×

Juma Lokole Amwaga Machozi Baada ya Kupewa Gari Siku ya Birthday

Dar es Salaam – Msanii na mchekeshaji maarufu, Juma Lokole, amegusa hisia za mashabiki baada ya kuonekana akimwaga machozi ya...

READ MORE

Oryx Gas Yazindua Duka Chato Kusogeza Nishati Safi ya Kupikia

KAMPUNI ya Oryx Gas Tanzania imeendelea kuunga mkono juhudi za Serikali kusogeza nishati safi ya kupikia kwa wananchi baada ya...

READ MORE

Mwanamke Akana Kumshambulia Rihanna Kwa Risasi, Kesi Yaanza Kusikilizwa Los Angeles

Mwanamke mmoja kutoka jimbo la Florida, Marekani, amekanusha mashtaka mazito yanayomkabili ya kujaribu kumuua nyota wa muziki duniani, Rihanna, kufuatia...

READ MORE

Mashindano ya FIFA Series 2026 Kuanza Leo Rwanda, Stars Kukiwasha na Liechtenstein

Mashindano ya kimataifa ya soka ya FIFA Series 2026 yanaanza rasmi leo Machi 26, 2026 jijini Kigali, huku Rais wa...

READ MORE

Sweden Kulipa Kisasi au Ukraine Kuendeleza Ubabe mbele ya Sweden?

Usiku wa leo macho ya mashabiki wa soka yataelekezwa kwenye dimba la Estadi Ciutat De Valencia, ambapo timu ya taifa...

READ MORE

Trump: Tumekata Saratani ya Nyuklia Iran, Vita Yaelekea Mwisho

Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema kuwa Marekani kwa kushirikiana na Israel imefanikiwa kudhoofisha kwa kiwango kikubwa mpango wa nyuklia...

READ MORE

TBL Yachukua Hatua Muhimu Kulinda Mifumo ya Maji Jijini Dar es Salaam

Kampuni ya Tanzania Breweries PLC (TBL) imeadhimisha Siku ya Maji Duniani kwa kuchukua hatua ya moja kwa moja ya kulinda...

READ MORE

ALAF Yaahidi Kuendelea Kuwekeza Katika Afya za Wafanyakazi Kupitia Kili Marathon

Moshi, Tanzania – Kampuni ya ALAF Limited imeahidi kuendelea kuwekeza zaidi katika afya za wafanyakazi wake kwa kuhimiza ushiriki wao...

READ MORE

Senegal Yawasilisha Rufaa CAS Kupinga kupokonywa Ubingwa wa AFCON 2025

Shirikisho la Soka la Senegal (FSF) limewasilisha rasmi rufaa katika Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) kupinga uamuzi wa Shirikisho...

READ MORE

Mohamed Salah Atangaza Kuondoka Liverpool Bure Mwisho wa Msimu

Mshambuliaji nyota wa Mohamed Salah ametangaza rasmi kuwa ataondoka ndani ya klabu ya Liverpool mwishoni mwa msimu huu, akihitimisha safari...

READ MORE

Video: Serikali Yatoa Mwongozo Kwa Waliopoteza Pasipoti Nje ya Nchi

Ofisa Uchunguzi Mkuu kutoka Sekretarieti ya Kuzuia na Kupambana na Usafirishaji Haramu wa Binadamu, Selestine Makoba, amewataka Watanzania walioko nje...

READ MORE

Jinsi ya Kupunguza Mafuta ya Ini kwa Lishe Sahihi

Ini lenye mafuta ni hali inayotokea pale mafuta yanapokusanyika kwa wingi kwenye seli za ini, jambo linaloathiri utendaji wake kwa...

READ MORE

Nchi Za Kiarabu Zalalamika Kushambuliwa Na Iran, Zatoa Onyo – Video

Nchi za Ghuba ya Kiarabu zimeendelea kutoa onyo kali kuhusu hali ya usalama katika eneo hilo, zikieleza kuwa zinakabiliwa na...

READ MORE

Furahia Ijumaa kwa Zawadi Kutoka Meridianbet Kupitia Lucky Friday

Kama unatafuta sababu ya kusubiri Ijumaa kwa hamu, basi hii ndiyo nafasi yako. Meridianbet imekuja na promosheni kali iitwayo Lucky...

READ MORE

Djigui Diarra, Bissouma na Nyota Wengine Waachwa Kikosi cha Mali

Kocha wa Timu ya Taifa ya Mali, Tom Saintfiet ametangaza kikosi cha wachezaji 25 kwa ajili ya mechi mbili za...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Machi 26, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

Rais Mstaafu Kikwete Ateuliwa Kuwa Mwakilishi Maalum Wa Pembe Ya Afrika Na Bahari Nyekundu

Rais Mstaafu Dkt, Jakaya Mrisho Kikwete ameteuliwa kuwa Mwakilishi Maalum wa Umoja wa Afrika kwa Ukanda wa Pembe ya Afrika...

READ MORE

Serikali Yasisitiza Ubora wa Maudhui kwa Ajili ya Vijana

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewataka watayarishaji wa vipindi vya elimu kwa umma kuandaa maudhui yatakayowafikia na kuwagusa vijana kwa...

READ MORE

PDPC Yatoa Ufafanuzi Kuhusu Usajili wa CCTV, Yatoa Elimu Mpya

Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) imebaini kuwepo kwa taarifa zisizo sahihi zinazosambazwa mitandaoni zikidai kuwa kila mwenye kamera...

READ MORE

Jeshi la Magereza Lakanusha Taarifa za Kuhusu Afya ya Tundu Lissu

Jeshi la Magereza nchini Tanzania limetoa kanusho kali dhidi ya taarifa zilizoandikwa na baadhi ya magazeti zikidai kuwa hali ya...

READ MORE