×

Rais Samia Awaapisha Viongozi Mbalimbali Ikulu Chamwino, Dodoma

    Rais Samia amemuapisha pia Kenan Laban Kihongosi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu na amemuapisha pia Stanslaus Haroon...

READ MORE

Waziri Mkuu: Tunawasaidia Wawekezaji Wazawa Kuwa Mahiri

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali itaendelea kuwajengea uwezo Watanzania wanaojishughulisha na masuala ya uwekezaji na kuweka mazingira wezeshi ili...

READ MORE

Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Dk Shogo Mlozi Afariki

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson ametangaza kifo cha Mbunge wa Bunge la Afrika...

READ MORE

Benki ya Exim, Mpango wa Taifa wa Damu Salama Kuendesha Kampeni Mikoa Mitano

    Benki ya Exim kwa kushirikiana na Mpango wa Taifa wa Damu Salama (NBTS) imeandaa mpango wa kitaifa wa...

READ MORE

Chama cha Inkatha Freedom na ANC kuunda serikali ya Afrika Kusini

Chama cha upinzani nchini Afrika Kusini Inkatha Freedom Party Jumatano kimetangaza kuwa kitashirikiana na chama tawala cha African National Congress...

READ MORE

Mchezaji Mkongwe wa ligi ya Kikapu Jerry West Afariki

Mchezaji mkongwe wa ligi ya kikapu Marekani, Jerry West (86), amefariki dunia. West alicheza mpira huo kwa miaka 14 na...

READ MORE

Kocha wa Viungo Youssef Ammar Aondoka Yanga, Afunguka

ALIYEKUWA mtaalamu wa Viungo Yanga, Youssef Ammar amefunguka kuondoka katika klabu hiyo, hivyo hatakuwa sehemu ya Benchi la Ufundi la...

READ MORE

Mwenyekiti wa Simba Mangungu: Mo Dewji ni Mwanasimba Jasiri

Mwenyekiti wa Simba Murtaza Mangungu amewajibu Wanasimba wanaodhani kuwa hana maelewano na Mwekezaji Mo Dewji kuwa “Nani kawaambia? Anasema hana...

READ MORE

Jinsi Ya Kumfanya Mwenza Wako Afurahie Penzi Lenu

NI IJUMAA nyingine ambayo Mwenyezi Mungu ametukirimia na mimi ninawakaribisha hapa jamvini, mahali ambapo tunajadili mapenzi na maisha kwa jumla....

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Juni 13, 2024

Tunatoa zawadi kwako ewe msomaji ambapo kwa kununua GAZETI LA CHAMPIONI, utapata fursa ya kuzawadiwa jezi mpya za Simba na...

READ MORE

Balozi Nchimbi Aongoza Mapokezi ya Katibu Mkuu, Mgombea Urais wa Frelimo

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi amewaongoza viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali, ngazi...

READ MORE

Tsh 45,000,000 Zinakusubiri Leo! Cheza Michezo ya Kasino Meridianbet

Meridianbet Kasino ya Mtandaoni kuna michezo 20 ya sloti inaweza kubadilisha maisha yako na kukufanya uwe tajiri! Promosheni hii ni...

READ MORE

Rais Samia Afanya Mazungumzo na Mgombea Urais wa Msumbiji kupitia Chama cha FRELIMO

Rais Samia leo Juni 12, 2024 amefanya mazungumzo na Mgombea Urais wa Msumbiji kupitia Chama cha FRELIMO Ndugu Daniel Fransisco...

READ MORE

GGML yaahidi kuendelea kushirikiana na UDSM kudhamini tafiti, ubunifu

  Na Mwandishi Wetu KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imeahidi kuendelea kushirikiana na Serikali kupitia Chuo Kikuu cha...

READ MORE

Jinsi Nilivyomnasa Mama Mkwe Akiweka Hirizi Kwenye Chumba Ninacholala na Mke Wangu

Jina langu ni Sarah mkazi wa Kandara huko Muranga nchini Kenya. Nimekuwa nikiishi katika hali ya misukosuko ya mara kwa...

READ MORE

Bosi Simba Atamba Kufanyia Kazi Makosa Yao “Tumepoteza kila kitu”

UONGOZI wa Simba umebainisha kuwa utafanyia kazi makosa yaliyopita ili kurejea kwenye ubora wao kwa kuwa nyakati ambazo wamepita zimewaumiza....

READ MORE

Chama cha Jacob Zuma chataka uchaguzi Afrika Kusini urudiwe

Chama cha tatu kwa ukubwa cha kisiasa nchini Afrika Kusini kimeiomba mahakama kuu ya taifa hilo kuzuia kuanza baadaye wiki...

READ MORE

Walimu Wakuu 20,661  wa Shule za Msingi  za Serikali na Binafsi Wapewa Mafunzo ya Mtaala wa Mwaka 2023

Jumla ya Walimu Wakuu 20,661  wa shule za msingi  za Serikali na Sizizo za serikali nchini wamepewa mafunzo kuhusu  utekelezaji...

READ MORE

Kiboko Ya Wachawi Alivyowaheshimisha Wanahabari Kwa Kufanya Nao Mkutano Baharini

Nabii Domonic maarufu Kiboko ya Wachawi anayeendeshea huduma za kinabii na uponyaji kwenye kanisa lake lililopo Buza jijini Dar wikiendi...

READ MORE

MO Dewji Aridhia ombi la Kuwa Mwenyekiti wa Bodi, Atoa Tamko – Video

Mwekezaji wa klabu ya Simba, Mohammed Dewji Juni 11, 2024 ametangaza kukubali kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Klabu...

READ MORE