×

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Agosti 20, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Maharusi Wafariki Dunia Katika Ajali ya Helikopta Wakiwa Honeymoon

Maharusi kutoka Uingereza wamefariki dunia pamoja na rubani wao katika ajali ya helikopta nchini Ugiriki, dakika chache kabla ya kutua...

READ MORE

Nmb Yaingia Awamu Mpya Ya Ubora Wa Huduma Kwa Wateja

Benki ya NMB imekamilisha uhamishaji wa shughuli zake kwenda katika Mfumo Mkuu mpya wa Benki, hatua inayolenga kuongeza uwezo wa...

READ MORE

Simba Yaibuka na Ushindi wa 2-1 Dhidi ya Pamba Jiji, Yakwea Kileleni

Mwanza: Wekundu wa Msimbazi, Simba SC, wameanza msimu wa NBC Premier League kwa kasi baada ya kuichapa Pamba Jiji FC...

READ MORE

Waziri wa Kilimo Zanzibar Apongeza Kasi ya Ujenzi wa Seed Farm na Mabwawa ya Umwagiliaji

Zanzibar. Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Suleiman Masoud Makame, amepongeza kasi ya...

READ MORE

Baraza la Michezo Laibua Jingine Simba! “Serikali Imekamilisha Wajibu Wake” – Video

Dar es Salaam: Baraza la Michezo la Taifa (BMT) limetoa ufafanuzi kuhusu utekelezaji wa Katiba ya Klabu ya Simba iliyofanyiwa...

READ MORE

Vodacom Yakabidhi Madarasa Mawili Shule ya Msingi Mahilo Ruvuma

Ruvuma, Agosti 20, 2026 — Vodacom Tanzania Foundation imekabidhi madarasa mawili mapya yaliyojengwa katika Shule ya Msingi Mahilo mkoani Ruvuma,...

READ MORE

Kesi Ya Mauaji Ya Tupac Shakur Yaanza Kusikilizwa Rasmi

Kesi ya kihistoria inayohusiana na mauaji ya nyota maarufu wa muziki wa Hip-Hop, Tupac Shakur, imeanza rasmi katika Mahakama ya...

READ MORE

Ufaransa Yajibu Iran Yawafukuza Wanadiplomasia Wawili – Video

Ufaransa imetangaza kuwa itawafukuza wanadiplomasia wawili wa Iran kutoka nchini humo katika siku zijazo, hatua inayoongeza mvutano wa kidiplomasia kati...

READ MORE

Msimu Mpya, Vita mpya: Simba na Atletico Madrid Kukiwasha leo

Je unajua kuwa ukiwa na dau dogo, unaweza ukajipatia ushindi mnono?. Basi karibu ujiunge na mabingwa wa ubashiri Tanzania utengeneze...

READ MORE

UAE Yasimamisha Shughuli Zote za Biashara na Iran, Waziri Afunguka

Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) umetangaza kusitisha shughuli zote za kibiashara na kifedha na Iran hadi itakapotangaza vinginevyo, huku...

READ MORE

Rekodi Zambeba Mnyama Simba Dhidi ya Pamba leo

Pamba Jiji FC vs Simba SC ni leo Agosti 19, 2026 Uwanja wa Kirumba rekodi zinambeba mgeni katika mechi 4...

READ MORE

Vieira Apata Kibarua Kipya, Apewa Jukumu la Kuinoa Senegal

  Gwiji wa zamani wa Arsenal, Patrick Vieira, ametangazwa kuwa kocha mkuu mpya wa timu ya taifa ya Senegal, akichukua...

READ MORE

Eastern Fury Yafika Meridianbet, Nguvu Mpya ya Kasino ya Pragmatic Play

Eastern Fury kutoka Pragmatic Play imewasili kwenye kasino mtandaoni ya Meridianbet ikiwa na nguvu mpya kabisa ambayo haikuwahi kushuhudiwa hapo...

READ MORE

Rodri Arejea Hispania, Ajiunga na Barcelona kwa Miaka Minne, Aaga Man City

Mshindi wa Kombe la Dunia akiwa na Hispania, Rodri, amesema yuko tayari kuanza ukurasa mpya wa maisha yake ya soka...

READ MORE

Marekani Yaiwekea Vikwazo ICC, Trump Aongeza Shinikizo kwa Mahakama ya Kimataifa

Serikali ya Marekani imeweka vikwazo dhidi ya Rais wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), Tomoko Akane, pamoja na mwanasheria...

READ MORE

Simba Yamtambulisha Rasmi Ibrahim Nindi Akitokea Singida Black Stars

Klabu ya Simba SC imemtambulisha rasmi beki wa kati Ibrahim Nindi kama mchezaji mpya wa kikosi hicho, akirejea Msimbazi baada...

READ MORE

Simba Kuwakosa Nyota Wawili Dhidi Pamba Jiji, CCM Kirumba

Klabu ya Simba SC inayonolewa na Kocha , Steve Barker ina kibarua kizito kukabiliana na Pamba Jiji FC kwenye NBC...

READ MORE

Wabunifu Wataka Utamaduni wa Afrika Uingizwe Kwenye Majengo ya Kisasa

Dar es Salaam. Taasisi ya Utamaduni na Maendeleo Afrika Mashariki (CDEA) imeendelea kuhamasisha matumizi ya urithi wa Afrika katika usanifu...

READ MORE

Trump Aongeza Shinikizo, Ataka Hormuz Kuwa “Eneo Jipya la Marekani”

Rais wa Marekani Donald Trump ameendelea kusisitiza tishio lake la kutaka Marekani ichukue mamlaka Mlango wa Hormuz, njia muhimu ya...

READ MORE