×

Rais Ruto Aomboleza Kifo cha Rafiki Yake Wicknell Chivayo na Mkewe

Rais wa Kenya, William Ruto, ameomboleza kifo cha mfanyabiashara wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo, pamoja na mkewe, Lucy Muteke, waliofariki katika...

READ MORE

Qatar Yasukuma Mazungumzo ya Amani Kati ya Marekani na Iran

DOHA: Qatar imeendelea na juhudi za upatanishi kati ya Marekani na Iran, ikisema ina matumaini mawasiliano yake yanaweza kusaidia pande...

READ MORE

Wicknell Chivayo: Mfanyabiashara Aliyejenga Ukaribu na Viongozi wa Afrika

Mfanyabiashara wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo, ambaye amefariki katika ajali ya helikopta nchini Zimbabwe pamoja na mkewe Lucy Muteke, alikuwa mmoja...

READ MORE

Fursa Mpya ya Ajira NEEC, Mwisho wa Maombi Oktoba 1, 2026

Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma imetangaza nafasi moja ya Mtendaji Mkuu wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Kiuchumi...

READ MORE

Diddy Apunguziwa Tena Muda wa Kifungo, Sasa Ataachiwa Januari 2028

Rapa na mfanyabiashara maarufu wa Marekani, Sean “Diddy” Combs, amewekewa tena tarehe mpya ya kuachiwa kutoka gerezani, huku rekodi za...

READ MORE

Safari Ya Dhahabu Yamgeuza Mfungwa Kuwa Shujaa Wa ‘The Weight’

Filamu mpya ya The Weight inamleta mwigizaji Ethan Hawke katika simulizi ya kusisimua inayochanganya uhalifu, mapambano ya maisha na safari...

READ MORE

TPDC Yawawezesha Wanafunzi Kujifunza Sekta ya Gesi Asilia Kwa Vitendo

Mtwara: Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limewawezesha wanafunzi kutoka shule mbalimbali za Lindi na Mtwara kutembelea miundombinu ya...

READ MORE

Mkuyu Africa Yawapeleka Watanzania wa Dubai Kariakoo na Masaki

DUBAI: Kampuni ya Mkuyu Africa imewakutanisha Watanzania wanaoishi na kufanya shughuli mbalimbali nchini Dubai, ikiwa na lengo la kuwajengea uelewa...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Oktoba 1, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Majeshi ya Marekani Yaondoka Iraq, Furaha Yachanganyika na Hofu ya Usalama

BAGHDAD: Iraq imeingia katika hatua mpya baada ya wanajeshi wa mwisho wa Marekani kuondoka nchini humo, huku wananchi wakisherehekea mwisho...

READ MORE

Mfanyabiashara Chivayo na Mkewe Wafariki katika Ajali ya Helikopta – Video

MARONDERA, Zimbabwe — Mfanyabiashara maarufu wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo, na mkewe Lucy Muteke, wamefariki dunia baada ya helikopta waliyokuwa wakisafiria...

READ MORE

Mgomo wa Madereva: Katambi Aweka Wazi Hatua za Serikali, Leseni Zarejeshwa – Video

DAR ES SALAAM: Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, ametangaza hatua mbalimbali zinazochukuliwa na Serikali kufuatia maagizo...

READ MORE

Dkt. Mwigulu Akutana na Viongozi wa Madereva, Mgomo Wasitishwa

DAR ES SALAAM: Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa madereva wa mabasi na malori...

READ MORE

Urusi Yashambulia Miundombinu ya Nishati Ukraine, Watu Wanne Wauawa Kyiv

KYIV: Mashambulizi makubwa ya ndege zisizo na rubani na makombora kutoka Urusi yameua watu wanne katika mji wa Kyiv na...

READ MORE

Wafanyabiashara Waikimbia Stendi ya Sh2.8 Bilioni Bariadi

BARIADI: Stendi ya malori iliyojengwa kwa zaidi ya Sh2.8 bilioni katika Mji wa Bariadi, Simiyu, imegeuka kuwa mradi usiotumika ipasavyo,...

READ MORE

Miaka 17 ya Manchester City Yafika Kwenye Kivumbi cha Mashtaka 115

Historia ya mafanikio ya Manchester City katika zaidi ya muongo mmoja imeambatana na mjadala mkubwa kuhusu namna klabu hiyo ilivyofadhili...

READ MORE

Hukumu ya Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu Kusomwa Novemba 6, 2026

DAR ES SALAAM: Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imepanga kusoma hukumu ya kesi ya uhaini...

READ MORE

Eritrea Kuikaribisha Afrika Kusini Katika Mchezo Wa Kufuzu Afcon 2027

Hatimaye ile siku ya kutusua imewadia na timu kibao zimejiandaa kwaajili ya kukupatia maokoto ya maana. Je nani unampa nafasi...

READ MORE

England Yaichapa Czechia, Yamal Aongoza Hispania Kuifunga Croatia

England na Hispania zimeendelea kuonyesha uwezo katika UEFA Nations League baada ya kupata ushindi dhidi ya Czechia na Croatia mtawalia....

READ MORE

Cheza, Panda Kwenye Msimamo na Ushinde Milioni 5

Burudani mpya imefika kwa wapenzi wa Kasino Meridianbet. Ni Cash Storm Tournament kutoka Expanse, mashindano yanayokupa wiki mbili za burudani...

READ MORE