×

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Aprili 7, 2024

Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako...

READ MORE

Serikali Ya Uingereza Yatangaza Mikakati Mipya Ya Ushirikiano Na Tanzania Katika Kuboresha Uwekezaji

Serikali ya Uingereza imetangaza mipango na mikakati mipya ya ushirikiano na Serikali ya Tanzania ili kuzimarisha ushirikiano katika Sekta za...

READ MORE

Waziri Wa Dermark Akutana Na Dr. Nchemba, Dr. Jafo Na Prof. Mkumbo

Kampuni za Denmark zimealikwa kuja kuwekeza nchini katika sekta za uchukuzi, nishati, madini, mazingira na uchumi wa buluu ambazo ni...

READ MORE

Wakazi wa Barabara ya Mbezi Makabe Kwenda Mpiji Magohe Waiomba Serikali Kufanya Matengenezo ya Barabara

WAKAZI wa Njiapanda ya Mbezi Makabe Kuelekea Mpiji Magohe Manispaa ya Ubungo Jijini Dar es Salaam,wameiomba serikali kupitia wakala wa...

READ MORE

Dkt. Nchimbi Aweka Msimamo Dipromasia ya Uchumi na Siasa Kunufaisha Tanzania

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi amesema CCM, chini ya uongozi wa Mwenyekiti wake,...

READ MORE

Bwawa la Kufua Umeme la Julius Nyerere Limepunguza Athari za Mafuriko Rufiji

Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Meja Edward Gowelle amesema kuwa mradi wa kufua umeme wa bwawa la Julius Nyerere (JNHPP)...

READ MORE

Ishi Kifalme na Deuces Wild Poker Kasino ya Utajiri

Deuces Wild Poker Karata moja ya mchezo bomba kabisa na rahisi kuucheza kama ukituliza akili, ule usemi wa changa karata...

READ MORE

Al Ahly Watinga hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika

Mabingwa watetezi, Al Ahly wametinga hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kufuatia ushindi wa jumla wa 3-0...

READ MORE

Tetemeko la ardhi latikisa jiji la New Jersey na New York

Maafisa wanasema tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 4.7 vipimo vya rikta lilitikisa eneo la jiji lenye watu wengi la...

READ MORE

Naibu Waziri Mkuu Amwakilisha Makamu Wa Rais Iftari Ya Viongozi Wa Dini Dar

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo tarehe 5 Aprili, 2024 amemwakilisha Makamu wa Rais...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Aprili 6, 2024

Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako...

READ MORE

Mamelodi Sundowns Yatinga nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika

Mamelodi Sundowns imetinga nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kufuatia ushindi wa penalti 3-2 dhidi ya Yanga Sc kwenye...

READ MORE

Halotel Yatia mkono Uongozi wa mtaa wa Bwawani Kupitia Ufadhili wa Tukio la Iftar

Kampuni kubwa ya mawasiliano Halotel, inayoendelea kuwa mstari wa mbele katika kuleta maendeleo kwa jamii, imejitolea kudhamini tukio la Iftar...

READ MORE

Mfalme Aliyelaaniwa Misri | The Cursed King Kasino Bomba Ndani ya Meridianbet

Kupitia Meridianbet utakutana na mchezo wa kasino ya mtandaoni unaoelezea kisa cha Farao aliyelaaniwa kwa matendo yake, unachopaswa kufanya ni...

READ MORE

Waziri Mkuu: Serikali Yatumia Sh. Trilioni 10 Ujenzi Wa SGR

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imetumia sh. trilioni 10.69 kwa ajili ya ujenzi wa reli ya kisasa kwa kiwango...

READ MORE

Dkt. Biteko: Watendaji Wazembe Tanesco Kuanza Kuchukuliwa Hatua Kila Mwezi

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati,  Dkt. Doto Biteko ameagiza ripoti ya taarifa kila wiki ya Kituo cha Huduma...

READ MORE

Aliyekuwa spika wa bunge Afrika kusini ashtakiwa kwa tuhuma za ufisadi

Nosiviwe Mapisa-Nqakula, ambaye alijiuzulu wadhifa wa uspika Jumatano, alifikishwa mahakamani mjini Pretoria baada ya kufika polisi na kukamatwa rasmi. “Mashtaka...

READ MORE

Rais Samia Amteua Alice Edward Mtulo kuwa Naibu Wakili Mkuu wa Serikali

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Alice Edward Mtulo kuwa Naibu Wakili Mkuu wa...

READ MORE

Uteuzi Mkurugenzi wa Manispaa ya Sumbawanga Atenguliwa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Catherine Michael Mashalla katika nafasi ya...

READ MORE

Walionaswa Kwenye V8 Wahukumiwa Mwaka Mmoja Jela – Video

Wahamiaji haramu raia wa Ethiopia wamehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja na nusu jela au kulipa faini ya Milioni moja kwa...

READ MORE