×

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Juni 19, 2024

Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako...

READ MORE

Askofu Gwajima Ashauri mamlaka ya Rais yafungwe ili Rais yeyote atakayekuwa madarakani asitoke nje ya mipango

Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima ameshauri mamlaka ya kisiasa ya Rais yafungwe ili Rais yeyote atakayekuwa madarakani asitoke nje...

READ MORE

CRDB, NALA Kuwapa Diaspora Urahisi wa Kutuma Fedha Nyumbani

  Benki ya CRDB leo imetangaza ushirikiano na kampuni ya Nala kuwawezesha Watanzania waishio nje ya nchi ‘Diaspora’ kutuma fedha...

READ MORE

Rais Samia Alivyowasili Afrika Kusini kuhudhuria hafla ya Uapisho wa Rais mteule Cyril Ramaphosa

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewasili katika uwanja wa Ndege wa Waterkloof Pretoria nchini...

READ MORE

Rais Samia Kushiriki hafla ya uapisho wa Rais Mteule, Cyril Ramaphosa Afrika Kusini

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajia kusafiri kuelekea Jamhuri ya Afrika Kusini leo jioni kwa...

READ MORE

Pirates Power Kasino, Ushindi Unapoanzia!!

Kasino Inalipa sana! Watu wengi wametajrika kwa kucheza kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. Sababu kubwa zipo mbili, kwanza ni rahisi...

READ MORE

RAS Kilimanjaro Afariki Dunia Kwa Ajali

KATIBU Tawala Mkoa wa Mkoa wa Kilimanjaro, Tixon Nzunda amefariki Dunia katika ajali ambayo imetokea eneo la Njia panda ya...

READ MORE

Kusanya Maokoto na Meridianbet Leo

Mabingwa wa ODDS KUBWA Tanzania nzima Meridianbet wanakwambia hivi siku ya leo ndiyo ya kuondoka kifua mbele ukibashiri mechi zako...

READ MORE

Makala Maalum Kuhusu ya Mafanikio ya TANROADS

MAKALA MAALUM KUHUSU MAFANIKIO YA TANROADS KWENYE UJENZI WA MIUNDOMBINU MKOANI KAGERA Mafanikio hayo hii leo yanaangazia Wakala wa Barabara...

READ MORE

Kiungo Kazi Msimbazi apewa Mkono wa Kwaheri

Kiungo wa kazi ngumu Saido Ntibanzokinza aliyefunga mabao 11 amepewa mkono wa asante ndani ya timu hiyo baada ya kumaliza...

READ MORE

Mafunzo ya BRELA Kwa Waandishi wa Habari Yazinduliwa na Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara

Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) imetoa mafunzo kwa waandishi wa habari kwa lengo la kuwajengea uwezo namna...

READ MORE

EURO 2024: Ufaransa Yachukua alama tatu kwa tabu mbele ya Austria

Ufaransa imechukua alama zote tatu kwa tabu saba mbele ya Austria katika dimba la Merkur Spiel-Arena (Düsseldorf) kwenye mchezo wa...

READ MORE

Putin afanya ziara yake ya kwanza Korea Kaskazini baada ya miaka 24

Rais wa Russia Vladimir Putin anatarajiwa kuwasili mjini Pyongyang leo Jumanne katika ziara nadra ambayo inaweza kupelekea kusainiwa “mkataba wa...

READ MORE

Video: Meneja Wa Hoteli Posta Hoi Kitandani, Mke Kamkimbia, Aomba Msaada Wa Matibabu

Maneno Ally (51) alikuwa meneja wa hoteli moja iliyopo Posta jijini Dar es Salaam, akiwa na ndoto nyingi maishani mwake....

READ MORE

Kurasa za magazeti ya leo June 18, 2024

MSIMU MPYA MAMBO MAPYA!   Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara moja kwa wiki Ijumaa, sasa limekuja kivingine....

READ MORE

Bocco Akutana na Thank You Simba, Hatakuwa Sehemu ya Kikosi

RASMI mshambuliaji bora wa muda wote ndani ya Ligi Kuu Bara, John Bocco hatakuwa sehemu ya kikosi cha Simba kwa...

READ MORE

Utacheka Sana! Dotto Magari Amlipua Vibaya Mwijaku Kuhusu Kesi Yake Na Masoud Kipanya – Video

Influencer maarufu mjini, @dotto_magari amechekelea maswaibu yaliyomkuta Mwijaku ya kutakiwa kulipa fidia ya shilingi bilioni 5 kwa kile kinachodaiwa kuwa...

READ MORE

Watu wanane wafariki kwenye ajali ya treni ya India

Treni moja ya mizigo imegongana na nyingine ya abiria kwenye jimbo la mashariki mwa India la West Bengal mapema Jumatatu,...

READ MORE

Cheza kasino ya mtandaoni na uwe tajiri! Expanse Tournament inatoa mzigo mkubwa

Endelea kucheza kasino ya mtandaoni na uwe tajiri! Expanse Tournament inatoa mzigo mkubwa wa washindi 40, jishindie bonsai za kasino...

READ MORE

Majaliwa: Watanzania Tuendelee Kudumisha Amani, Upendo Na Mshikamano

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Watanzania kuendelea kudumisha amani, upendo, umoja, mshikamano, kuhurumiana sambamba na kujiepusha na vitendo...

READ MORE