×

Serikali Yawatoa Hofu Watanzania Kuhusu Ubora na Usalama wa Sukari

Serikali kupitia Bodi ya Sukari Tanzania (SBT), imewatoa hofu Watanzania juu ya ubora na usalama wa sukari inayoingizwa nchini kutokana...

READ MORE

Msimu wa Tano NBC Dodoma Marathon, Zawadi za Mil 80 Kukabidhiwa Washindi

  Jumla ya washindi 60 wa mbio za NBC Dodoma Marathon msimu huu wanatarajiwa kuondoka na zawadi zenye jumla ya...

READ MORE

Polisi Handeni Wahitaji Kuendelea Kuwapa Mafunzo Madereva wa Bodaboda Kuepusha Ajali

JESHI la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Wilaya ya Handeni mkoani Tanga, limesema ipo haja kwa waendesha bodaboda wilayani humo...

READ MORE

Shilole ‘Siyo Mwenzetu Tena’, Alamba Shavu Kupitia Mama Lishe

Shilole ‘Siyo mwenzetu tena, baada ya kutangazwa na Kampuni ya Gesi ya Oryx imemtangaza Mama Lishe Zuwena Mohamed maarufu Shilole...

READ MORE

Tamasha la Utamaduni na Utalii Kutimua Vumbi Bariadi

Hatimaye Tamasha la Utamaduni na Utalii Kanda ya Ziwa – Lake Zone Cultural and Tourism Festival lililokuwa linasubiriwa kwa hamu...

READ MORE

COPA AMERICA: Argentina, Ecuador, Kukupa Maokoto Leo

Robo fainali ya COPA AMERICA kuanza kutikisa leo hii ambapo wewe mteja una nafasi ya kuitikisa akaunti yako kwa kupiga...

READ MORE

Stars Yapewa DRC, Ethiopia Na Guinea Kufuzu Afcon 2025

DROO ya kuwania kufuzu kombe la Mataifa Afrika 2025, AFCON 2025 imefanyika leo Julai 4, 2024 Jijini Johannesburg, Afrika Kusini...

READ MORE

Aliyechoma Picha ya Rais Jela Miaka Miwili Wilaya ya Rungwe 

Mahakama ya wilaya ya Rungwe leo Julai 4, 2024 imemtia hatiani Bw. Shedrack Yusuph Chaula mwenye umri wa miaka 24...

READ MORE

Tajirika na Michezo ya Kasino Mtandaoni Pale Meridianbet

Historia ya Kasino inaonesha kwamba, watu wengi wanaocheza kasino hushinda kuliko kushindwa, Meridianbet Kasino ya Mtandaoni ni chimbo la utajiri...

READ MORE

Man United Kusikiliza Ofa ya Marcus Rashford Kwenda PSG

  Manchester United ipo tayari kusikiliza ofa kwa ajili ya Marcus Rashford baada ya kuvunjika kwa uhusiano wa mshambuliaji huyo...

READ MORE

Ibadilisheni Dawasa Ifanye Kazi Kama Sekta Binafsi – Waziri Aweso

Waziri wa Maji, Mhe.Jumaa Aweso(Mb) amewataka watumishi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) kubadilisha...

READ MORE

Simba Yashusha Beki wa Kati Abdulrazack Mohamed Hamza raia wa Tanzania

Klabu ya Simba imemtambulisha beki wa kati, Abdulrazack Mohamed Hamza (23) raia wa Tanzania, akitokea klabu ya Supersport United ya...

READ MORE

Aweso Amkaanga Meneja DAWASA Kigamboni “Kwa Nini Wananchi wanakosa Maji? Tukutane Ofisini Kwangu”

Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso leo tar. 04 Julai 2024 amefika Wilaya ya Kigamboni mkoani Dar Es Salaam kutembelea...

READ MORE

Uzinduzi wa msimu wa pili wa mashindano ya gofu ya NCBA yaongozana na upandaji miti Arusha

Arusha, Tanzania — Juni 29, 2024, Benki ya NCBA Tanzania imezindua rasmi msimu wa pili wa mashindano ya gofu ya...

READ MORE

Yanga Yathibitisha kuachana na kiungo mshambuliaji Augustine Okrah

Klabu ya Yanga imethibitisha kuachana na kiungo mshambuliaji Augustine Okrah hivyo hatakuwa sehemu ya kikosi chao msimu ujao 2024-2025. Okrah...

READ MORE

JWTZ Kufanya Maadhimisho ya Miaka 60 Tangu Kuanzishwa Kwake

Jeshi la Wananchi Tanzania( JWTZ) linatarajiwa kufanya maadhimisho ya miaka 60 tangu kuasisiwa kwake Septemba 1, 1964 na Hayati Mwalimu...

READ MORE

Uingereza Kufanyika Uchaguzi Mkuu Leo, Chama cha Labour Wapewa nafasi

UCHAGUZI Mkuu nchini Uingereza unafanyika leo huku mtazamo ukionyesha Chama cha Labour kupewa nafasi kubwa ya ushindi. Kura za maoni...

READ MORE

Biden aapa kuendelea na kampeni licha ya shinikizo la kumtaka kujiondoa kwenye kinyang’anyiro

Rais wa Marekani Joe Biden Jumatano ameapa kuendelea kuwania muhula wa pili, akipuuza hisia zinazozidi kuongezeka kwamba kushindwa kufanya vizuri...

READ MORE

Bodaboda Asimulia Alivyotaka Kuuawa Na Vibaka Porini – Video

Kijana Hassan Michael mkazi wa Nungwi visiwani Unguja, ambaye ana kipaji cha kuwaigizia wanyama mbaliumbali wanavyotembea ikiwemo sokwe, amesema licha...

READ MORE

Mshomba Afichua Siri Mafanikio ya NSSF

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Bw. Masha Mshomba amefichua siri ya mafanikio makubwa ambayo...

READ MORE