×

Mkuu Wa Wilaya Ya Karatu Apokea Misaada Ya Waathirika Wa Mafuriko Kutoka Kwa Wadau

Mkuu wa Wilaya ya Karatu Mh. Dadi Harace Kolimba amepokea misaada ya vitu mbalimbali kutoka Kampuni ya Mawasiliano ya Tigo...

READ MORE

Roboti Eunice Awa Gumzo Mitandaoni, Awakaribisha wageni Bungeni

Miongoni mwa mambo yaliyokuwa kivutio kikubwa nje ya Ukumbi wa Bunge asubuhi ya leo, ilikuwa ni uwepo wa roboti Eunice...

READ MORE

Shigongo: Mkitupa Ruzuku Mtatufunga Midomo, Kwa Nini TBC Ishindane Na Private Kwenye Matangazo – Video

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amesema vijana wengi wa Kitanzania wana vipaji vikubwa vya ubunifu lakini wanakosa mitaji na kusisitiza...

READ MORE

Sloti Yenye Simulizi za Aladin na Jini Mchawi, Ushindi x98%

Rise of the Genie ni mchezo wa kasino ya mtandaoni KUTOKA Meridianbet wenye kusisimua kutoka kwa mtoa huduma iSoftBet, ambapo...

READ MORE

Waziri Nape Awasilisha Makadirio Ya Bajeti Wizara Ya Habari – Video

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema serikali imedhamiria kuleta mapinduzi ya Kidigitali kupitia Mpango wa...

READ MORE

Amazing Tanzania Yazinduliwa Kwa Kujaza Mastaa Beijing Opera House

Nyota wa filamu nchini China Jin Si Sui, akijulikana zaidi kwa jina la Jin Dong, ambaye ndiye mgeni mashuhuri katika...

READ MORE

Mwili Wakutwa na Silaha Bila Kibali Mbeya

Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya linawashikilia watuhumiwa wawili Nerbat Mwasile (33) Mkazi wa Ifumbo na Isaya Julias Zumba (38) Mkazi...

READ MORE

TENMET Wachanga Zaidi ya Mil 18.6 Kutatua Changamoto Za Elimu, Geita

Mwenyekiti wa Bodi ya wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TenMeT), Bi. Faraja Nyalandu akitoa hotuba yake kwenye kilele cha Madhimisho ya Juma...

READ MORE

Exclusive: Sarah Mvungi “Aliniacha Na Mimba, Ndoa Yangu Ilikuwa Ya Misukosuko Nikawa Mlevi”- Video

Muimbaji maarufu wa nyimbo za Injili ambaye pia alikuwa msanii wa Bongo Muvi kupitia Kundi la Kaole Sanaa Group, Sara...

READ MORE

Klabu Zinazoshiriki EPL Kupiga Kura Ya Kufuta Matumizi Ya ‘VAR’

Klabu zinazoshiriki Premier League zimeombwa kuunga mkono hoja iliyowasilishwa na Klabu ya Wolverhampton Wanderers inayopendekeza azimio la kupiga Kura ya...

READ MORE

Waziri Mkuu wa Slovakia Apigwa Risasi Mashariki Mwa Bratislava

Waziri Mkuu wa Slovakia Robert Fico anapambania maisha yake hospitalini baada ya kupigwa risasi katika mji mdogo kaskazini-mashariki mwa Bratislava....

READ MORE

Wakulima Wa Chai Nchini Kuwezeshwa Na Benki Ya Azania Kupitia Akaunti Maalum

Benki ya Azania hii leo imetiliana saini na Chama kilele cha Ushirika wa Wakulima wa Chai, TASTGCU, mkataba ambao Benki...

READ MORE

#Part2: Mtanzania Aolewa Na Mzee Omani, Awekwa Jela Siku 13, Ubalozi Wamzungusha Passport Yake – Video

Mwanadada Zanin Kikumbi amesimulia magumu aliyokutana nayo Oman alikoenda kufanya kazi na kuwashauri wenye ndoto za kwenda huko, wahakikishe maisha...

READ MORE

Kurasa za Magazeti ya Leo Mei 16, 2024

MSIMU MPYA MAMBO MAPYA!   Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa...

READ MORE

App Ya Kisasa Kabisa Ya Kufanya Miamala ‘Super App’ Yazinduliwa Na Tigo

Kadili siku zinavyozidi kusonga ndivyo teknolojia nayo inavyozidi kushika kasi na hapo ndipo Kampuni ya mtandao wa simu ya Tigo...

READ MORE

Hatifungani ya Kijani ya Tanga UWASA Yasajiliwa Rasmi Soko la Hisa

    Hatifungani ya Kijani ya Miundombinu ya Maji Tanga inayosimamiwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Tanga...

READ MORE

PSSSF Yawanoa Jeshi la Polisi Tanzania Jinsi ya Kuwasilisha Nyaraka Kidijitali

  MFUKO wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) umeendesha mafunzo ya namna ya kuwasilisha madai kupitia mifumo ya...

READ MORE

Epl, La Liga, Ligue 1 Na Coppa Italia Moto Utawaka Leo

Leo sehemu ni moja tu ya kupiga mkwanja ni kwa mabingwa wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet, Kwani leo...

READ MORE

Waziri Ndejembi Atembelea OSHA, Asisitiza Uwekezaji Zaidi Katika TEHAMA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Deogratius Ndejembi amefanya ziara katika Ofisi za...

READ MORE

Jeshi la Polisi, PSSSF Wawajengea Uwezo Maafisa Namna ya Kushughulikia Mafao Kidigitali

KAMISHNA wa Utawala na Menejimenti ya Rasilimali watu, CP. Suzan Kaganda Mei 13, 2024, Jijini Dar es Salaam, amefungua mafunzo...

READ MORE