×

Watanzania Wamheshimisha Dk. Biteko Kili Marathon Leo

Kilimanjaro, 23 Februari 2025: Wanariadha wa Kitanzania wameng’ara katika mbio za Kimataifa za Kilimanjaro mwaka huu, ambapo Hamis Misai alishinda...

READ MORE

Kadi Nyekundu Ya Derick Mukombozi dhidi ya Simba Yafutwa

KAMATI ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi imefuta adhabu ya kadi nyekundu (Red Card) aliyooneshwa mchezaji wa Namungo, Derick Mukombozi...

READ MORE

Polisi Wadaiwa Kujiunga Na M23 Bukavu

Mamia ya askari wa Jeshi la Polisi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, wanadaiwa kujiunga na waasi wa M23 katika...

READ MORE

Majaliwa: Endelezeni Mafunzo Ya Dini kutoa fursa kwa watoto na vijana

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa viongozi wa madhehebu ya dini kuendelea kufundisha na kuimarisha elimu ya dini ili...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Ashiriki Hafla Ya Utoaji Tuzo Za Wasanii Wa Komedi, Washindi Wapo Hapa (Picha +Video)

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan Jumamosi Februari 22, 2025 amesema Serikali itaendelea kuwashika mkono wasanii...

READ MORE

Uwindaji wa Kitalii Kuiingizia Tanzania Bil2.5

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatarajia kuingiza jumla ya Dola za Kimarekani 968,000 sawa na shilingi za kitanzania...

READ MORE

Jinsi Ya Kuondoa au Kupunguza Mafuta Tumboni Kwa Wanawake… Soma Hapa

WANAWAKE wengi miaka ya karibuni wanakabiliwa na tatizo linalofanana na kitambi kwa upande wa wanaume. Hivyo ingekuwa ni wanaume tungesema...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Februari 23, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

Serikali ya Mkoa wa Kilimanjaro Yawapongeza Wadau Kwa Kupanda Miti

SERIKALI mkoani Kilimanjaro imeipongeza kampuni ya mawasiliano ya Yas Tanzania kama wadau wa mazingira kwa kazi kubwa ambayo inafanya kwa...

READ MORE

Mtwara Wanufaika na Kampeni ya Mixx by Yas

Hatimaye kampeni ya Magift inayofanywa na kampuni ya Yas Tanzania, kupitia kitengo cha Mixx by Yas imeweza  kuwazawadia, wateja na...

READ MORE

Aweso Afanya Mabadiliko Mamlaka Ya Maji Moro

Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, leo Februari 22, 2025, amefanya mabadiliko ya kiutendaji katika Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa...

READ MORE

Waziri Mkuu Ashuhudia Makabidhiano Ya Zana Za Kilimo

▪️Ni mpango wa Serikali wa kukabidhi zana za kilimo kwenye vituo 45 vya zana nchini._ ▪️Trekta tano na majembe yake...

READ MORE

Polisi : Aliyekamatwa Ni Kishandu

Jeshi la Polisi limetoa taarifa kwa umma kuhusu video inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii inayoonesha mwanaume mmoja akikamatwa kwa nguvu....

READ MORE

‘Derby’ ya Mzizima kati ya Simba dhidi ya Azam Kupigwa Jumatatu Kwa Mkapa

Mchezo wa ‘Derby’ ya Mzizima kati ya Simba Sc dhidi ya Azam utakayopigwa Jumatatu Februari 24, 2025 umehamishwa kutoka uwanja...

READ MORE

Rais Samia Atangaza Fahari Ya Kahawa Ya Tanzania Katika Mkutano Wa G25

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameongoza Mkutano wa Tatu wa Nchi Zinazozalisha Kahawa...

READ MORE

Eric Shigongo: Watanzania Tembeeni Vifua Mbele, Nchi Yenu Ni Tajiri – Video

Baada ya kurejea kutoka nchini Marekani ambako alikuwa kwenye ziara ya kikazi, Mbunge wa Buchosa na Mkurugenzi wa Global Group,...

READ MORE

Trump Ampiga Chini Kigogo Wa Jeshi

Rais Donald Trump amemfukuza kazi mwenyekiti wa Wakuu wa Majeshi ya Marekani, Jenerali wa Jeshi la Anga C.Q. Brown, na...

READ MORE

Rwanda: Vikwazo Vya Marekani Kwetu Si Halali

  Serikali ya Rwanda imelaani vikali hatua ya Wizara ya Fedha ya Marekani ya kumwekea vikwazo Waziri wa Utangamano wa...

READ MORE

Meridianbet Yagawa Jezi Za Mpira Wa Miguu Kwa Timu 2

Ikiwa ni Jumamosi ya Februari 22, wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet walizitembelea timu mbili moja kutoka Dar es salaam na...

READ MORE

Waziri Silaa Azindua Kampeni ya ‘Sitapeleki’ Kukabili Utapeli Mtandaoni

  Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb.) akizungumza katika Mkutano wake na waandishi wa...

READ MORE