×

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Julai 6, 2024

Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako...

READ MORE

Serikali Yaitaka Idara ya Uhamiaji Kuimarisha Misako na Doria

Tuendelee kuitumikia nchi yetu kwa nguvu zetu zote, weledi na kujituma kwani Serikali yetu imetuamini na tuna wajibu mkubwa wa...

READ MORE

Katibu Mwenezi CCM Kutikisa Kesho Diamond Jubilee

Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Mafunzo CPA. Amos Makalla  kesho Jumamosi Julai 6,2024 ananasa ziara ya siku saba mkoani...

READ MORE

Angalia Ubunifu Wa UDSM Kutengeneza Nguo Na Nishati Ya Kupikia Kwa Kutumia Mabaki Ya Plastiki

Dar es Salaam 5 Julai 2024: Kutokana Jitihada Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan kuhamasisha matumizi...

READ MORE

UDOM Kuendeleza Tafiti Zenye Kutatua Matatizo Katika Jamii Ili Kuleta Tija

Dar es Salaam 7 Julai 2024: Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimesema kitaendelea kufanya tafiti zenye lengo la kutatua matatizo...

READ MORE

Huku Hispania kule Ujerumani Kitaumana Leo

EURO 2024 inaendelea kunoga zaidi ambapo leo hii Robo Fainali za kwanza kupigwa katika viwanja viwili. Meridianbet wanasema pesa ipo...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Awaapisha Viongozi Wateule Ikulu Tunguu Zanzibar – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Viongozi Wateule Ikulu ndogo ya Tunguu Zanzibar leo...

READ MORE

Waziri Mkuu Azindua Kamati Ya Kitaifa AFCON 2027

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa leo Julai 05, 2024 amezindua Kamati ya Kitaifa ya Maandalizi ya Kombe la Mataifa ya Afrika...

READ MORE

Shinda Mamilioni, Cheza Michezo ya Expanse Kasino

Unawaza ni njia gani utaitumia kupiga pesa kirahisi, usiwaze Meridianbet Kasino ipo tayari kurudisha furaha yako kupitia shindano kubwa la...

READ MORE

Sakata La Sukari: Bodi Haikuchelewa Kutoa Vibali vya Kuagiza Sukari, Mkurugenzi Mkuu Afunguka – Video

Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Sukari, Profesa Kenneth Bengesi amesema madai yaliyotolewa kwamba bodi hiyo ilichelewesha kutoa vibali va kuagiza...

READ MORE

Utalii Tanzania Kuchangia Robo Tatu ya Bajeti ya Sasa Ifikapo 2034

Ripoti mpya ya Baraza la Utalii Duniani (Travel & Tourism Council, WTTC) iitwayo “ Travel and Tourism: Economic Impact Research...

READ MORE

Chama cha Labour chashinda uchaguzi mkuu wa Uingereza

Chama cha Labour kimeshinda rasmi uchaguzi mkuu wa Uingereza 2024 baada ya kufikisha viti 326 vinavyohitajika. Waziri Mkuu mteule wa...

READ MORE

Tamasha la Utamaduni na Utalii Laanza Kwa Kishindo Bariadi

Tamasha la Utamaduni na Utalii Kanda ya Ziwa-Lake Zone Cultural and Tourism Festival limeanza Mjini Bariadi kwa kishindo huku Wizara...

READ MORE

Luis Miquissone Arejea Kwenye Klabu Yake Ya Zamani Ya UD Do Songo

Aliyekuwa winga wa klabu ya Simba Sc Luis Miquissone amerejea kwenye klabu yake ya zamani ya UD do Songo kwa...

READ MORE

Rais wa Zamani wa Brazil Afunguliwa Mashtaka ya Utakatishaji wa Fedha

  Polisi wa serikali kuu ya Brazil wamemfungulia mashtaka Rais wa zamani Jair Bolsonaro kwa utakatishaji wa fedha na ushirika...

READ MORE

Waziri wa Madini Mavunde Atoa zuio kwa raia kigeni kuingia kwenye leseni za uchimbaji mdogo bila kufuata taratibu

Waziri wa Madini Anthony Mavunde ametoa zuio kwa raia wote wa kigeni kuingia kwenye leseni za uchimbaji mdogo (PML) bila...

READ MORE

Jinsi Mrembo Alivyotoboa Kimaisha Kutoka Chini Mpaka Kuwa Mfanyabiashara wa Kimataifa

Mwanamke mmoja aitwaye Vanessa Malema alifungua kibanda chake kando ya barabara ya Moi Avenue Nairobi nchini Kenya miaka mitatu iliyopita...

READ MORE

FC Lupopo Yataka kuifanyia umafia Yanga Kwa Boka

Klabu ya FC Saint Eloi Lupopo inataka kuifanyia umafia Yanga juu uhamisho wa beki wa kushoto Chadrack Issaka Boka ambaye...

READ MORE

Riba Ya Benki Kuu Yasalia Asilimia 6, Naibu Gavana wa Benki Kuu Afunguka

Riba ya Benki Kuu katika robo ya tatu ya mwaka huu itaendelea kuwa asilimia 6 kama ilivyokuwa katika robo ya...

READ MORE

#EXCLUSIVE: Bibi Mjane Alia Kuporwa Eneo na Serikali ya Mtaa

Bibi huyu anaitwa Isabela Kigae, Mkazi wa Isakalilo Manispaa na Mkoa wa Iringa. Bibi Isabella anautuhumu uongozi wa mtaa huo...

READ MORE