×

Wafanyabiashara Kariakoo wakubali Yaishe

Wafanyabiashara wa bidhaa mbalimbali katika Soko la Kariakoo jijini Dar es Salaam wamefungua maduka yao na kuachana na mgomo na...

READ MORE

Mchezaji wa PSG afunguka ya moyo, acheza mechi na Vijana

Nyota wa PSG na timu ya Taifa ya Morocco, Ashraf Hakimi ameendelea na “Royal Tour” yake ya mapumziko nchini na...

READ MORE

CRDB yatangaza neema kwa wajasiriamali

Benki ya CRDB imeungana na wadau wengine duniani kuadhimisha Siku ya Wajasiriamali Duniani (International MSMEs Day) kwa kuendesha semina kwa...

READ MORE

RC Malima Amuagiza Mkurugenzi Gairo Kununua Kununua Vishkwambi Kwa Ajili ya Madiwani

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Adam Kighoma Malima amemuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Gairo kuwanunulia madiwani wa...

READ MORE

Tamko La Mawaziri Mwigulu Na Nape Mikopo Ya Kudhalilisha Mitandaoni – Video

Sakata la mikopo inayotolewa mitandaoni na baadaye waliokopeshwa wakishindwa kulipa kudhalilishwa kwa watu wao wa karibu kutumiwa meseji au kupigiwa...

READ MORE

Barabara zinazoelekea Ikulu ya Rais Kenya zawekwa vizuizi vya kiusalama

Kundi la vitengo kadhaa vya usalama vimetumwa katika maeneo mbalimbali ya jiji la Nairobi ili kusubiri maandamano ya vijana yanayopangwa...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Anaguswa na Kujali Maisha ya Wafanyakazi

*Amenyanyua kikokotoo, Ndejembi asema huo ni mwanzo tu Nukuu za Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana,...

READ MORE

Dimmy Kanyankole Ateuliwa na Bolt Kuwa Meneja Mpya Tanzania

Bolt, Kampuni inayoongoza kwa huduma za usafirishaji Tanzania na Barani Afrika, inafuraha kuwataarifu kuhusu uteuzi wa Bw.Dimmy Kanyankole kuwa Meneja...

READ MORE

FIFA Yaiondolea Yanga adhabu ya kufungiwa kusajili wachezaji

Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) limeiondolea Young Africans adhabu ya kufungiwa kusajili wachezaji baada ya kukamilisha malipo...

READ MORE

Polisi wamkamata kiongozi wa jaribio la mapinduzi nchini Bolivia

Polisi nchini Bolivia wamemkamata kiongozi wa jaribio la mapinduzi, saa chache baada ya ikulu ya rais katika mji mkuu La...

READ MORE

Naibu Rais Kenya Amtaka Mkurugenzi Mkuu wa NIS Ajiuzulu

Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua amekashifu Idara ya Kitaifa ya Ujasusi ambayo anadai ilishindwa kumjulisha Rais William Ruto kwa...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Juni 27, 2024

Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako...

READ MORE

Namba ya NIDA Kurahisisha Kufungua Akaunti ya Benki ya Equity

SEKTA ya huduma za fedha ni miongoni mwa sekta zinazokua kwakasi hapa nchini, huku ujumishaji wa watu katika huduma hizo...

READ MORE

Serikali Yaihakikishia Ushirikiano Mwalimu Commercial Bank Plc (MCB)

Serikali imeihakikishia Benki ya Biashara ya Mwalimu (MCB) ushirikiano wa karibu ili kusaidia kuondoa changamoto ndogondogo zinazokabili benki hiyo, na...

READ MORE

Mwanamke Ajifungua Mapacha Watano kwa Mpigo Baada ya Kuhangaika Kwa Muda Mrefu

Katikati ya mji wa Meru nchini Kenya kinatokea kisa kimoja ambapo mwanamke mmoja, Lulu Wawira, 60, amekuwa gumzo na kuwashangaza...

READ MORE

Ruto Atupilia Mbali Mswada wa Fedha – kubana matumizi, kusitisha miradi ya maendeleo

Rais wa Kenya Willam Ruto ametupilia mbali mswada wa fedha wa 2024 uliozusha utata na maandamano makubwa nchini humo na...

READ MORE

Wabunge Wapitisha Kwa Kishindo Bajeti Kuu Ya Serikali – Video

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha kwa kishindo bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha 2024/2025. Msikilize Spika...

READ MORE

Azam FC: Hatujapokea pesa za Prince Dube

Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Azam, Thabiti Zakaria Zaka Zakazi amesema kuwa bado hawajapokea malipo...

READ MORE

CEO wa Meridianbet Zoran Milosevic! Kufunguka Uwekezaji wake

Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Meridianbet Zoran Milosevic, atakuwa mzungumzaji mkuu katika Siku ya Wawekezaji ya Senzal, moja ya jukwaa muhimu...

READ MORE

Waziri Mkuu Akutana Na Viongozi Wa Jumuiya Ya Wafanyabiashara

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekutana na viongozi wa Jumuiya ya Wafanyabiashara nchini, Ofisini kwake Mlimwa jijini Dodoma, Juni 26, 2024.

READ MORE