×

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Aprili 5, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

JWTZ Lajivunia Ushirikiano na Jeshi la Ujerumani

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi  Nchini Jenerali Jacob John Mkunda amekabidhiwa rasmi hospitali ya Daraja la Nne ya viwango vya...

READ MORE

Rais Wa Korea Kusini Ang’olewa Rasmi

Mahakama ya kikatiba ya Korea Kusini imeidhinisha uamuzi wa kumuondosha rasmi madaraka Rais Yoon Suk Yeol ambaye alisimamishwa kazi na...

READ MORE

Rais Mwinyi: Uchaguzi Mkuu Utafanyika Kwa Amani Na Utulivu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt, Hussein Ali Mwinyi amewahakikishia Wananchi kuwa Uchaguzi Mkuu Ujao Utafanyika...

READ MORE

Simba Yamtangaza Karia Kuwa Mgeni Maalumu Dhidi ya Al Masri Uwanja wa Mkapa

Klabu ya Simba imemtangaza Rais wa Shirikisho la soka Tanzania (TFF), Wallace Karia kuwa Mgeni maalumu kwenye Mchezo wao wa...

READ MORE

Tusua Kijanja na Meridianbet Leo kwenye mechi za leo

Mechi kali leo hii Duniani zinaendelea na Meridianbet wapo tayari kuhakikisha hawakuachi hivyo hivyo, na ndio maana wameamua kukupatia ODDS...

READ MORE

Video: Vilio Vyaibuka Baada Ya Majibu Ya DNA Ya Mama Aliyedai Kubadilishiwa Mtoto

Sakata la mwanamke Neema Kilugala, kudai kubadilishiwa mtoto na kupewa aliyefariki dunia baada ya kujifungua, limechukua sura mpya baada ya...

READ MORE

Sowa Acharuka Ligi Kuu, Yanga Wamtamani Msimu Ujao

MSHAMBULIAJI Jonathan Sowa mali ya Singida Black Stars inayotumia Uwanja wa Liti kwa mechi za nyumbani balaa lake limezidi kuwa...

READ MORE

Shuhuda: Dereva Alikuwa Akwepa Gari ya Msiba, Ajali ya Basi Kilimanjaro – Video

Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro limetoa taarifa ya chanzo cha ajali ya Basi la kampuni ya Mvungi lililokuwa likitokea Ugweno...

READ MORE

Stars Yashuka viwango vya soka duniani, Argentina Nafasi ya Kwanza

Shirikisho la soka ulimwenguni FIFA limetoa viwango vipya vya soka duniani ambapo timu ya Taifa Tanzania Taifa Stars imeshuka kwenye...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Aprili 4, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

Rais Samia Azungumza na Bibi Moza Himid na Mume wake

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amezungumza na Bibi Moza Himid na Mume wake Professa...

READ MORE

Museveni Awasili Sudan Kusini kufanya mazungumzo na Rais Salva Kiir

Kuna hofu huenda Sudan Kusini ikatumbukia tena katika vita vya wenyewe kwa wenyewe. Uganda imetuma majeshi nchini humo kuunga mkono...

READ MORE

Kazi ya Kila Siku ni Moja Tu, Kucheza Blackjack Live

Mchezo wa Blackjack Live        Watengenezaji wa michezo ya kasino mtandaoni Expanse Studios, inakuletea mchezo rahisi kucheza na kushinda kupitia Meridianbet...

READ MORE

Maonesho ya Wadau wa Afya ya Kinywa na Meno Kufanyika Nchini

Dar es Salaam, Aprili 2025: Maonesho ya kwanza ya wadau wa huduma za afya ya kinywa na meno Tanzania (Tanzania...

READ MORE

Suluhisho Bunifu za Tabianchi Zatangazwa StartUp Nne Zashinda

Dar es Salaam, Tanzania – 3 Aprili 2025 – Climate-KIC, kwa kushirikiana na SmartLab, inayo furaha kutangaza washindi wa Programu...

READ MORE

Video: Vipimo Vya Dna Vyatoka Aliyelia Kubadilishiwa Mtoto Arusha -Mtoto Anayemkataa Ni Wake 99%

Sakata la mwanamke Neema Kilugala, kudai kubadilishiwa mtoto na kupewa aliyefariki dunia baada ya kujifungua, limechukua sura mpya baada ya...

READ MORE

Bahati Nasibu ya Taifa Yashirikiana na Selcom Kurahisisha Upatikanaji wa Michezo ya Kubahatisha

Dar es Salaam, 3 Aprili 2025. Bahati Nasibu ya Taifa ya Tanzania, leo imetangaza rasmi ushirikiano na mtoa huduma kinara...

READ MORE

Watu Saba Wafariki, 32 Wajeruhiwa Baada ya Basi Kupinduka Mwanga – Video

Watu Saba wamefariki dunia papo hapo huku wengine 32 wakijeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya Mvungi, walilokuwa wakisafiria kupinduka...

READ MORE

Chadema Yamtengua Katibu Wa Sekretariet Kisa No Reform, No Election

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) John Mnyika jana Aprili 2, 2025 ametangaza kutengua uteuzi wa Julius...

READ MORE