabilioni Kwenye Vita, Atoa Wito wa Amani

Kiongozi wa Kanisa Katoliki, Pope Leo XIV, ametoa kauli kali akiwakosoa viongozi wa dunia wanaotumia mabilioni ya fedha kuendesha vita...

READ MORE

Kenani: Uamuzi wa Mahakama Kuhusu CHADEMA Ni Ushahidi wa Uhuru wa Mahakama

Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi (Mwenezi), ameeleza kuwa uamuzi wa mahakama kuruhusu CHADEMA kuendelea na...

READ MORE

Future Ashitakiwa na Ex Wake Kukwepa Majukumu ya Malezi ya Mtoto

Rapa na mwimbaji maarufu wa Marekani  Rapa Nayvadius DeMun Wilburn ‘Future’ amejikuta tena kwenye mvutano wa kisheria na mama wa...

READ MORE

Angalia Maajabu Ya Mazda CX‑50 Toleo la Kipekee Kwenye Macho!

Kama unatafuta SUV yenye muundo wa kuvutia, nguvu za barabarani, na teknolojia ya kisasa, basi Mazda CX‑50 ni chaguo lisilo...

READ MORE

Hasira; Chanzo Kikubwa cha Kuvunjika Uhusiano!

LAITI kama kwenye dunia hii kila mmoja angejitambua, akafuata misingi sahihi ya uhusiano, basi kusingekuwa na ugomvi.  Watu wangekuwa wanapishana...

READ MORE

Milioni. 500/- Zachangwa na Nmb Kupanua Huduma za Hospitali ya Benjamin Mkapa

Msajili wa Hazina, Nehemiah Mchechu (wa pili kulia), akishuhudia makabidhiano ya mfano wa hundi ya Sh. Milioni 250 kati ya...

READ MORE

Marekani Yaitishia Iran Kutumia Nguvu Endapo Haitatii Zuio la Baharini, Iran Yajibu

Marekani imeongeza presha kwa Iran baada ya kutoa onyo kali kuwa iko tayari kutumia nguvu endapo haitatii zuio la baharini...

READ MORE

Makonda Amteua Tenga Kuongoza Maandalizi ya AFCON 2027

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo wa Tanzania, Paul Makonda, amemteua aliyekuwa nahodha wa zamani wa timu ya taifa,...

READ MORE

SBL Yazindua Serengeti Apple, Kinywaji cha Kwanza Chenye Ladha na Hadhi ya Kipekee Kilichotengenezwa Tanzania

Kampuni ya Serengeti Breweries Limited (SBL) imezindua kinywaji kipya cha Serengeti Premium Apple, kikitajwa kuwa bidhaa ya kwanza ya aina...

READ MORE

Waziri Mkuu Mwigulu Afungua Kongamano la Biashara na Uwekezaji Ziwa Tanganyika

  WAZIRI MKUU Mwigulu Nchemba leo Aprili 16, 2026 amefungua Kongamano la Biashara na Uwekezaji la Ziwa Tanganyika (The Lake...

READ MORE

Malema Ahukumiwa Miaka Mitano Baada ya Kupatikana na Hatia ya Kufyatua Risasi

Mwanasiasa wa upinzani nchini Afrika Kusini, Julius Malema, amehukumiwa kifungo cha miaka mitano jela baada ya kupatikana na hatia ya...

READ MORE

Rais Samia Afungua Mkutano Wa Kimataifa Wa Madaktari Bingwa Wa Upasuaji Wa Ubongo Dar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Aprili 16, 2026 amefungua rasmi Mkutano wa Pili wa...

READ MORE