×

Real Admiral Hassan Awataka Wataalam Uokoaji Kufanya Kazi Kwa Weledi

Mkuu wa Kamandi ya Jeshi la Wanamaji, Real Admiral Ameir Ramadani Hassan, amewataka wataalam wa zimamoto na uokoaji wa Jeshi...

READ MORE

TBL Yashiriki Zoezi la Usafi Kulinda Mifumo ya Maji Taka Dar es salaam

Kampuni ya Tanzania Breweries Plc (TBL) imefanya zoezi la usafi katika Wilaya ya Ilala, jijini Dar es Salaam, ikiwa ni...

READ MORE

Spika Zungu Akagua Ukumbi wa Bunge Kabla ya Mkutano wa Bajeti 2026/27 – (Picha + Video)

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu, leo Machi 24, 2026 amekagua ukumbi wa Bunge...

READ MORE

Tukio la Kusikitisha Kigamboni: Mwanadada Auawa, Wakazi Wabaki na Maswali – Video

Hali ya huzuni na simanzi imetawala eneo la Kisota, Kigamboni, kufuatia kifo cha kusikitisha cha mwanadada Lina Kimaro, aliyedaiwa kuuawa...

READ MORE

Tanzania Mnufaika wa Mpango wa TEF wa Ujasiriamali Afrika 2026

Tanzania imepata uwakilishi miongoni mwa wanufaika wa Mpango wa Ujasiriamali wa Taasisi ya Tony Elumelu (TEF) wa mwaka 2026, huku...

READ MORE

Kongamano la Kiswahili Duniani Lafunguliwa Rasmi Jijini Arusha

  Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla, ameungana na Waziri wa Habari,...

READ MORE

Video: Mlipuko Mkubwa Watikisa Kiwanda cha Mafuta Texas, Moto Wazuka

Mlipuko mkubwa na moto mkali umezuka katika kiwanda cha kusafisha mafuta cha Port Arthur, kinachomilikiwa na Valero Energy, kilichopo katika...

READ MORE

Chuck Norris Aacha Urithi Mkubwa Mke na Watoto Watano Kunufaika

Gwiji wa sanaa za mapigano na filamu, Chuck Norris, ameacha urithi mkubwa wenye thamani ya takriban dola milioni 70 sawa...

READ MORE

Ajali ya Ndege ya Jeshi Colombia Yaua 66, Wengine 80+ Wajeruhiwa

Ndege ya Jeshi iliyokuwa imebeba takribani watu 125, wengi wao wakiwa wanajeshi, imeanguka muda mfupi baada ya kupaa katika mji...

READ MORE

Spika wa Bunge la Iran Akanusha Mazungumzo na Marekani – Video

Spika wa Bunge la Iran, Mohammad Bagher Ghalibaf, amekanusha vikali madai ya kuwepo kwa mazungumzo yoyote kati ya Iran na...

READ MORE

Shinda Samsung Galaxy A26 Kupitia Promosheni Kubwa ya Meridianbet

Kupitia promosheni kabambe ya Bet Online, mteja anaweza kujishindia simu janja aina ya Samsung A26 na kutimiza ndoto zake. Changamkia...

READ MORE

Serikali ya Kenya Yatoa Msamaha kwa Wakenya Waliojiunga na Vita vya Urusi

Raia wa Kenya waliojiunga kupigana vita kwa niaba ya Urusi dhidi ya Ukraine watapewa msamaha watakaporejea nyumbani,” Waziri wa Mambo...

READ MORE

Yanga Yamrudisha Kocha Abdihamid Moalin Kuinua Kiwango cha Timu

Klabu ya Yanga, imetangaza kumrejesha kocha Abdihamid Moalin kuwa kocha Msaidizi chini ya Kocha Mkuu Pedro Gonçalves hatua ambayo klabu...

READ MORE

Japan Yaanza Kuachia Akiba ya Mafuta Kukabiliana na Upungufu wa Nishati

Serikali ya Japan imetangaza kuanza kuachia sehemu ya akiba yake ya kitaifa ya mafuta kuanzia Alhamisi, hatua inayolenga kukabiliana na...

READ MORE

Jifunze Kilimo cha Strawberry Aina, Mbinu na Faida

Strawberry (fukisadi) ni moja ya matunda yanayolimwa kwa faida kubwa, hasa kutokana na mahitaji yake ya soko la ndani na...

READ MORE

Mzuka wa Ushindi Waongezewa Uzito Na Ruby Play Meridianbet

Kuna kitu kipya kinapika moto ndani ya Meridianbet, na safari hii ni burudani iliyojaa mabadiliko makubwa. Kupitia ushirikiano wake na...

READ MORE

Trump Atoa Matumaini Mapya Kuhusu Uhusiano wa Marekani na Iran

Rais wa Marekani Donald Trump amewaambia waandishi wa habari akiwa Palm Beach kwamba Marekani na Iran zina maeneo makubwa ya...

READ MORE

Wadau Washangazwa na Ukaribu wa Diamond na Lulu Diva

Msanii nyota wa Bongo Fleva na Mkurugenzi Mtendaji wa WCB Wasafi, Diamond Platnumz, Machi 23, 2026 amezua gumzo mitandaoni baada...

READ MORE

Nafasi Mpya za Ajira The Amazon College – Omba Sasa!

Chuo cha The Amazon College – Dar es Salaam kinatangaza nafasi za kazi kwa watu wenye sifa na ari ya...

READ MORE

Fanya Hivi Kama Unaona Mpenzi Wako Hamuendani!

NI Jumanne nyingine tunakutana kwenye eneo letu la kupeana elimu ya uhusiano. Ulimwengu huu ni mzuri kama utampata mtu sahihi....

READ MORE