×

Waziri Kairuki Ashiriki Baraza Tendaji La Shirika La Utalii Duniani

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imeshiriki ufunguzi wa Mkutano wa 121 wa Baraza Tendaji la Shirika la Umoja...

READ MORE

Makamu wa Rais wa Malawi afariki dunia katika ajali ya ndege

Taarifa kutoka Ofisi ya Rais ya Malawi imesema kuwa ndege iliyokuwa imembeba Makamu wa Rais wa nchi hiyo, Saulos Chilima...

READ MORE

Rais Samia Apokea Gawio Na Michango Kutoka Mashirika Na Taasisi Za Umma – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anapokea gawio na michango kutoka mashirika na taasisi za umma...

READ MORE

Benki Ya Exim Yaja Na Kampeni ya Wateja Kushinda Gari Mpya, Bajaj na Fedha Taslimu

BENKI ya Exim Tanzania imezindua kampeni maalum inayolenga kuwashawishi wateja wake wanaomiliki simu za mkononi kufanya miamala zaidi kwa kutumia...

READ MORE

Timu 16 kushiriki CECAFA, Simba na Yanga ndani

TIMU za Tanzania zinazoshiriki michuano ya kimataifa zitapata nafasi nzuri ya kujiandaa na msimu mpya kwa kucheza na timu za...

READ MORE

Siku ya Kujishindia Kitita cha Maokoto ni Leo

Jumanne ya leo tutashuhudia nyasi zikiwaka kutoka viwanja mbalimbali ambapo timu zitakuwa zikichuana vikali kusaka nafasi ya kufuzu michuano ya...

READ MORE

Ndege Iliyombeba Makamu wa Rais wa Malawi Yaanguka

Wanajeshi, polisi na walinzi wa misitu wanaendelea kuitafuta ndege ya kijeshi iliyotoweka ikiwa na makamu wa Rais wa Malawi, mke...

READ MORE

Aishi Manula afungukia Hatma yake Simba

KIPA wa Simba, Aishi Manula amebainisha kuwa bado yupo katika kikosi hicho kwa kuwa mkataba wake haujaisha. Manula yupo nje...

READ MORE

Ronaldinho, George Weah, Okocha Washiriki Mashindano ya Dunia ya Vilabu vya Wachezaji Wastaafu

Dar es Salaam. Wachezaji mbalimbali nyota wa zamani wakiongozwa na Ronadihno Gaucho na Rais wa zamani wa Liberia, George Weah...

READ MORE

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Atenguliwa, Kihongosi Ateuliwa Kuchukua Nafasi Yake

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Mkuu wa Wilaya ya Momba, Kenani Kihongosi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu akichukua nafasi...

READ MORE

Kuelekea Siku ya Uchangiaji Damu Duniani, Wananchi Watakiwa Kujitokeza Kuokoa Watu Wenye Uhitaji

KUELEKEA siku ya uchangiaji damu duniani Juni 14 wananchi wametakiwa kuchangia damu hasa wenye makundi adimu ya damu. Mwito huo...

READ MORE

Walimu 4 wa Chuo kikuu cha Marekani Wadungwa kisu Kwenye Bustani

  WALIMU wanne wa chuo kikuu nchini Marekani wamelazwa hospitalini baada ya kudungwa kisu na mtu asiyejulikana katika bustani ya...

READ MORE

#Part 3: Mtanzania Aliyeolewa Omani Ameziona Meseji Alizotukanwa – Afichua Ya Ndani Ya Ndoa…

 Mwanadada Zanin Kikumbi amesimulia jinsi alivyompata mzee wa miaka 60 na kufunga naye ndoa baada ya kuhangaika muda mrefu...

READ MORE

Kupata Matibabu Kutoka kwa Madaktari Bingwa nje ya nchi Wacheki Tanlink Medical Tourism Agency

TANLINK MEDICAL TOURISM AGENCY ni taasisi ya Kitanzania inayojihusisha na kuratibu na kusimamia matibabu ya binadamu ndani na njea ya...

READ MORE

LATRA Yatangaza nauli za abiria wa Treni ya Reli ya Kisasa (SGR) kutoka Dar Mpaka Dodoma

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imetangaza nauli za abiria wa daraja la kawaida kwa Treni ya Reli ya Kisasa...

READ MORE

Kurasa za magazeti ya leo Jume 11, 2024

Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako...

READ MORE

Tigo Washirikiana Na Empower Limited Ili Kukuza Uwezeshaji Vijana Tanzania

Dar es Salaam, Tanzania, 11 Juni 2024 – Kampuni inayoongoza kwa mtindo wa maisha wa kidijitali nchini Tanzania, Tigo, imetangaza...

READ MORE

NMB Yatoa Gawio La Kihistoria La Shilingi Bilioni 181 Kwa Wanahisa Wake

Wanahisa wa Benki ya NMB wameidhinisha gawio la Shilingi Bilioni 181, sawa na shilingi 361 kwa kila hisa moja kwa...

READ MORE

Waziri Kairuki Akutana na Waandaaji wa Onesho Kubwa la Utalii Duniani la Fitur

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Uongozi wa juu wa Kampuni ya...

READ MORE

Unakosaje Pesa na Spesho ODDS za EURO?

Michuano ya EURO kuanza kutimua vumbi Ijumaa hii na wewe unaweza kupiga pesa ndani ya Meridianbet kwa kubeti michuano hii...

READ MORE