×

Rais Samia Afanya Uteuzi na Uhamisho wa Viongozi, Petro Magoti Ateuliwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Petro Magoti Itozya kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe akichukua nafasi ya Fatma Almas Nyangasa...

READ MORE

Dstv Wamtambulisha Diva Ndani Ya Tamthiliya Ya Dosari, Afunguka – Video

Mtangazaji Diva Gissele Malinzi au Diva The Bawse  ametambulishwa rasmi kwenye Familia ya Filamu ya DOSARI kama mmoja ya wahusika...

READ MORE

Rais Samia Amteua Zuhura Yunus kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Zuhura Yunus kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Juni 7, 2024

Tunatoa zawadi kwako ewe msomaji ambapo kwa kununua GAZETI LA CHAMPIONI, utapata fursa ya kuzawadiwa jezi mpya za Simba na...

READ MORE

TAREA Yaomba Serikali Kupitia Upya Sera Ya Nishati

JUMUIYA ya Wadau wa Nishati Jadidifu Tanzania (TAREA) imeiomba serikali kupitia Wizara ya Nishati kufikiria kupitia upya Sera ya Nishati...

READ MORE

Sahara Consult And The Mastercard Foundation EdTech Fellowship Reveal The First Cohort Of 10 Start-ups Set To Transform Tanzania’s Education Sector

Dar es Salaam, Tanzania – June 7, 2024 – Sahara Consult has named the 10 homegrown Tanzanian EdTech companies that...

READ MORE

Dk.Nchimbi Aweka Historia Mwanga-Kilimanjaro

Melfu ya  Wananchi wa Wilaya ya Mwanga Mkoani Kilimanjaro wamejitokeza kwa wingi kumpokea Katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM)...

READ MORE

Waziri Silaa Azuia Utapeli Eneo la NSSF

*Ni baada ya NSSF kuweka mtego wa kuwakamata matapeli hao *Walitaka ‘kumpiga’ Mama milioni nane, wakaishia mikononi mwa polisi Waziri...

READ MORE

FIFA Yaiondolea Yanga Adhabu ya Kufungiwa Kusajili Wachezaji

Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) limeiondolea klabu ya Yanga adhabu ya kufungiwa kusajili wachezaji baada ya klabu...

READ MORE

Msafara wa Dkt. Nchimbi Wasimamishwa Himo-Moshi

Mamia ya Wananchi wa wamejitokeza kwa wingi kumpokea Katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emmanuel pamoja na...

READ MORE

Samsung, Watu Simu Waungana Kuwawezesha Wananchi Kupata Simu Kwa Mikopo Nafuu

Katika jitihada za kuongeza matumizi ya simu janja, Samsung Electronics East Africa imeungana na Watu Simu kuzindua kampeni inayojulikana kama...

READ MORE

Suka Jamvi Lako Na Mechi Za Kufuzu Kombe La Dunia Leo

Ukiwa unawaza ni wapi utapata ODDS za kibabe ubashiri mechi za kufuzu Kombe la Dunia Afrika leo, Mimi nakwambia sehemu...

READ MORE

Waziri Silaa Azuia Utapeli Eneo La NSSF, Walitaka ‘Kumpiga’ Mama Milioni Nane

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amempa siku 14 Kamishna wa Ardhi Mkoa wa Dar es...

READ MORE

Bosi: Tulieni Simba Mpya Inasukwa “Huwezi kukwepa Maingizo Mapya”

BAADA ya Simba kugotea nafasi ya tatu msimu wa 2023/24 na pointi zake 69 kibindoni benchi la ufundi limebainisha kuwa...

READ MORE

Msemaji Mkuu wa Serikali Afunguka Ziara Ya Rais Samia Korea – Video

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi, leo Juni 6, 2024 amefanya mahojiano na...

READ MORE

Simba Yatangaza nafasi ya Kazi Mkurugenzi wa Wanachama

Klabu ya Simba inatangaza nafasi ya Mkurugenzi wa Wanachama. Akizungumza kuhusu nafasi hii Afisa Mtendaji Mkuu wa Simba, Imani Kajula...

READ MORE

Chama tawala Afrika Kusini Chawasiliana na Wapinzani Kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa

Chama tawala nchini Afrika Kusini cha African National Congress (ANC) Jumatano kilisema kimewasiliana na wapinzani ili kuunda serikali ya umoja...

READ MORE

Zuhura Yunus Na Viongozi Wengine Wazungumza kuhusu Ziara ya Rais Samia Korea – Video

Mkurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu Zuhura Yunus pamoja na Viongozi wengine wa Serikali wakizungumza na Waandishi wa Habari Ikulu...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Juni 6, 2024

Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako...

READ MORE