×

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Julai 1, 2024

Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako...

READ MORE

Aweso Aipangua DAWASA, Aiweka Chini na Uangalizi Maalum

Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amemtaka Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira (DAWASA),...

READ MORE

Sillo Ahitimisha Zoezi la Mafunzo ya Upandishwaji Vyeo Chuo Cha Maafisa Polisi Kidatu

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Daniel Sillo (Mb), amehitimisha zoezi la Mafunzo ya upandishwaji...

READ MORE

Meridianbet Yatoa Msaada wa Vyakula Chamazi

Kama ilivyo ada wakali wa michezo ya ubashiri mtandaoni, Meridianbet wamewafikia wakazi wa Chamazi Mbagala na kutoa msaada wa mahitaji...

READ MORE

Majaliwa: Serikali Kuwanusuru Kiuchumi Waraibu Wa Dawa Za Kulevya

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameziagiza Wizara za Elimu, Sayansi na Teknolojia, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Ofisi ya Waziri Mkuu zikae pamoja...

READ MORE

Msigwa Amlipua Vibaya Mbowe Baada Ya Kuhamia CCM, Afichua Madudu Ya Chadema – Video

Mbunge wa zamani wa Iringa Mjini kupitia Chadema, Mchungaji Peter Msigwa ameeleza sababu mbalimbali zilizomfanya akachukua uamuzi wa kujiunga na...

READ MORE

CCM Yafanya Uteuzi Wa Wanachama Watakaoongoza Nafasi Zilizoachwa Wazi

Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa (NEC) katika kikao chake cha kawaida, iliyokutana leo tarehe 30 Juni, 2024 jijini Dar...

READ MORE

Rais Samia Amwimbia Peter Msigwa, Mlete Msigwa, Mlete Msigwa – Video

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan alivyompokea Peter Msigwa baada ya kujiunga na Chama cha Mapinduzi...

READ MORE

Bilionea Manji Wa Yanga Afariki Dunia Akiwa Marekani Akipatiwa Matibabu – Video

Mfanyabiashara mkubwa aliyewahi kuwa muwekezaji wa klabu ya Yanga na Mkurugenzi wa Quality Group Limited (QGL), Yusuph Manji amefariki dunia...

READ MORE

Mwenyekiti wa CCM Kibiti umoja na ushirikiano kuelekea uchaguzi wa mitaa 2024

Mwenyekiti CCM Kibiti ataka umoja na ushirikiano kuelekea uchanguzi serikali za mitaa 2024. Ndondo Cup Shafih Dauda amesema kuwa kwa...

READ MORE

Aweso akutana na CEO wa MO Dewji Foundation

      Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amekutana na kufaya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya...

READ MORE

Waziri Silaa Aingilia Kati Sakata La Mama Aliyedai Kiwanja Chake Kuchuliwa Mkopo Benki Bila Kujua – Video

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa ameingilia kati sakata la kiwanja no. 141/40 kilichopo Ananasifu Kinondoni...

READ MORE

Ujerumani Yatinga Robo Fainali ya Kombe la Mataifa Ulaya EURO 2024

Ujerumani imetinga hatua ya robo fainali ya kombe la Mataifa Ulaya EURO 2024 kufuatia ushindi wa 2-0 dhidi ya Denmark...

READ MORE

#Exclusive: Uke Wenza Ulivyomshinda Hanifa Apewa Talaka, Ajibu Bifu Lake Na Isha Mashauzi – Video

Wasanii wa muziki wa Taarab, Hanifa Jike la Chui @hanifajikelachui amefunguka kidogo kuhusu bifu lake na Isha Mashauzi na kukataa...

READ MORE

Mjue Robert Mugabe: Mwamba Aliyepania Kuwakomesha Mabeberu – Wakakoma Watu Wake – Video

 Ukisikia watu wanasema tuko nyuma yako ‘be careful’ maana ukigeuka unaweza usiwakute. Hii nimeiona ‘live’ kwa Robert Mugabe pale...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Juni 30, 2024

Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako...

READ MORE

Mashabiki Wa Soka Bongo Wakielekea Ujerumani Kushuhudia Laivu Michuano Ya Euro 2024

Mashabiki wa soka waliojishindia kwenye Kampeni ya ‘Zigo la Euro’ inayoendeshwa na Kampuni ya mtandao wa simu ya Tigo wakiwa...

READ MORE

Ajali Mbaya Iringa: Watoto 3 Na Bodaboda Wakanyang’wa Na Matairi Ya Lori Baada Ya Kuingia Uvunguni – Video

Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa limetoa taarifa ya tukio la ajali iliyohusisha pikipiki (bodaboda) na gari aina ya Faw...

READ MORE

Waziri Mkuu Apongeza Uongozi Mpya Wa TEC

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatoa pongezi za dhati kwa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) kwa kupata safu mpya ya uongozi...

READ MORE

Rais Samia Aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC)

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameongoza...

READ MORE