×

Bilionea Manji Wa Yanga Afariki Dunia Akiwa Marekani Akipatiwa Matibabu – Video

Mfanyabiashara mkubwa aliyewahi kuwa muwekezaji wa klabu ya Yanga na Mkurugenzi wa Quality Group Limited (QGL), Yusuph Manji amefariki dunia...

READ MORE

Mwenyekiti wa CCM Kibiti umoja na ushirikiano kuelekea uchaguzi wa mitaa 2024

Mwenyekiti CCM Kibiti ataka umoja na ushirikiano kuelekea uchanguzi serikali za mitaa 2024. Ndondo Cup Shafih Dauda amesema kuwa kwa...

READ MORE

Aweso akutana na CEO wa MO Dewji Foundation

      Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amekutana na kufaya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya...

READ MORE

Waziri Silaa Aingilia Kati Sakata La Mama Aliyedai Kiwanja Chake Kuchuliwa Mkopo Benki Bila Kujua – Video

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa ameingilia kati sakata la kiwanja no. 141/40 kilichopo Ananasifu Kinondoni...

READ MORE

Ujerumani Yatinga Robo Fainali ya Kombe la Mataifa Ulaya EURO 2024

Ujerumani imetinga hatua ya robo fainali ya kombe la Mataifa Ulaya EURO 2024 kufuatia ushindi wa 2-0 dhidi ya Denmark...

READ MORE

#Exclusive: Uke Wenza Ulivyomshinda Hanifa Apewa Talaka, Ajibu Bifu Lake Na Isha Mashauzi – Video

Wasanii wa muziki wa Taarab, Hanifa Jike la Chui @hanifajikelachui amefunguka kidogo kuhusu bifu lake na Isha Mashauzi na kukataa...

READ MORE

Mjue Robert Mugabe: Mwamba Aliyepania Kuwakomesha Mabeberu – Wakakoma Watu Wake – Video

 Ukisikia watu wanasema tuko nyuma yako ‘be careful’ maana ukigeuka unaweza usiwakute. Hii nimeiona ‘live’ kwa Robert Mugabe pale...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Juni 30, 2024

Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako...

READ MORE

Mashabiki Wa Soka Bongo Wakielekea Ujerumani Kushuhudia Laivu Michuano Ya Euro 2024

Mashabiki wa soka waliojishindia kwenye Kampeni ya ‘Zigo la Euro’ inayoendeshwa na Kampuni ya mtandao wa simu ya Tigo wakiwa...

READ MORE

Ajali Mbaya Iringa: Watoto 3 Na Bodaboda Wakanyang’wa Na Matairi Ya Lori Baada Ya Kuingia Uvunguni – Video

Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa limetoa taarifa ya tukio la ajali iliyohusisha pikipiki (bodaboda) na gari aina ya Faw...

READ MORE

Waziri Mkuu Apongeza Uongozi Mpya Wa TEC

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatoa pongezi za dhati kwa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) kwa kupata safu mpya ya uongozi...

READ MORE

Rais Samia Aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC)

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameongoza...

READ MORE

Kuwa Milionea Leo Ukicheza Michezo ya Expanse

Leo ni zamu yako kushinda na kuibuka Mfalme wa Meridianbet, mgao wa Mamilioni unatoka muda wowote, chaguo ni lako cheza...

READ MORE

#Exclusive: Ex-Wife Wa Q Chief Afichua Kunyang’anywa Watoto 2 Uingereza, Jini Mahaba Lilivyomsumbua – Video

Mwanamama ambaye huko nyuma alikuwa akifanya kazi mbalimbali za kiburudani za kuwapeleka wasanii mbalimbali wa hapa nchini kufanya show nje...

READ MORE

Majaliwa: Bilioni 346 Kuimarisha Usalama Wa Milki Za Ardhi

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imesaini mkataba wa sh. bilioni 346 na Benki ya Dunia kwa ajili ya utekelezaji...

READ MORE

Bodi ya Mikopo Yawataka Wadaiwa Kurejesha Fedha – Video

Mkurugenzi wa Bodi ya mikopo ya elimu ya juu ameongoza uzinduzi wa kampeni ya fichua uliofanyika June 28, 2024 kwenye...

READ MORE

Azam Yaridhia Maombi Ya Dube Kuvunja Mkataba

Klabu ya Azam FC imeridhia maombi ya mshambuliaji wake Prince Dube ya kuvunja mkataba wake na klabu hiyo ambayo aliyatoa...

READ MORE

Simba Day Kufanyika Agosti 3 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa

Klabu ya Simba kupitia Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu, Ahmed Ally hiyo imetangaza rasmi kuwa Tamasha la Simba Day...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Juni 29, 2024

Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako...

READ MORE

Spika wa Bunge Akutana na Mkurugenzi Mkuu wa NSSF

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Bw. Masha...

READ MORE