×

Kisa Inonga, Simba Yaingia Msituni Kusaka Beki wa Kati

KUELEKEA kwenye michuano ya kimataifa, uongozi wa Simba umeanza kusaka beki wa kati atakayeweza kuja kuwa mbadala wa Henock Inonga...

READ MORE

Dk. Alex Malasusa Achaguliwa Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT)

Askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Alex Malasusa, amechaguliwa Mkuu...

READ MORE

Nchi Sita, Ikiwemo Ethiopia, Zakubaliwa Kujiunga Na Jumuiya Ya BRICS

Jumuiya ya BRICS ya mataifa yanayoendelea kiuchumi ulikubaliana siku ya Alhamisi kuzikaribisha Saudi Arabia, Iran, Ethiopia, Misri, Argentina na Umoja...

READ MORE

Robertinho: Tulieni, Onana Atafunga Sana, Achimba Mkwara Mzito

KOCHA Mkuu wa Simba, Mbrazili, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ ameweka wazi kuwa, anajivunia viwango bora ambavyo vinaendelea kuoneshwa na mastaa wapya...

READ MORE

TARURA Yaweka Wazi Vipaumbele Vyake Kwa Mwaka wa Fedha wa 2023/24

#Jukumu kubwa la TARURA ni kusimamia ujenzi, ukarabati na matengenezo ya mtandao wa barabara za Wilaya. Serikali ya Awamu ya...

READ MORE

Waarabu Wampa Simon Msuva Bil 1.5 Kukiwasha CR Belouizdad Algeria

IMEELEZWA kwamba, timu ya CR Belouizdad kutoka Algeria, imemtengea winga Mtanzania, Simon Msuva ofa ya zaidi ya shilingi bilioni 1.5...

READ MORE

Mbunge Shigongo Afichua Royal Tour Ilivyonufaisha Nchi – “Rais Samia Atatufanya Tusikope Baadaye”- Video

Mbunge wa Buchosa kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), @ericshigongo amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameelekeza nguvu katika kuziwezesha...

READ MORE

Trump Ajisalimisha Katika Jela ya Kaunti ya Fulton, Aachiliwa kwa Dhamana

Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump, Alhamisi jioni aliwasili katika jela ya kaunti ya Fulton katika mji wa Atlanta,...

READ MORE

Greenwood Ndio Basi Tena, Anaondoka United

HATIMAYE fowadi wa Manchester United, Mason Greenwood ataondoka katika klabu hiyo kwa makubaliano ya pande zote mbili baada ya uchunguzi...

READ MORE

Habari Kubwa Za Magazeti Ya Tanzania Leo Ijumaa, Agosti 25, 2023

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Agosti 25, 2023 CHOTA MAPENE ndiyo...

READ MORE

Jwtz Watangaza Kiama – ”Salimisheni Sare Za Jeshi Ndani Ya Siku 7 Kwenye Vituo Vya Polisi”- Video

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetoa ufafanuzi kwa jamii kuhusiana na kadhia inayokinzana na katazo la kisheria...

READ MORE

Sapphire Glass Ltd Yaanza Kuwasha Mitambo ya Uzalishaji wa Vioo Nchini

Ujenzi wa kiwanda cha kisasa cha kutengeneza vioo kilichopo Kijiji cha Mkiu, Wilaya ya Mkuranga, Mkoa wa Pwani umefikia asilimia...

READ MORE

Mbio Za Hisani Za St Mary Goreti Kufanyika Jumamosi

Hatimaye mbio za hisani za Shule ya Sekondari ya St Mary Goreti ya Mjini Moshi zimewadia huku zikitarajiwa kufanyika Jumamosi...

READ MORE

Phiri Aliamsha Kambini Simba Atangaza Vita Kurejee Kikosi cha Kwanza

MSHAMBULIAJI wa Simba Mzambia, Moses Phiri amesema kuwa sasa malengo ni kuhakikisha anapambana ili arejee katika kikosi cha kwanza cha...

READ MORE

Mabaki Yachunguzwa Baada Ya Ajali Ya Ndege Inayohusishwa Na Kifo Cha Yevgeny Prigozhin – Picha

PICHA mpya kutoka eneo la Tver nchini Urusi, ambako wataalamu wa masuala ya dharura na polisi wanachunguza mabaki ya ndege...

READ MORE

Zimbabwe: Serikali Yaongeza Siku Moja Kwenye Zoezi La Kupiga Kura

Utaratibu huo ambao si wa kawaida umefanyika kutokana na baadhi ya Kata zilizopangiwa kukamilisha zoezi hilo kwa siku moja, kuchelewa...

READ MORE

Baba Yake na Msuva Aitaja Timu Anayoelekea Mtoto Wake Algeria

  RASMI sasa kiungo Simon Msuva anakwenda kukipiga klabu ya CR Belouizdad ambao ni Mabingwa Watetezi wa Ligi Kuu ya...

READ MORE

Diamond Platnumz – Overdose (Official Lyric Audio)

Diamond Platnumz; ni supastaa wa muziki wa Kizazi Kipya nchini Tanzania ameachia wimbo wake wa Overdose.  

READ MORE

Warepublikan wakabiliana katika mdahalo wa kwanza kwelekea uchaguzi wa rais, Trump aususia

Wanasiasa wanaowania nafasi ya kugombea urais wa Marekani kwa tikiti ya chama cha Republikan walikabiliana kwa maneno makali wakati wa...

READ MORE