×

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Machi 24, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

Diwani Ndule Ashukuru Global TV Kusaidia Kurejesha Mwili wa Veronika Nyamwendo – Video

Diwani wa Kata ya Vighawe, Mpwapwa mkoani Dodoma, Emmanuel Ndule ameishukuru Global TV kwa jinsi ilivyosimamia suala la mwili wa...

READ MORE

Video: Serikali Yatangaza Hatua Kuhakikisha Mafuta Yanapatikana

Serikali imewahakikishia wananchi uwepo wa akiba ya mafuta ya kutosha nchini, huku ikijizatiti kufanya kila linalowezekana kuhakikisha nishati hiyo inapatikana...

READ MORE

Trump Aahirisha Mashambulizi Iran Kwa Siku Tano, Atoa Nafasi Ya Mazungumzo – Video

Rais wa Marekani, Donald Trump leo Machi 23, 2026 ametangaza kuahirisha mashambulizi yaliyokuwa yamepangwa kufanywa dhidi ya mitambo ya umeme...

READ MORE

Video ya “Happy” Yaonyesha Ubunifu wa Kipekee wa Diamond Platnumz

Staa wa muziki kutoka Tanzania, Diamond Platnumz, ameachia rasmi video mpya ya wimbo wake maarufu “Happy.” Video hiyo inakuja ikiwa...

READ MORE

Serikali Yatangaza Mpango wa ATCL Kufikia Ndege 24 Ifikapo 2030

SERIKALI imetangaza mpango wa kuongeza ndege nane kwa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), hatua itakayofikisha jumla ya ndege 24 ifikapo...

READ MORE

Iran Yakanusha Mazungumzo na Marekani, Yamjibu Trump Kuhusu Nishati

Serikali ya Iran kupitia Wizara yake ya Mambo ya Nje imekanusha vikali madai ya Rais wa Marekani Donald Trump kwamba...

READ MORE

Watanzania Watamba Yas Kili Marathon 2026, Wachukua Ubabe Nusu Marathon

Watanzania wameendelea kutoa ushindani wa kiwango cha juu katika mbio za kilomita 21 zinazobebwa na tamasha kubwa la kila mwaka...

READ MORE

Ndege ya Air Canada Yagongana na Gari la Uokoaji, Wawili Wafariki

Ajali mbaya imetokea katika Uwanja wa Ndege wa LaGuardia uliopo New York, baada ya ndege ya shirika la Air Canada...

READ MORE

Elie Mpanzu Asaini Mkataba Mpya wa Miaka Miwili Simba

Kiungo mshambuliaji wa kimataifa kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Elie Mpanzu, ameongeza mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kuitumikia...

READ MORE

Ukimya wa Inter Milan Wazaa Matokeo Makubwa Serie A

Vinara wa SERIE A, Inter Milan wameendelea kuwa na wakati mzuri baada ya kuendelea kufanya vizuri kwenye mashindano hasa ya...

READ MORE

Iran Yalenga Maeneo 8 Israel Katika Mashambulizi ya Makombora – Video

Iran imezidisha mashambulizi yake ya makombora dhidi ya Israel kwa kutumia makombora ya cluster, yakilenga maeneo nane tofauti katika sehemu...

READ MORE

Video: Polisi Wakamata Mgambo Watatu kwa Mauaji ya Kijana Bugando

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limewakamata askari mgambo watatu kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya kijana Rashid Masunga...

READ MORE

TVBET Yatoa Fursa Mpya ya Michezo ya Kasino ya Haraka Meridianbet

Kwa sasa wapenzi wa michezo ya kasino wanahitaji burudani inayokwenda sambamba na mtindo huo wa maisha. Meridianbet imeleta suluhisho hilo...

READ MORE

Mtaalamu wa Lishe Afichua Matunda Yasilofaa Kula Asubuhi

Mtaalamu wa lishe, Nichola Ludlam-Raine, amefichua aina ya matunda ambayo hayapendekezwi kuliwa mara kwa mara wakati wa kifungua kinywa, akieleza...

READ MORE

Huduma za Afya Darfur Zazorota Baada ya Hospitali ya El Daein Kushambuliwa

Hospitali ya Kufundishia ya El Daein iliyopo Darfur Mashariki imeingia katika hali ya kufungwa kabisa baada ya kushambuliwa kwa shambulio...

READ MORE

Arsenal Yakosa Tena Ubingwa, Guardiola Aandika Historia Atwaa Carabao

Manchester City wameendelea kuthibitisha ubora wao katika soka la England baada ya kutwaa ubingwa wa Carabao Cup kwa mara ya...

READ MORE

Raia wa Iran Walalamikia Hatari ya Kukatika Umeme na Maji

Raia wa Iran wameanza kuingiwa na hofu kubwa ya kukatika kwa huduma muhimu kama maji na umeme, huku mvutano kati...

READ MORE

Yanga Yashauriwa Kubadili Kocha na Benchi la Ufundi – Video

Mtangazaji na mchambuzi wa soka, Ibrahim Rajab maarufu kama Ball Dancer, ametoa ushauri kwa Young Africans SC kuachana na kocha...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Machi 23, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE