×

Mshambuliaji Fiston Atangazwa Kama Mchezaji Mpya Wa Klabu Ya Pyramid

Mshambuliaji Fiston ametangazwa kama mchezaji mpya wa klabu ya Pyramid FC inayoshiriki Ligi Kuu Misri kutoka klabu ya Yanga ya...

READ MORE

Wasira Amshangaa Lissu Kwenda Chato “Hakuna Aliyemtukana Kama Yeye” – Video

MWANASIASA mkongwe nchini na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira ameeleza kushangazwa na hatua ya...

READ MORE

TADB Yapeleka Fursa Kwa Wakulima Maonesho Ya Nanenane

Ikiwa ni sehemu ya kuwafikishia wakulima fursa mbalimbali ikiwamo mikopo ya riba nafuu, mafunzo na ushauri wa kitaalamu, Benki ya...

READ MORE

Mshambuliaji Rasmus Højlund Kutua Manchester United Akitokea Atalanta

Klabu ya Manchester United imefikia makubaliano na klabu ya Atalanta juu ya uhamisho wa mshambuliaji Rasmus Winther Højlund kwa ada...

READ MORE

Mtoto wa Rais Gustavo Petro wa Colombia Akamatwa kwa Utakatishaji Fedha

Mtoto wa Rais Gustavo Petro wa Colombia amekamatwa kwa utakatishaji fedha na utajiri haramu. Nicolas Petro, ambaye pia ni Mwanasiasa...

READ MORE

Kwanini Mapenzi Ndani ya Ndoa Zetu Yanapungua?

 HIVI mpenzi wako anapokuambia anakupenda, unafikiri nini zaidi kichwani mwako? Hapo ndipo kwenye msingi mzima wa mada yetu ya wiki...

READ MORE

Yanga Wamtambulisha Mrithi Wa Mayele, Hafiz Konkoni Kutoka Ghana – (Picha +Video)

Klabu ya Yanga imethibitisha kumsajili mshambuliaji Hafiz Konkoni kutoka klabu ya Bechem United inayoshiriki ligi kuu nchini Ghana. Konkoni (23)...

READ MORE

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Akutana Na Wawekezaji Wa Urusi – Video

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekutana na wawekezaji kutoka kampuni nne za Urusi zenye nia ya kuwekeza nchini katika nyanja ya...

READ MORE

#Exclusive: Queen Masanja Afunguka Kutovaa Stara – ”Mwanamke Usiogope Kuanza Upya” – Video

Queen Masanja ni mwanamke ambaye amewahi kuwa mke wa Dokta Mwaka kabla ya ndoa yao haijapigwa na kimbunga na kusababisha...

READ MORE

Twaha Kiduku Achezea Kichapo Kutoka Kwa Wellem kutoka Afrika Kusini – (Video + Picha)

Bondia Mtanzania Twaha Kiduku amepokea kichapo dhidi ya Bondia, Asemahle Wellem kutoka Afrika Kusini kwa pointi za majaji katika pambano...

READ MORE

AU na EU zinataka jeshi la Niger kurejesha mamlaka ya kikatiba ndani ya siku 15

Jenerali Abdourahamane Tiani mkuu wa kikosi cha ulinzi wa rais tangu mwaka 2011 alionekana kwenye televisheni ya taifa siku ya...

READ MORE

Mandonga Apigwa Kwa TKO Dhidi Ya Bondia Moses Golola Kutoka Uganda – Picha

WIKI moja tu baada ya kulambishwa sakafu Nchini Kenya, bondia maarufu wa Tanzania Karim ‘Mtu Kazi’ Mandonga, amepokea kipigo kingine...

READ MORE

Upana wa Kikosi Uliwanyima Ubingwa Simba 2022/23, Je Wamejifunza?

Takwimu za msimamo wa Ligi Kuu ya NBC msimu uliopita zinaonesha licha ya kutokuwa mabingwa, Simba Sc imeongoza kwa takwimu...

READ MORE

Nimemfumania Mume Wangu Kwenye Madanguro, Tena Nikiwa Mjamzito

  Kwa kawaida mwanamke akiwa mjamuzito hutaka kuonyeshwa upendo wa hali ya juu kwani wakati huo hupitia changamoto nyingi kutokana...

READ MORE

Fiston Mayele Atua Misri Kifalme Kujiunga na Klabu ya Pyramids

SASA ni rasmi kuwa nyota wa Yanga raia wa DR Congo, Fiston Mayele ameondoka rasmi klabuni hapo kwenda nchini Misri...

READ MORE

Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump anakabiliwa na mashtaka mapya ya kumiliki nyaraka zenye siri nzito za serikali huku...

READ MORE

Siri Mpya Ya Gamondi Yafichuka Yanga Aweka Mipango Mipya

WAKATI watu wakiwa wanawaza Yanga ya msimu ujao itakuwaje basi fahamu kuwa kila kitu kimekamilika kwenye mipango mipya chini ya...

READ MORE

Luís Miquissone Ajiapiza Simba, Atupa Kombora Yanga

MARA baada ya kuripoti kambini na kushuhudia nyota wenzake wapya waliosajiliwa, kiungo wa Simba Luis Miqquissone ameibuka na kutamka kuwa...

READ MORE

Kinana Achangisha Milioni 300 Ujenzi wa Ofisi ya CCM Mkoa wa Simiyu – Video

Makamu Mwenyikiti wa Chama cha Mapinduzi Bara Ndugu Abdulrahman Kinana ameongoza harambee ya uchangiaji wa fedha kwa ajili ya ujenzi...

READ MORE

Rais wa Russia Vladmir Putin Atoa Nafaka ya Bure kwa Nchi Sita za Afrika

Rais wa Russia Vladmir Putin siku ya Alhamisi alitoa nafaka ya bure kwa nchi sita za Afrika alipokuwa akizindua mkutano...

READ MORE