×

Dawa ya Mume Mwenye Gubu Ndani ya Nyumba Ni Hii

Ndoa ama mahusiano bila ya mapenzi huwa si hayaendi mbali kwani mapenzi huwa kiini cha umoja na mshikamano. Wapenzi kwenye...

READ MORE

Nafasi Za Kazi 51 MDAs NA LGAs, Mwisho maombi Aprili 7, 2025

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wizara, Idara zinazojitegemea na Wakala wa Serikali pamoja...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Kufanya Ziara Ya Kiserikali Nchini Angola Kuanzia Aprili 7, 2025

Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kuanza ziara ya kiserikali ya siku 3 katika Jamhuri ya Angola kesho...

READ MORE

Dua Maalum ya Alhaj Omary Rashid Mchengerwa Yafanyika Rufiji, Pwani

Dua maalum ya kumbukumbu ya siku 40 tangu kufariki dunia kwa Alhaj Omary Rashid Mchengerwa imefanyika leo katika kijiji cha...

READ MORE

NMB Yabeba Huduma za Benki Hadi kwa Mteja Popote Alipo

Benki ya NMB imesema itaendelea kuwekeza kwenye mifumo ya kidijitali ili kuongeza upatikanaji wa huduma za kifedha kwa Watanzania, ikiwa...

READ MORE

Leo Ndiyo Siku! Mechi Kubwa, ODDS Kubwa, Ushindi Mkubwa!

Mechi kali leo hii Duniani zinaendelea na Meridianbet wapo tayari kuhakikisha hawakuachi hivyo hivyo, na ndio maana wameamua kukupatia ODDS...

READ MORE

Chadema Kuzuia Uchaguzi ni Kufanya Jinai, G-55 Wanazungumza – Video

Aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa CHADEMA John Mrema amesema iwapo chama hicho kitatekeleza mpango...

READ MORE

Uhifadhi Ni Uti Wa Mgongo Wa Sekta Ya Utalii Nchini

Taasisi ya Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi imepongezwa kwa kazi kubwa inayoifanya ya kuandaa na kutoa askari wengi wanaofanya kazi kubwa...

READ MORE

TRA Yawashukuru Wahariri kwa Kuhamasisha Ulipaji Kodi

Mkurugenzi wa Elimu kwa Mlipakodi na Mawasiliano wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Richard Kayombo, amewashukuru viongozi na wanachama wa...

READ MORE

Waziri Mkuu Kuongoza Harambee Ya Mei Mosi Kitaifa

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa usiku wa Aprili 5, 2025 anaongoza harambee ya kuwezesha maadhimisho ya Mei Mosi Kitaifa kwenye ukumbi...

READ MORE

Puma Yachangia Mitungi ya Gesi Katika Shughuli za Mbio za Mwenge Chalinze

Puma Energy Tanzania inaendelea kushirikiana na serikali katika kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia ambapo imeshiriki katika hafla ya...

READ MORE

Kumbuka Ampa Makavu Niffer “Jishikilie Kila Sehemu Upo” – Video

Mtangazaji na staa wa mitandaoni, Dokta Kumbuka amesema siku mwanadada mfanyanyabiashara, Niffer alipomtuma bodaboda kwenda kununua gauni kwa Fahyma kabla...

READ MORE

Stanbic Yaja na ‘Lipa na Stanbic’ – Suluhisho Jipya la Kidijitali

Benki ya Stanbic Tanzania yazindua “Lipa na Stanbic,” suluhisho la malipo ya kidijitali linalowezesha wafanyabiashara kupokea malipo kutoka kwa mitandao...

READ MORE

Doto Biteko: Mradi Wa Kufua Umeme Wa Julius Nyerere Wakamilika Rasmi -Video

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewataka Watanzania kutegemea kupata umeme wa uhakika baada ya Mradi...

READ MORE

Msimu Wa Pasaka Ni Msimu Wa Tabasamu La Zawadi Na Mchezo Supa

Kuelekea msimu wa sikukuu za Pasaka ambazo zinatarajiwa kufanyika mwishoni mwa wiki ijayo, Mchezo Supa imetangaza Kampeni mpya ya kutoa...

READ MORE

Shigongo: Serikali ya Rais Samia imeleta mabadiliko makubwa Buchosa – Video

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan, imeleta mabadiliko...

READ MORE

TRA Yakusanya Shilingi Trilioni 7.53 kwa kipindi cha Januari hadi Machi 2025

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imefanikiwa kukusanya Shilingi Trilioni 7.53 kwa kipindi cha Januari hadi Machi 2025, ikizidi lengo la...

READ MORE

Dkt. Biteko: Tuzo Za Malkia Wa Nguvu Ni Chachu Ya Maendeleo Kwa Wanawake Na Jamii

Jukwaa la Malkia wa Nguvu la Clouds Media lilioanzishwa mwaka 2016 limeendelea kutimiza lengo lake la kuhamasisha na kuunga mkono...

READ MORE

Rais Samia Afanya uteuzi wa viongozi mbalimbali

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali kushika nyadhifa muhimu katika...

READ MORE

Mkuu wa Wilaya Awataka Wakazi wa Arusha Kuchangamkia Fursa za Huduma Jumuishi za Kifedha

Arusha, Tanzania 17 Aprili 2025: Mkuuwa Wilaya ya Arusha, Mhe. Joseph Mkude, amezindua rasmi chapa mpya za Yas na Mixx...

READ MORE