×

Chama tawala Afrika Kusini Chawasiliana na Wapinzani Kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa

Chama tawala nchini Afrika Kusini cha African National Congress (ANC) Jumatano kilisema kimewasiliana na wapinzani ili kuunda serikali ya umoja...

READ MORE

Zuhura Yunus Na Viongozi Wengine Wazungumza kuhusu Ziara ya Rais Samia Korea – Video

Mkurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu Zuhura Yunus pamoja na Viongozi wengine wa Serikali wakizungumza na Waandishi wa Habari Ikulu...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Juni 6, 2024

Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako...

READ MORE

GGML inavyoshirikisha wazawa katika uchimbaji endelevu wa madini

  Na Mwandishi Wetu Msukumo wa serikali wa kushirikisha wazawa katika mnyororo wa fursa kwenye sekta ya madini umezidi kuleta...

READ MORE

Wale Jamaa wa 666 Jiunge Na Chama Huru Cha Freemason, Tunarudisha Mke Waburutwa Kisutu

WAKAZI 12 wa Sumbawanga Mkoani Rukwa wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka ya kuongoza genge la...

READ MORE

Balozi Dk. Nchimbi Alivyoongoza Mkutano wa Ndani na Wananchama wa CCM Kilimanjaro

  Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi, akizungumza na Wanachama wa CCM, wawakilishi wa...

READ MORE

Tigo Yatambulisha ‘Sako Kwa Bako’ Kwa Upatikanaji Wa WhatsApp Bila Malipo

Dar es Salaam, Juni 6, 2024 – Tigo, kampuni inayoongoza nchini Tanzania ya maisha ya kidijitali, inajivunia kutangaza uzinduzi wa...

READ MORE

Sherehe Ya Ukuaji Wa Ecobank Tanzania Ulioambatana Na Mafanikio Ya Ecobank Group

Dar es Salaam, June 2024 – Ecobank Tanzania inayo furaha ya kutangaza ukuaji na mafanikio yake lukuki katika mwaka wa...

READ MORE

Korea Yatoa Bilioni 422 Ujenzi wa Hospitali ya Binguni

Serikali ya Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Korea zimesaini Mkataba wa Mkopo nafuu wa Shilingi bilioni 422.16 kwa ajili...

READ MORE

SportPesa Yatoa Bonasi Kwa Yanga Milioni 537.5 Kwa Mafanikio ya msimu Uliomalizika

Kampuni ya michezo ya kubashiri ya SportPESA ambayo ni Mdhamini Mkuu wa klabu ya Yanga imeikabidhi klabu hiyo mfano wa...

READ MORE

Mzigo Usio na Kikomo! Expanse Tournament Kasino ni Ushindi Tu!!.

Unaambiwa huko Meridianbet Bosi hataki mchezo, ile Promosheni ya shindano la Expanse si unaijua? Basi Pesa zimeongezeka kwa washindi na...

READ MORE

Rais Samia Ashiriki Mkutano wa Biashara katika Hoteli ya Lotte Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo June 5, 2024 pamoja na Viongozi mbalimbali wameshiriki Mkutano...

READ MORE

Maagizo ya Dr Nchimbi Kuhusu Boom Tutatekeleza Haraka- Prof Mkenda

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof. Adolf Mkenda amesema Wizara yake imepokea maelekezo ya Katibu Mkuu wa CCM...

READ MORE

Sitasahau Mume Wangu Alivyotaka Kunipa Talaka Baada ya Kuishi Naye kwa Miaka 17

Jina langu ni Anna, na miezi michache iliyopita, mimi na mume wangu tulikaribia kutengana. Iliniogopesha sana kwa sababu nilimpenda sana....

READ MORE

Mama Mwenye Watoto 11 Amuomba RC Makonda Msaada Ili Aweze Kimudu Kuwahudumia Watoto

Mama mwenye watoto 11 mkazi wa kata ya Mateves halmashauri ya Arusha, Wilaya ya Arumeru amemuomba Mkuu wa Mkoa wa...

READ MORE

Tanzania kushirikiana na Korea kusini kujenga bandari ya uvuvi Bagamoyo

Serikali ya Tanzania imetolea ufafanuzi juu ya mkopo iliyopokea kutoka Korea Kusini, ulioambatana na makubaliano ya ushirikiano katika sekta ya...

READ MORE

Bei Za Mafuta Zapanda, Kuanza Kutumika Leo Juni 5, 2024… Dar Petrol ni Tsh. 3261, Dizeli Tsh. 3122

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza kushuka kwa bei kikomo za bidhaa za mafuta ya...

READ MORE

Taifa Gas Yapewa Tuzo Kutambua Jitihada Zake Utunzaji wa Mazingira Nchini

    Makamu wa Rais Dk Philip Mpango amekabidhi tuzo maalum kwa kampuni ya nishati ya gesi ya kupikia ya...

READ MORE

FAO, EU, Wizara Ya Kilimo Wazindua Kampeni Ya Lishe Bora Kwa Njia Ya Daladala

Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO), kwa kwa kushirikiana na Umoja wa Ulaya (EU) na Wizara...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Juni 5, 2024

Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako...

READ MORE