×

Mambo Yazidi Kunoga, Fundi Gereji wa Madale Naye Aibuka na Mil. 5 ya Magift ya Kugift

Dar es Salaam 24 Januari 2025: Kampuni ya mtandao wa simu ya Yas Tanzania leo, imekabidhi zawadi kwa washindi wa...

READ MORE

Uhamiaji Yathibitisha Kuwatunuku Uraia Wachezaji 3 Wa Singida Black Stars

Idara ya Uhamiaji imetoa ufafanuzi kuhusu sakata la wachezaji watatu wa Singida Black Stars ambao ni Emmanuel Kwame Keyekeh (Ghana),...

READ MORE

AU Yatoa wito kwa Trump Kufikria tena Uamuzi wake wa Kuiondoa Marekani WHO

Umoja wa Afrika (AU) jana Jumatano Januari 23, 2025 umetoa wito kwa Rais mpya wa Marekani, Donald Trump, kufikria tena...

READ MORE

Takata na Mshiko wa Maana Leo Hii

Alhamisi ya leo mechi kali za Europa zinaendelea na Meridianbet wapo tayari kuhakikisha hawakuachi hivyo hivyo, na ndio maana wameamua...

READ MORE

Meridianbet Mikakati Kibao 2025 Baada Ya Kufanikiwa 2024

Katika mkutano mkubwa uliofanyika mwishoni mwa mwaka 2024 jijini Orlando mkurugenzi wa Meridianbet bwana Zoran Milosevic kupitia makampuni ya GMGI...

READ MORE

Jeshi la Polisi Kuendelea Kusimamia Usalama Shughuli za Vyama Vya Siasa Bila Kujali Itikadi

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Jeshi la Polisi litaendelea kutekeleza jukumu lake la kikatiba...

READ MORE

ZEEA Yaanza Kutoa mikopo Kidijitali, Maafisa Washauriwa Kuwa Makini

MIKOPO kwa njia ya kidijitali inayoanza kutolewa na Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar (ZEEA) imeelezwa kuwa itawasaidia wananchi kupata...

READ MORE

Kiungo Wa Simba Jean Ahoua Bado Hajaeleweka

NDANI ya kikosi cha Simba mtambo wa kutengeneza mabao ni Jean Ahoua ambaye haeleweki kutokana na kiwango chake kuwa cha...

READ MORE

Moto Mwingine Mkubwa Wazuka Kaskazini mwa Los Angeles – Video

Moto mwingine mkubwa umezuka hapo jana na kuteketeza eneo lenya ukubwa wa takribani ekari 9400 katika eneo la Castaic, Kaskazini...

READ MORE

Mchengerwa: Watumishi Wanaotaka kugombea nafasi za kisiasa zingatieni taratibu za kiutumishi

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa amewataka watumishi wa umma wanaohudumu...

READ MORE

Kiboko Aliyetesa Wananchi Kwa Miaka Mitano Auawa Na Askari Wa Wanyamapori Geita – Video

BAADA ya kiboko kuua ng’ombe watatu na kuharibu mazao ya mahindi katika kijiji cha Itale, Kata ya Katoma, Halmashauri ya...

READ MORE

Mjue Binti Wa Trump Ambaye Amekataa Kujiingiza Kwenye Siasa – Video

 Ivanka Trump hana mpango wowote wa kurudi White House kumsaidia baba yake kuendesha nchi wakati wa muhula wake wa...

READ MORE

Tundu Lissu Amteua John Mnyika kuwa Katibu Mkuu wa Chadema – Video

Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amemteua John Mnyika kuendelea kushika nafasi ya Katibu Mkuu wa Chadema, nafasi aliyokuwa akiishikilia tangu...

READ MORE

Kenya yarahisisha masharti ya safari kwa nchi za Afrika

Kenya imetangaza kuwa, itawaruhusu raia wa karibu mataifa yote ya Afrika kutembelea nchini humo bila kuhitaji idhini ya awali (visa)....

READ MORE

Samsung Yazindua Galaxy S25 Series Nchini Tanzania Inayotumia Akili Mnemba (AI)

 Dar es Salaam, Tanzania, 22 Januari 2025 – Kampuni ya Samsung Electronics Co., Ltd. imetambulisha rasmi simu zake za Galaxy...

READ MORE

Jimwage na Odds Babkubwa za Meridianbet kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya Leo

Kazi imebaki kwako tu kwani mabingwa wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet wamekurahisishia kazi wewe kupiga mkwanja, Kwani leo...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Akiwaapisha Majaji Wa Mahakama Wa Rufani (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, DKt. Samia Suluhu Hassan Akiwaapisha Majaji wa Mahakama ya Rufani, Ikulu Chamwino Dodoma,...

READ MORE

Diaspora Kushirikiana na Serikali Kuchangamkia Fursa

Watanzania wanaoishi Jamhuri ya Czech wameahidi kushirikiana na Serikali kuchangamkia fursa zinazopatikana katika nchi hiyo kwa manufaa ya nchi na...

READ MORE

Lissu Ashinda Nafasi ya Uenyekiti Chadema, Heche Makamu Mwenyekiti Bara – Video

Tundu Lissu ametangazwa kuwa mshindi wa nafasi ya uenyekiti wa Chadema baada ya kupata kura 513 kati ya kura 996,...

READ MORE

Lema Avunja Ukimya Ushindi Wa Lissu, Ujumbe Wa Mbowe Na Moto Wa Uchaguzi Chadema – Video

Godbless Lema aliyekuwa wakala wa Tundu Lissu kwenye uchaguzi wa uenyekiti ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amesema...

READ MORE