×

Kumbuka Ampa Makavu Niffer “Jishikilie Kila Sehemu Upo” – Video

Mtangazaji na staa wa mitandaoni, Dokta Kumbuka amesema siku mwanadada mfanyanyabiashara, Niffer alipomtuma bodaboda kwenda kununua gauni kwa Fahyma kabla...

READ MORE

Stanbic Yaja na ‘Lipa na Stanbic’ – Suluhisho Jipya la Kidijitali

Benki ya Stanbic Tanzania yazindua “Lipa na Stanbic,” suluhisho la malipo ya kidijitali linalowezesha wafanyabiashara kupokea malipo kutoka kwa mitandao...

READ MORE

Doto Biteko: Mradi Wa Kufua Umeme Wa Julius Nyerere Wakamilika Rasmi -Video

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewataka Watanzania kutegemea kupata umeme wa uhakika baada ya Mradi...

READ MORE

Msimu Wa Pasaka Ni Msimu Wa Tabasamu La Zawadi Na Mchezo Supa

Kuelekea msimu wa sikukuu za Pasaka ambazo zinatarajiwa kufanyika mwishoni mwa wiki ijayo, Mchezo Supa imetangaza Kampeni mpya ya kutoa...

READ MORE

Shigongo: Serikali ya Rais Samia imeleta mabadiliko makubwa Buchosa – Video

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan, imeleta mabadiliko...

READ MORE

TRA Yakusanya Shilingi Trilioni 7.53 kwa kipindi cha Januari hadi Machi 2025

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imefanikiwa kukusanya Shilingi Trilioni 7.53 kwa kipindi cha Januari hadi Machi 2025, ikizidi lengo la...

READ MORE

Dkt. Biteko: Tuzo Za Malkia Wa Nguvu Ni Chachu Ya Maendeleo Kwa Wanawake Na Jamii

Jukwaa la Malkia wa Nguvu la Clouds Media lilioanzishwa mwaka 2016 limeendelea kutimiza lengo lake la kuhamasisha na kuunga mkono...

READ MORE

Rais Samia Afanya uteuzi wa viongozi mbalimbali

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali kushika nyadhifa muhimu katika...

READ MORE

Mkuu wa Wilaya Awataka Wakazi wa Arusha Kuchangamkia Fursa za Huduma Jumuishi za Kifedha

Arusha, Tanzania 17 Aprili 2025: Mkuuwa Wilaya ya Arusha, Mhe. Joseph Mkude, amezindua rasmi chapa mpya za Yas na Mixx...

READ MORE

Taswira ya Jengo la Makao Makuu ya Mahakama Tanzania, na Makazi ya Majaji

  Taswira ya Jengo la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania, Tume ya Utumishi wa Mahakama pamoja na Makazi ya...

READ MORE

Siku Ya Kushinda Mamilioni Ndio Leo

Leo SERIE A kule Italia itaendelea Como 1907 atasafiri kucheza dhidi ya AC Monza ambapo tofauti yao ni 15 pekee....

READ MORE

Tundu Lissu Atengua Uteuzi wa Mjumbe wa Sekretarieti ya Chadema Catherine Ruge

Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, Tundu Lissu, leo Jumamosi Aprili 05, 2025 ametangaza kutengua uteuzi wa Mjumbe...

READ MORE

Rais Samia Alivyozindua majengo ya Mahakama ya Tanzania Dodoma (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Aprili 5, 2025 amezindua rasmi majengo ya Mahakama ya...

READ MORE

China Yaikomoa Marekani Yapandishaushuru

China imeikomoa Marekani kwani imetangaza kuwa itaanza kutoza ushuru wa asilimia 34 kwa bidhaa zinazoagizwa kutoka Marekani kuanzia Aprili 10,...

READ MORE

Sloti Ya Sticky 777 Maajabu Ya Ushindi Huanzia Kasino.

Sloti ya Sticky 777 Moja kati ya biashara nzuri na yenye mtaji mdogo ni uuzaji wa matunda, huhitaji kuwa na...

READ MORE

Jeshi La Polisi: Kupekua Simu Ya Mwenza Bila Ridhaa Ni Kosa La Jinai

Jeshi la Polisi nchini limeitaka Jamii kuishi kwa Upendo na Amani ili kuondokana na Migogoro mbalimbali ya Mara kwa mara...

READ MORE

Eric Shigongo Alivyoongoza Maandamano Ya Amani

wa Buchosa, Eric Shigongo, ameongoza maandamano ya amani kumuunga mkono Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwa jinsi anavyotekeleza Ilani ya...

READ MORE

Dkt. Nchimbi Apongeza TEF kwa Uchaguzi Huru, NMB Yadhamini Mkutano Mkuu wa Jukwaa la Wahariri

  Benki ya NMB imeshiriki kikamilifu kama mdhamini wa Mkutano Mkuu Maalum wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), unaofanyika mjini...

READ MORE

Dereva wa Bajaji Iliyoteketea Kwa Moto Ubungo Mawasiliano Akamatwa

Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam wamemkamata dereva wa bajaji aitwaye John Bariki Mosha (30), mkazi wa Kimara...

READ MORE

Majaliwa: Serikali Itaendelea Kuboresha Mazingira Ya Uwekezaji

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Sita, inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan itaendelea kufanya maboresho...

READ MORE