×

Makamu wa pili wa Rais Zanzibar atembelea banda la GGML maonesho ya madini Geita

NA MWANDISHI WETU Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman leo Jumamosi ametembelea banda la Kampuni ya Geita...

READ MORE

Rais Samia Ateua na Kuridhia uteuzi wa Viongozi Mbalimbali

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameteua na kuridhia teuzi za viongozi mbalimbali kama ifuatavyo; Amemteua...

READ MORE

Basi la Magereza Lagonga Treni Ya Abiria Ukonga Dar, Yasababisha Kifo cha Mtu Mmoja

BASI  la Magereza lenye namba MT 0040 limegonga treni ya abiria namba YD16 yenye injini namba 9015 iliyokuwa ikitokea mikoa...

READ MORE

Waziri madini atembelea banda la GGML, ashuhudia mradi wa uwanja wa kisasa  

WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde ametembelea banda la Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) katika maonesho ya sita ya...

READ MORE

“Utalindwa Usiogope Kutoa Ushahidi” – Waziri Pindi Chana Akizindua Miongozo…

Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana ametoa wito kwa watanzania kutoa taarifa na ushirikiano kwa vyombo...

READ MORE

Putin na Rais wa Sudan Kusini Wafanya Mazungumzo Mjini Moscow

Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir ambaye yuko katika ziara nchini Russia katika mkutano wa Alhamisi na rais Vladimir Putin...

READ MORE

Habari Kubwa Za Magazeti Ya Tanzania Leo Jumamosi, Septemba 30, 2023

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Septemba 30, 2023 CHOTA MAPENE ndiyo...

READ MORE

Mchungaji Mwakipesile Ahukumiwa Kifungo Cha Miaka Mitatu Jela

Mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile (39), baba mzazi wa Sifa Bujune, Muimbaji wa Injili anayetuhumiwa kusambaza uongo kutokana na Wimbo wake wa...

READ MORE

Manchester United Yatangaza Kumrejesha Antony Kuendelea na Mazoezi

Manchester United imetangaza kumrejesha winga Antony kuendelea na mazoezi kwa ajili ya kuwa fiti kwa mechi zijazo za klabu hiyo....

READ MORE

Dianne Feinstein, Seneta aliyetumikia kwa muda mrefu afariki akiwa na miaka 90

Dianne Feinstein, Seneta aliyetumikia kwa muda mrefu katika Baraza la Seneti la Marekani, akiwakilisha Jimbo la California, afariki akiwa na...

READ MORE

Naibu Waziri wa Nishati Aipa Saa Mbili Tanesco Kurudisha Umeme

Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga Judith Kapinga amelipa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) saa mbili kurudisha uzalishaji wa umeme...

READ MORE

Rais wa Rwanda Amteua Jenerali Mshukiwa kuwa Waziri

Rais wa Rwanda Paul Kagame amemteua afisa mkuu wa kijeshi kuwa waziri wa nchi kwa ushirikiano wa kikanda licha ya...

READ MORE

Viwanda Zaidi ya 200 Kuonyesha Bidhaa Maonyesho ya TIMEXPO Dar

SHIRIKISHO la Wenye Viwanda Nchini (CTI) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Maendeleo ya  Biashara (TanTrade), wameandaa maonyesho makubwa ya kimataifa...

READ MORE

Mchengerwa Awatangazia Kiama Wakurugenzi Watakaoshindwa Kutekeleza Mradi wa TACTIC

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema Mkurugenzi wa Halmashauri...

READ MORE

Simba Watamba Kufuzu Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Power Dynamos

UONGOZI wa Simba, umeweka wazi kuwa, mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Power Dynamos, ni muhimu kufanikisha...

READ MORE

Lulu Diva Amkataa Rich Mavoko – Afichua Kwa Nini Anachagua Andazi – “Ex Harudiwi” – Video

Staa wa Filamu za Kibongo pamoja na muziki, Lulu Diva amefunguka kwamba hajawahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mkali...

READ MORE

Kocha wa Yanga Atamba Kumaliza Kazi dhidi ya Al Merrikh ya Sudan

KOCHA Mkuu wa Yanga, Muargentina, Miguel Gamondi, ameibuka na kutamka kwamba, amekamilisha maandalizi ya kikosi chake kwa asilimia mia moja,...

READ MORE

Sakata La Kupotea Kwa Warda – Mama Mkubwa Aangua Kilio Aomba Rais Samia Aingilie Kati – Video

Jeshi la Polisi Wilaya ya Kibaha Mkoa wa Pwani lilipokea taarifa ya kutoweka kwa mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Nyumbu,...

READ MORE

Simba Yawazidi Ujanja Wazambia Ligi ya Mabingwa Afrika

UOGONZI wa Simba umeweka wazi kuwa kuelekea mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Power Dynamos watamalizia kazi...

READ MORE

Watu 6 wauwawa, 10 wajeruhiwa katika shambulizi Somalia

Watu 6 wameuwawa na zaidi ya 10 kujeruhiwa katika mlipuko wa bomu kwenye gari Alhamisi katika jimbo la kati la...

READ MORE