×

Trump: Marekani Haihitaji Makubaliano Kupata Uranium Iran, Aibua Hofu Mashariki ya Kati

Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa Marekani haihitaji makubaliano ya kidiplomasia na Iran ili kupata uranium iliyorutubishwa kutoka nchini...

READ MORE

Familia ya Glazer Yadaiwa Kutaka Kuuza Manchester United

Kundi la wawekezaji kutoka Qatar lililoongozwa na Sheikh Jassim bin Hamad Al Thani halitawasilisha ofa mpya ya kuinunua Manchester United...

READ MORE

Mixx Yajivunia Ongezeko la Wateja Kupitia Kampeni ya ‘Kila Muamala ni Bao la Ushindi

Kampuni ya Mixx imejivunia kuendelea kuongezeka kwa idadi ya wateja wake pamoja na matumizi ya huduma zake za kifedha kidijitali...

READ MORE

Fahamu Makosa 3 Mabaya Wanayoyafanya Wanawake Kwa Wanaume

  MAPENZI ni maelewano. Mapenzi ni kusikilizana. Vinapokosekana hivyo vitu viwili muhimu, penzi linakosa uhai. Litakuwa linayumba kama gari lisilokuwa...

READ MORE

Mexico na Serbia Kuvaana Katika Kipimo Muhimu Kabla ya Kombe la Dunia 2026

Mechi ya kirafiki ya kimataifa kati ya Mexico dhidi ya Serbia ilipangwa kupigwa Leo 5 Juni 2026 saa 05:00 alfajiri...

READ MORE

Rais Samia Aongoza Mazungumzo ya Kiuchumi Jijini St. Petersburg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesisitiza umuhimu wa kuimarisha ushirikiano wa biashara na uwekezaji kati...

READ MORE

Makamu wa Rais Ahimiza Ushirikiano Katika Uhifadhi wa Mazingira (Picha +Video)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ametoa wito wa kutumia Maadhimsho ya Siku...

READ MORE

Fahamu Maajabu ya Mpira wa Kombe la Dunia 2026 Adidas “Trionda”

Kombe la Dunia 2026 litakumbukwa si tu kwa ukubwa wake wa kushirikisha mataifa matatu, bali pia kwa ubunifu wa kisasa...

READ MORE

Madonna Azua Taharuki Baada ya Kuning’inia Kwenye Kingo za Jukwaa

Mwanamuziki maarufu duniani Madonna amewaacha mashabiki wengi wakiwa na hofu kubwa baada ya kning’inia kwenye kingo za jukwaa akiwa kwenye...

READ MORE

Meridian Icy Fruits Yaanza Rasmi, Yaleta Burudani Mpya ya Sloti

Meridianbet imezindua Meridian Icy Fruits, sloti inayochanganya mandhari ya kuvutia ya majira ya baridi na nafasi kubwa za ushindi. Ukiwa...

READ MORE

Fahamu Mabasi ya Kifahari Yanayotumiwa na Timu Kubwa Ulaya

Timu kubwa za soka barani Ulaya zimeendelea kuwekeza katika usafiri wa kisasa kwa ajili ya wachezaji na benchi la ufundi,...

READ MORE

Matunda 9 Yanayosaidia Kupunguza Mafuta ya Tumbo

Baadhi ya matunda kama zabibu (grapefruit), nanasi, parachichi na kiwi yanaweza kusaidia kupunguza mafuta ya tumbo kutokana na kuwa na...

READ MORE

Finland na Tanzania Waimarisha Ubia wa Sekta ya Misitu Kupitia Jukwaa la Biashara na Uwekezaji

Ubalozi wa Finland nchini Tanzania, kwa ushirikiano na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Tanzania kupitia Mpango wa...

READ MORE

Oryx Gas Yaongoza Usafi Soko la Feri Kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani

KATIKA kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani, kampuni ya Oryx Gas imefanya usafi katika Soko la Kimataifa la Samaki Feri jijini...

READ MORE

Jennifer Lopez Atikisa Premier ya Netflix kwa Mtindo wa Kipekee

Mwigizaji na mwanamuziki maarufu duniani, Jennifer Lopez, amezua gumzo kubwa baada ya kuonekana katika zulia jekundu la onyesho la kwanza...

READ MORE

Familia ya Kifalme Yagawanyika Kabla ya Sherehe ya Harusi ya Peter Phillips

Sakata limeibuka ndani ya Familia ya Kifalme ya Uingereza kati ya Prince William na Queen Camilla kufuatia maandalizi ya harusi...

READ MORE

Je, Soko la Tanzania Liko Tayari Kwa Ubunifu wa Kiwango cha Dunia?

Kwa miaka mingi, chapa nyingi nchini Tanzania zipo kila mahali lakini ni ngumu mtu kuzikumbuka. Nembo kubwa jukwaani, DJ’s maarufu,...

READ MORE

Ronaldo Kuongoza Kizazi cha Wachezaji Wakongwe Marekani 2026

Wachezaji saba wenye umri wa miaka 40 na zaidi wanatarajiwa kushiriki kwenye Kombe la Dunia la FIFA 2026, jambo linaloonyesha...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Juni 5, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

YAS Yaahidi Mawasiliano Bora Kwa Watalii Kupitia KiliFair 2026

Arusha, Juni 2026 – Kampuni ya Mawasiliano ya Yas imetumia Maonesho ya Utalii ya Karibu-KiliFair 2026 yanayoendelea jijini Arusha kuonesha...

READ MORE