×

Kurasa za Magazeti ya leo Agosti 19, 2024

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Aongoza Kikao cha Mashauriano cha Vyama vya Siasa

Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi, akiongoza Kikao cha Mashauriano cha Vyama vya Siasa Wanachama wa Kituo...

READ MORE

Rais Samia Achukua Majukumu ya Mwenyekiti wa Kamati ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya SADC

Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania amechukua rasmi majukumu ya Mwenyekiti wa Kamati ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya...

READ MORE

PBZ yaongeza faida kwa asilimia 18 katika nusu ya Kwanza 2024

Na Mwandishi Wetu Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ Bank) imetangaza ripoti yake ya kifedha ya nusu ya kwanza ya...

READ MORE

Mbunge Ummy Mwalimu Amshukuru Rais Dkt. Samia kwa Kumwamini

Mbunge wa Jimbo la Tanga, Ummy Mwalimu, amemshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kumwamini katika kipindi cha miaka mitatu...

READ MORE

Simulizi ya Kusisimua…. MKATABA – 3

ILIPOISHIA  JUMATANO “Sina uhakika na hili jambo.” “Usinitaje, mimi nimekuambia tu kama shoga yangu. Sisi wote ni wazazi.” “Sawa.” “Lakini...

READ MORE

Mamlaka Ya Maji Arusha Yalia Na Wizi Wa Maji Na Mita Za Maji – Video

Mkurugenzi Mtendaji wa mamlaka ya Majisafi na usafi wa mazingira Arusha Mhandisi Justine Rujomba amemueleza mkuu wa Mkoa wa Arusha...

READ MORE

Kauli Ya Ali Kamwe Kwa Msemaji Wa Vital’O ”Kama Mwijaku Aombe Rashi, Atuheshimu” – Video

Afisa Habari wa klabu ya Yanga SC Ally Kamwe ameeleza kuwa mojawapo ya malengo waliojiwekea msimu huu ni kuhakikisha wanabeba...

READ MORE

Dkt. Biteko: Furaha Ya Watanzania Ni Kupata Umeme Wa Uhakika

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ameliitaka Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kutumia fursa ya uwepo...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Alivyowasili Zanzibar Akitokea Harare nchini Zimbabwe

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan Agosti 17, 2024 amewasili katika uwanja wa Ndege wa...

READ MORE

Makonda, Dkt. Biteko Na Aweso Kuujadili Mradi Wa Maji Wa Bilioni 520 Ulioshindwa Kutekelezeka – Video

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda amepanga kukutana na Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Agosti 18, 2024

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

Wabunge Chama Tawala Wazichapa na Wapinzani Kavukavu Bungeni Nchini Uturuki,

Vurugu kubwa zimeibuka kwenye Bunge la Uturuki kufuatia mjadala mkali uliosababisha mbunge wa upinzani kuwaita chama tawala kuwa ni magaidi....

READ MORE

Meridianbet Yagawa Mipira Mbezi

Meridianbet katika kuendeleza ambacho hua wanakifanya mara kwa mara leo wamefika moja ya maeneo maarufu ndani ya jiji la Dar-es-salaam...

READ MORE

Yanga SC Wainyuka Vital’O FC Azam Complex

Klabu ya Yanga SC imeibuka na ushindi katika mchezo wao wa kwanza katika hatua za awali klabu Bingwa Afrika mara...

READ MORE

Unakosaje Kubashiri na Meridianbet Leo?

Ni Jumamosi ya kwanza ya kurejea kwa ligi kubwa Duniani, yaani hapa EPL, LALIGA, SERIE A na zingine kibao zimerejea...

READ MORE

Niliachwa na Mchumba Wangu Aliyetaka Kunioa Kisa Navuta Sigara

Unajua ni wasichana wachache sana ambao huvuta sigara, mara nyingi wanaovuta sigara kwa wengi ni wanaume, hata mwanamke anayevuta sigara...

READ MORE

Osha Yatoa Elimu ya Usalama Kazini kwa Waandishi wa Habari

Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA), wametoa mafunzo kwa waandishi wa habari zaidi ya 50, ambao ni...

READ MORE

Majaliwa: Tanzania Iko Tayari Kushirikiana Na Cuba Kujenga Kiwanda Kikubwa Cha Chanjo

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Tanzania iko tayari kushirikiana na Serikali ya Cuba kujenga kiwanda kikubwa cha kuzalisha...

READ MORE

Wananchi Arusha Wamfungukia Makonda ”Akiondoka Awe Anaaga ” – Video

Wananchi Arusha wamemtaka Mkuu wa mkoa huo Paul Christian Makonda  akiwa anaondoka awe anaaga baada ya kupita ukimya wa takribani...

READ MORE