×

Mzee Wasira Avunja Ukimya, Awachana Chadema “Waliomba Maridhiano” – Video

Mwanasiasa mkongwe nchini, Stephen Wassira amesema katika chaguzi zote za serikali za kitaa, uchaguzi pekee unaolamamikiwa ni wa 2019 ambao...

READ MORE

Elimu Pekee Haiwezi Kukusaidia Kupata Ajira Bila Kujiongeza

Miaka kadhaa nyuma elimu ilionekana kuwa njia pekee ya uhakika ya kufanikiwa maishani, uwa na degree (shahada) kulithaminiwa sana lakini...

READ MORE

Madiwani Waomba Ujenzi wa Barabara Zisizopitika Zifanyiwe Ukarabati Mtama

Madiwani waomba ujenzi wa barabara zisizo pitika zifanyiwe ukarabati ili ziweze kupitika kwa urahisi na wakulima waweze kusafirisha mazao yao...

READ MORE

Nafasi Za Kazi DIT, Veta Na Necta, Mwisho wa kutuma maombi Oktoba 30, 2024

  Kwa niaba ya Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT), Chuo cha Ufundi Stadi (VETA), na Baraza la Mitihani...

READ MORE

NMB Kukuza Vipaji vya Ubunifu, Mageuzi ya Kidijitali UDSM Co-ICT

BENKI ya NMB na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), wamesaini mkataba wa makubaliano ya ushirikiano, unaolenga Kukuza Vipaji,...

READ MORE

Waziri Mkenda Aipa Kongole Benki ya NBC Utoaji Elimu ya Fedha kwa Wananchi

Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda ameipongeza Benki ya NBC kwa jitihada na mkakati wake wa kutoa...

READ MORE

Honda Yazindua Toleo Jipya la Honda ACE 150 kwa kishindo

Alhamisi Oktoba 24, 2024: Waendesha pikipiki nchini Tanzania sasa wana kila sababu ya kutabasamu baada ya kampuni ya Honda Motors...

READ MORE

Polisi Kata Nchi Nzima Kupewa Pikipiki Ili Kuimarisha Usalama

Waziri wa Mambo ya Ndani Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amesema Serikali inaendelea kuboresha utendaji kazi wa Polisi Kata na Shehia...

READ MORE

Vikundi vya Ulinzi Shirikishi Zingatieni Maadili ya Kazi

Vikundi vya Ulinzi Shirikishi Kata ya Ngara Mjini Wilaya Ngara Mkoa wa Kagera vimetakiwa kuzingatia Sheria kipindi cha utekelezaji wa...

READ MORE

Dkt Pindi Apokea Tuzo nne za Kimataifa za Utalii, Ampongeza Dkt Samia

Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) amepokea tuzo nne za Kimataifa za World Travel Awards kwa...

READ MORE

Dkt. Grace Apongeza Watumishi Wa Afya Kwa Utoaji Wa Huduma Bora

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nchi, Ofisi ya Rais (TAMISEMI) anayeshugulikia Afya Dkt Grace Magembe ametembelea na kukagua huduma zinazotolewa...

READ MORE

Kesi ya Gachagua kusikilizwa leo

Mapema kuanzia saa tano japo la majaji liliteuliwa na Mahakama kuu nchini Kenya, Limeanza kusikiliza kesi ya kuondolewa madarakani Kwa...

READ MORE

Yanga kuendeleza ubabe dhidi ya JKT leo?

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Tanzania bara, Yanga wanatarajiwa kushuka dimbani leo hii majira ya saa 1:00 usiku dhidi...

READ MORE

Teleza Kijanja na Mechi za UEFA Ndani ya Meridianbet

Ni leo tena na ni siku nyingine ya kusuka mkeka wako wa ushindi ukiwa na Meridianbet kwani hapa odds kubwa...

READ MORE

Mwenezi Amos Makala Aibua Jambo Zito Kuhusu Tundu Lissu “Kiongozi Mkubwa Hajajiandikisha” – Video

Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa CPA Amos Makala amewashukia baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani...

READ MORE

Zaidi Ya Washiriki 3,000 Washiriki Uzinduzi Wa Kampeni Ya Tuwaambie Kabla Hawajaharibiwa Arusha

Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limezindua kampeni ya tuwaambie kabla hawajaharibiwa kwa lengo la kuongea na wanafunzi kuanzia elimu...

READ MORE

Tanzania Na Singapore Kuimarisha Uhusiano Wake

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa uhusiano wa Tanzania na Singapore ni wa muda...

READ MORE

Saleh Jembe Amshusha Vyeo Chama “Hakuna Free Kick Kali Pale” – Video

Mchambuzi mkongwe wa soka nchini Saleh Jembe, amefunguka kupitia Global TV, ameonyeshwa kutopendezwa na maamuzi mabovu yaliyofanywa na mwamuzi Ramadhani...

READ MORE

Dkt. Biteko Afanya Mazungumzo Na Mwakilishi Wa Heshima Wa Tanzania Singapore

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko Oktoba 21, 2024 akiwa nchini Singapore amekutana na kufanya...

READ MORE

Mshindi wa Kampeni ya Ni Balaa Akabidhiwa Hundi ya Sh. Milioni 20

Abdulfadhili Birro ameibuka mshindi wa donge nono la shilingi milioni 20 kupitia Kampeni ya Ni Balaa! Kila Mtu Ni Mshindi....

READ MORE