×

Beti na Meridianbet Mechi za Jumapili Hii

Jumapili ndio hii ya leo na ligi mbalimbali zinaendelea Duniani kote kuanzia pale Uingereza, Ujerumai, Hispania, Ufaransa, Italia na kwingine...

READ MORE

Washindi Wa Magifti Dabodabo Ya Tigo Walivyoenda Zanzibar Kuinjoi Siku 4 Na Wapendwa Wao

Dar es Salaam, 10 Desemba 2023: Washindi wa Kampeni ya Magifti Dabodabo inayoendeshwa na Kampuni ya Mtandao wa simu za...

READ MORE

Jembe la Gamondi laonywa Daktari Mkuu wa timu Yanga

AKIWA nje akiendelea kuuguza majeraha yake ya kifundo cha mguu ‘enka’, beki wa kushoto wa Yanga, Joyce Lomalisa amepewa onyo ...

READ MORE

Rais wa Zamani wa Sierra Leone ahojiwa kuhusiana madai ya jaribio la mapinduzi

Rais wa zamani wa Sierra Leone Ernest Bai Koroma ameripoti katika kituo cha polisi katika mji mkuu wa nchi hiyo...

READ MORE

DAS Mvomero Katika Maadhimisho ya Miaka 62 ya Uhuru wa Tanzania Akumbusha Kuienzi Misingi ya Umoja

Watanzania wamekumbushwa kuienzi misingi ya umoja wetu, mshikamano na udugu wetu kama Taifa Moja, kwani fahari hii tulioikuta sasa kuna...

READ MORE

Kesi ya Shambulio la Mwili Kusikilizwa Jumatatu 

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kinondoni, Dar es Salaam inatarajia kuendelea kusikiliza kesi ya tuhuma za shambulio la mwili jumatatu inayomkabili...

READ MORE

Bajaji za Bei Chee Zamwagwa Dar, Wahi Uchukue Ya Kwako Kabla Hazijaisha – Video

Kampuni ya SEPCO Debt Collection and Auctioneering inakutangazia mnada mnada wa hadhara kwa idhini waliyopewa na Kampuni ya Wakazi Holding...

READ MORE

Rais Samia: Taifa Lazima Lijipangie Mpango Wa Maendeleo, Ukishindwa Kujipanga, Utapangiwa (Picha +Video)

Rais Samia Suluhu Hassan, amesema ni lazima Taifa lijipangie mpango maalum wa maendeleo kwa sababu ukishindwa kujipanga, utapangiwa kwa masharti...

READ MORE

Meridianbet Yatoa Msaada Mwenge ya Miamvuli kwa wajasiriamali

  Zamu ya Mwenge jijini Dar-es-salaam sasa ambapo mabingwa wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet wamewafikia wakazi wa eneo...

READ MORE

Johnnie Walker Yasimika Sanamu Kusherehekea Miaka 62 ya Uhuru wa Iliyokuwa Tanganyika

Johnnie Walker yaadhimisha miaka 62 ya umoja wa Tanzania kupitia kampeni ya kusisimua, “Keep Walking Tanzania” kwa kusimika sanamu ya...

READ MORE

Walioathirika Na Mafuriko Hanang Wapewa Mitungi Ya Gesi Ya Kupikia Bure Na Oryx

Wakati nchi ikiendelea na maombolezo ya vifo, majeruhi, uharibifu wa mali kufuatia janga la maporomoko ya tope na mafuriko yaliyotokea...

READ MORE

Mshindi wa Shilingi 500,000 wa Maokoto ya Serengeti Akabidhiwa Zawadi Yake Kilosa

Washindi mbalimbali wanaendelea kujishindia maokoto kupitia vizibo, zoezi linaloendeshwa na Kampuni ya Serengeti Breweries. Awamu hii ni zamu ya Martha...

READ MORE

Nyota Simba Waapa Kufa Na Wydad Casablanca ya nchini Morocco leo

MASTAA wa Simba wameapa kupigana kufa na kupona ili kuhakikisha timu yao inapata matokeo mazuri katika mchezo wao wa ugenini...

READ MORE

Rais Putin atangaza kuwania nafasi ya urais uchaguzi wa 2024

Rais wa Russia Vladimir Putin Ijumaa alichukua hatua ya kuongeza muda wa uongozi wake nchini Russia kwa miaka sita zaidi,...

READ MORE

Video: Mama Love Kungwi -“Naishi Nyumba Kodi Yake Milioni 6 Kwa Mwaka -Mimi Ni Maarufu”

Mpaka Home wiki hii imemtembelea Salma Marshed almaarufu @mama_love_kungwi ambaye anafunguka mambo mengi ikiwemo kilichomtoa Kariakoo mpaka kuhamia Ilala ambapo...

READ MORE

Wachimba migodi zaidi ya 400 Afrika Kusini wazuiliwa chini ya ardhi

Waasi wachimba madini wamewazuia wafanyakazi zaidi ya 400 chini ya ardhi siku ya Ijumaa katika mgodi wa dhahabu nchini Afrika...

READ MORE

Wikendi Ndiyo Hiyo Tusua Mapene na Meridianbet

Wikendi ndiyo hii sasa imefika yani ni kula mikeka tuu mwanzo mwisho ukiwa na Meridianbet ambapo kuanzia leo hii Ijumaa...

READ MORE

Habari Kubwa Za Magazeti Ya Tanzania Leo Ijumaa, Desemba 9, 2023

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Dec 9, 2023 CHOTA MAPENE ndiyo...

READ MORE

Barrick: Happy Independence Day Tanzania

DESEMBA 9 ya kila mwaka Taifa linaadhimisha siku ya Uhuru uliopatikana Desemba 9, 1961 na leo Desemba 9, 2023 ni...

READ MORE