×

Halmashauri Zenye Mapato Zaidi Ya Bil. 5 Zatakiwa Kutenga Fedha Za Ujenzi Wa Barabara

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mohamed Mchengerwa amezitaka Halmashauri zote nchini zinazokusanya...

READ MORE

Kiongozi wa Hamas Ismail Haniyeh Auawa nchini Iran

Kiongozi wa Hamas Ismail Haniyeh aliuawa mjini Teheran Jumatano, kulingana na taarifa tofauti zilizotolewa na Hamas na kikosi cha ulinzi...

READ MORE

Mashabiki wa Soka Sasa Kufaidi Michuano Kibao Kupitia Startimes Kwa Bei Ileile

Mashabiki wa soka wamesogezewa karibu michuano ya ligi mbalimbali ikiwa ni pamoja na Carabao Cup, La Liga na michuano mingine...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Julai 31, 2024

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

Naibu Waziri wa Uchukuzi Awataka Sekta Binafsi Kununua ndege

Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile amewataka Wadau wa Sekta binafsi na Wadau wa usafirishaji kwa njia ya anga waliopo...

READ MORE

Kuwawezesha Viongozi Wajao: Wahitimu wa Benki ya Stanbic Washerehekea Mahafali

Dar es Salaam, Tanzania – Jumatano, 31 Julai 2024 – Benki ya Stanbic Tanzania imetangaza kuhitimu kwa kundi la vijana...

READ MORE

Ziara ya Balozi Nchimbi Yafyeka Vigogo wa ACT, CUF na CHADEMA

Ziara ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, inayoendelea katika mikoa ya Kusini, akianzia...

READ MORE

CCM Inawathamini na Kuwapenda Maafisa Usafirishaji

Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Jokate Urban Mwegelo (MNEC) amewaambia Maafisa Usafirishaji wa Mkoa...

READ MORE

Nafasi za Kazi; Anahitajika Afisa Masoko Mwenye Uzoefu

GLOBAL PUBLISHERS AND GENERAL ENTERPRISES LIMITED; Wamiliki wa Global TV, Global Radio na mitandao yake ya kijamii inayofuatiliwa na watu...

READ MORE

Mama Mzazi wa Mbunge wa viti Maalum Halima Mdee Bi.Theresia, Afariki

Mama Mzazi wa Mbunge wa viti Maalum Halima Mdee Bi.Theresia Mdee, amefariki leo katika Hospitali ya Benjamin Mkapa Dodoma. Kwa...

READ MORE

NBC Yashiriki Kongamano la Afya, Waziri Mkuu Aguswa na Jitihada Zake Kuboresha Sekta ya Afya

Waziri Mkuu  Kassim Majaliwa amepongeza jitihada za Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) katika kuendeleza sekta ya afya hapa nchini...

READ MORE

Jubilee Health Insurance Yazindua Huduma Mpya ya FBiz

Kampuni ya Bima ya Jubilee Health Insurance imezindua huduma mpya ya FBiz, ambayo imeundwa mahsusi kwa ajili ya Wafanyabiashara Wadogo...

READ MORE

Ajali Ya Treni Ya Mizigo Usiku Huu Moro, Ilikuwa Na Mabehewa 5, Treni Masta Afunguka – Video

Treni ya mizigo kwenye Reli ya kati iliyokuwa inatokea Dar es Salama kuelekea Isaka imepata ajali katika eneo la Bigwa...

READ MORE

Rais Samia Aridhia Ombi la Kinana Kujiuzulu nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia ombi...

READ MORE

Nafasi za Kazi Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA)

Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA) is a government body established pursuant to the Civil Aviation Authority Act 2003 Cap 80...

READ MORE

Mama afungwa kwa kumlazimisha binti yake kuingia kwenye ndoa hatari

Mwanamke mmoja amekuwa mtu wa kwanza kufungwa jela chini ya sheria inayopinga ndoa ya lazima nchini Australia, kwa kummlazimisha binti...

READ MORE

Kenya yawasilisha rasmi hati za Raila za kugombea Uenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika

Serikali ya Kenya imewasilisha rasmi nyaraka za kumuunga mkono mgombea wake, Raila Odinga, katika azma yake ya kuwa mwenyekiti wa...

READ MORE

Kurasa za Magazeti ya leo Julai 30, 2024

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

Rais Apandisha cheo Kamishna kuwa Mkuu wa Jeshi la Magereza

Rais Samia Suluhu Hassan amempandisha cheo Kamishna wa Magereza, CP Jeremiah Katungu kuwa Kamishna Jenerali wa Magereza (CGP) na kumteua...

READ MORE

Dkt. Nchimbi Aelekeza Mawaziri wa Viwanda na Kilimo, Kutafutia Ufumbuzi Soko la Korosho

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amepokelewa Mkoa wa Lindi kwa vifijo na nderemo...

READ MORE