×

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Agosti 18, 2024

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

Wabunge Chama Tawala Wazichapa na Wapinzani Kavukavu Bungeni Nchini Uturuki,

Vurugu kubwa zimeibuka kwenye Bunge la Uturuki kufuatia mjadala mkali uliosababisha mbunge wa upinzani kuwaita chama tawala kuwa ni magaidi....

READ MORE

Meridianbet Yagawa Mipira Mbezi

Meridianbet katika kuendeleza ambacho hua wanakifanya mara kwa mara leo wamefika moja ya maeneo maarufu ndani ya jiji la Dar-es-salaam...

READ MORE

Yanga SC Wainyuka Vital’O FC Azam Complex

Klabu ya Yanga SC imeibuka na ushindi katika mchezo wao wa kwanza katika hatua za awali klabu Bingwa Afrika mara...

READ MORE

Unakosaje Kubashiri na Meridianbet Leo?

Ni Jumamosi ya kwanza ya kurejea kwa ligi kubwa Duniani, yaani hapa EPL, LALIGA, SERIE A na zingine kibao zimerejea...

READ MORE

Niliachwa na Mchumba Wangu Aliyetaka Kunioa Kisa Navuta Sigara

Unajua ni wasichana wachache sana ambao huvuta sigara, mara nyingi wanaovuta sigara kwa wengi ni wanaume, hata mwanamke anayevuta sigara...

READ MORE

Osha Yatoa Elimu ya Usalama Kazini kwa Waandishi wa Habari

Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA), wametoa mafunzo kwa waandishi wa habari zaidi ya 50, ambao ni...

READ MORE

Majaliwa: Tanzania Iko Tayari Kushirikiana Na Cuba Kujenga Kiwanda Kikubwa Cha Chanjo

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Tanzania iko tayari kushirikiana na Serikali ya Cuba kujenga kiwanda kikubwa cha kuzalisha...

READ MORE

Wananchi Arusha Wamfungukia Makonda ”Akiondoka Awe Anaaga ” – Video

Wananchi Arusha wamemtaka Mkuu wa mkoa huo Paul Christian Makonda  akiwa anaondoka awe anaaga baada ya kupita ukimya wa takribani...

READ MORE

Shinda Mamilioni, Cheza Expanse Kasino

Safiria ndoto ya maisha yako kwa kucheza kasino ya mtandaoni, pale Meridianbet kuna promosheni ya Expanse ambayo inatoa mamilioni kwa...

READ MORE

Queen Mulerwa: Harmonize Alinipa Milioni Tano-Siwezi Kudate Na Wabongo Hawana Hela

Msanii wa Sanaa ya Uigizaji nchini @mulerwa_queen amefunguka kupitia @255globalradio na @globaltvonline kupitia kipindi cha Bongo 255 na kueleza kuwa...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Ameshiriki Mkutano wa Wakuu wa SADC-Organ Troika Summit

Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Agosti 17, 2024

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

Kapinga: Rais Samia Amefanya Umeme Kuwa Si Anasa

Naibu Waziri Nishati, Judith Kapinga amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amejidhatiti vyema...

READ MORE

Makonda Aagiza Jengo Jipya la Abiria Uwanja wa Ndege Arusha Litumike Septemba

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda leo Ijumaa Agosti 16, 2024 ameagiza kukamilika haraka kwa ujenzi wa...

READ MORE

HAPA MAN UNITED PALE FULHAM EPL IMEREJEA RASMI

Leo ni sikukuu kwa wapenzi wote wa burudani ya mpira wa miguu duniani kwani ile ligi pendwa zaidi ulimwenguni inarejea...

READ MORE

Furahia Veni Vidi Vici ndani ya Meridianbet

Furahia Mamilioni ya kutosha ukicheza sloti ya Kasino ya Mtandaoni ikielezea Roma ya Kale! Cheza sloti ya Veni Vidi Vici!...

READ MORE

Dada wa Kazi za Ndani Anayetuhumiwa Kujeruhi Mtoto Goba Ashtakiwa Kwa Kosa la ‘Kujaribu kuua’

Mfanyakazi wa ndani, Clemensia Milembe (19) na mwenzake wamefikishwa katika Mahakama ya hakimu mkazi Kinondoni, wakikabiliwa na shitaka moja la...

READ MORE

Namungo Almaarufu ‘Wauaji Wa Kusini’ Yatambulisha Jezi Mpya

Klabu ya Namungo FC almaarufu ‘Wauaji wa Kusini’ leo August 16, 2024 imetambulisha jezi mpya zitakazotumika kwenye msimu wa 2024/2025...

READ MORE

Makonda Arejea Afanya Ukaguzi wa Uwanja wa ndege Arusha – Video

MKUU wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda leo Agosti 16, 2024 amefanya ukaguzi wa Jengo la abiria katika Kiwanja...

READ MORE