×

BetPawa Yafanya Amshaamsha ya Mashabiki wa Mwanza Kuelekea Fainali UEFA

Kampuni ya michezo ya kubashiri ya betPawa imezawadia vifaa vya michezo timu mbalimbali za mkoa wa Mwanza ikiwa sehemu ya...

READ MORE

Walioshinda Shindano La Wauzaji Bora Vilainishi Vya Oryx Wakabidhiwa Tiketi Kwenda Dubai

KAMPUNI ya Oryx Services and Specialties Ltd iliyoendesha shindano la wauzaji (mawakala) bora wa vilainishi vya Oryx Energies kati ya...

READ MORE

Shirika la Amend kwa kushirikiana na Ubalozi wa Uswis Wamefanikiwa Kuweka Miundombinu Salama Barabarani

KATIKA jitihada za kupunguza ajali za barabarani kwa wanafunzi jijini Tanga ,Shirika la Amend kwa kushirikiana na Ubalozi wa Uswis...

READ MORE

Naibu Waziri Mkuu Dkt. Biteko Kufungua Maonesho Wiki ya Nishati Jadidifu Dar

TANZANIA RENEWABLE ENERGY ASSOCIATION (TAREA) Maonesho Wiki ya Nishati Jadidifu, JUNI 6-7, 2024 Jumuiya ya Wadau wa Nishati Jadidifu Tanzania...

READ MORE

Huku Vinicius Jr Kule Jadon Sancho Nani Kutisha Fainali Ya UEFA?

Usiku wa leo kitapigwa kipute kikali cha kuhitimisha msimu wa mwaka 2023/24 wa ligi ya mabingwa ulaya, Ambapo itapigwa fainali...

READ MORE

Usiku Wa Katambuga Waweka Historia Mastaa Kibao Watoa Ya Moyoni – Video

KIPINDI cha Katambuga kinachoruka kupitia Global Radio na Global TV Online, kimetimiza miaka mitano tokea kuanzishwa kwake. Usiku wa kuamkia...

READ MORE

Uchaguzi Afrika Kusini 2024: Chama Tawala ANC Kinaelekea Kupoteza Wingi wa Viti Bungeni, Serikali ya Mseto Yanukia – Live Video

 Shughuli ya kuhesabu kura nchini Afrika Kusini inaendelea, ambapo kwa mujibu wa matokeo baada ya takriban asilimia 90 ya...

READ MORE

Kelvin John ‘Mbappe’ Ajiunga na klabu ya Aalborg ya Denmark

Mshambuliaji wa Timu ya taifa ya Tanzania, Kelvin John ‘Mbappe’ amejiunga na klabu ya Aalborg FC @aabsportdk iliyopanda daraja kwenda...

READ MORE

Waziri Mkuu Majaliwa: Anzisheni Madawati Ya Sayansi, Teknolojia Na Ubunifu

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezitaka Halmashauri zote nchini zihakikishe zinakamilisha uanzishwaji wa Madawati ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu ifikapo Julai...

READ MORE

#Exclusive Video: Mzee Alimas Wa Dosari – ”Nimemkimbia Mke Wangu Ili Niishi Vizuri – Namlaani”…

Msanii wa Bongo Movie anae upiga mwingi kwenye tamthilia ya Dosari inayoruka Dstv Mzee Alimas anefanya mahojiano na Global Tv...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Juni 1, 2024

Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako...

READ MORE

#Exclusive: Saida Karoli Afunguka Dhuluma Ya Pesa Iliyomuumiza – Video

MSANII mkongwe wa muziki wa asili, Saida Karoli amefanya mahojiano na Global Tv na kusema kuwa kipindi ambacho nyimbo zake...

READ MORE

Watanzania Wapewa Mamilioni, Tv, Friji Na Zigo La Euro Cup Na HISENSE Droo Ya Kwanza

Ramadhan S. Mrutu ( Katikati ) ambaye ni mshindi wa tiketi ( Droo ya kwanza ) Kampeni ya ZIGO la...

READ MORE

Rais Samia Awasili Jamhuri ya Korea kwa ajili ya Ziara ya Kikazi ya siku sita

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Samia Suluhu Hassan leo Mei 30, 2024 amewasili Jamhuri ya Korea...

READ MORE

Kombe la Yanga Latua kilele cha Mlima Kilimanjaro – Picha

Baada ya msimu 2023/24 kumalizika Mabingwa wa Ligi Kuu ya NBC kwa mara ya tatu mfululizo, Klabu ya Yanga wamepeleka...

READ MORE

Kontawa Feat Harmonize: Binadamu (Official Audio)

Msanii wa muziki nchini, Abdu Hamid Said maarufu ‘Kontawa’ ameachia wimbo wake mpya wa Binadamu amemshirikisha Mwimbaji maarufu wa Bongo...

READ MORE

Matokeo uchaguzi Afrika Kusini 2024: ANC Kupoteza Wabunge Wengi – Live Video

CHAMA tawala nchini Afrika Kusini, African National Congress (ANC), kupoteza wabunge wengi kwa mara ya kwanza tangu kilipoingia madarakani miaka...

READ MORE

Mke wa rais wa zamani wa Zambia akamatwa kwa tuhuma za ulaghai

Mke wa Rais wa zamani wa Zambia Esther Lungu na bintiye Chiyeso Katete wamekamatwa kwa kumiliki mali zinazoshukiwa kuwa ni...

READ MORE

RC Makonda Akerwa Na Mivutano Baina Ya Watendaji Na Viongozi Wa Jiji Arusha

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda amekerwa na tabia ya malumbano na kuvutana kwa viongozi, Baraza la Madiwania...

READ MORE

Trump apatikana na hatia kwa mashtaka 34 ya jinai

Jopo la wajumbe wa mahakama moja mjini New York, Alhamisi limempata na hatia rais wa zamani wa Marekani Donald Trump...

READ MORE