×

Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania Ilivyoshinda Tuzo ya Ubora Katika Usalama

Johannesburg, Afrika Kusini, tarehe 19 Septemba 2024, Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania kupitia Kiwanja cha Kimataifa cha Julius Nyerere...

READ MORE

Tupo Mtaani Kwako ya ACB Bank Yazinduliwa

Kampeni mpya ya Tupo Mtaani iliyoletwa na Benki ya ACB imekuwa gumza. Hiyo ni baada ya Benki ya ACB kuzindua...

READ MORE

Waziri Mkuu Kumwakilisha Rais Samia kwenye Mkutano wa 79 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameondoka nchini leo (Alhamisi, Septemba 19, 2024) kwenda Marekani ambako atamwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan...

READ MORE

Bukua Mamilioni Kupitia Uefa Champions Legue Leo

Unaweza kupata fursa ya kupata ya kuianza wikiendi yako kwa namna kipekee kupitia michezo ya ligi ya mabingwa ulaya ambayo...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Awaapisha Viongozi Wateule Ikulu Jijini Dar Es Salaam

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amewaapisha Ndugu Nenelwa Joyce Mwihambi kuwa Jaji wa...

READ MORE

NMB yajitosa kuidhamini Yanga dhidi ya CBE CAF CL

KUELEKEA pambano la marudiano raundi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF CL 2024/25), dhidi ya CBE ya Ethiopia,...

READ MORE

Hot Shots Kasino Inayotamba Meridianbet, Ligi Inahamia Huku

Hii ni kwa wapenzi wa michezo isiyo ya kasino kama vile kubashiri mubashara na kucheza bahati nasibu, ni mchezo wa...

READ MORE

Yanga Watua Zanzibar kwa ajili ya mchezo dhidi ya klabu ya CBE

Kikosi cha Yanga kimeshafika Visiwani Zanzibar kwa ajili ya mchezo wa marudiano dhidi ya klabu ya CBE katika mashindano ya...

READ MORE

Dawa Hii Ilinisaidia Kumtibu Mzee Wangu Aliyekuwa Anasumbuliwa na Kisukari

Kutokana na mtindo wa maisha kwa dunia ya sasa ulioletwa na mageuzi ya viwanda, watu wengi wamekuwa wakikumbwa na magonjwa...

READ MORE

CCM Yasisitiza Uhusiano wa Kimataifa Kuimarisha Uchumi na Maendeleo ya Watu

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema kuwa Serikali na Nchi ya Tanzania, chini...

READ MORE

Waziri Jerry Silaa Ateua Watendaji wa Bodi ya Ithibati ya Wanahabari

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry William Silaa amewateua Watendaji wa Bodi ya Ithibati ya Wanahabari, kwa...

READ MORE

Tume Za Haki Za Binadamu Watoa Tamko Kukamatwa Kwa Boniface Jacob Wa Chadema – Video

Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimeshtushwa na kitendo cha kukamatwa kwa aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Ubungo,...

READ MORE

Kurasa za Magazeti ya leo septemba 19, 2024

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

Dkt. Biteko Awataka Wananchi Kigoma Kutunza Vyanzo vya Maji

Mwaka 2022/23 Serikali kupitia Mamlaka ya Maji Kibondo ilitenga zaidi ya Shilingi Bilioni 1.49 kwa ajili ya ujenzi wa tanki...

READ MORE

Mahakama Kuu Yatupilia Mbali Ombi la Mbunge wa Kisesa Mpina

Mahakama Kuu, Masijala ya Dar es Salaam, imetupilia mbali ombi lililowasilishwa na Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina la kuomba Mahakama...

READ MORE

Tanzania Yawekeza Kimkakati Katika Sekta Ya Tehama Ili Kukuza Uchumi Wa Kidijitali

Tanzania ina mifumo kadhaa ya kisheria na udhibiti inayoongoza sekta ya mawasiliano na TEHAMA ili kuhakikisha huduma ya intaneti ya...

READ MORE

WCF Watoa Elimu ya Fidia Kwa Waajiri

Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) umeendelea kutoa elimu kuhusu masuala ya fidia kwa wafanyakazi wanaoumia, kuugua au kufariki kutokana...

READ MORE

Nchi Wanachama Wa Red Cross Ukanda Wa Afrika Mashariki Na Bahari Ya Hindi Washiriki Mkutano Tanzania

Mkutano wa Red Cross na Crescent Network ni Mkutano unaohusisha Nchi wananchama wa Red Cross ukanda wa mashariki na bahari...

READ MORE

Serikali ya Zanzibar na Tigo Zantel Wazindua Mfumo wa Pamoja wa Kidigitali kwa Serikali

Zanzibar, 19 Septemba 2024 — Katika hatua muhimu kuelekea kuboresha utawala wa kidigitali, Mamlaka ya Serikali Mtandao Zanzibar (eGAZ) kwa...

READ MORE

Mkutano wa Accelerate Africa 2024 kufanyika Arusha

Jumatano, Septemba 18, 2024: Mkutano wa Accelerate Africa 2024 unatarajiwa kufanyika Novemba 28 hadi 29 mwaka huu katika Hoteli ya...

READ MORE