×

Mbeya yafurika banda la Lake Gas Nanenane

Wakazi wa Mkoa wa Mbeya wamefurika katika banda la kampuni ya Lake Gesi lililopo katika viwanja vya nanenane mkoani humo...

READ MORE

Kijana Anayedaiwa Kulawitiwa Na Dr Kumbuka Amwaga Ukweli Wote -Video

Kijana anayedai kufanyiwa ukatili wa kingono kwa kulawitiwa na mtangazaji na mshereheshaji mwenye jina mjini, Dkt. Kumbuka amefunguka na kuelezea...

READ MORE

Mtumiaji wa intaneti ahukumiwa kifungo cha miaka mitano jela kwa kumkosoa mfalme wa Morocco

Mtumiaji wa intaneti raia wa Morocco amehukumiwa kifungo cha miaka mitano jela kwa kumkosoa mfalme kwenye mtandao wa Facebook juu...

READ MORE

Kiongozi wa Mapinduzi Niger Apinga Shinikizo la Kurejesha Utawala kwa Rais Bazoum

Kiongozi wa mapinduzi nchini Niger Jumatano amesema utawala wa kijeshi hautatishwa na shinikizo la kumrejesha madarakani Rais Mohamed Bazoum, na...

READ MORE

Kocha wa Yanga Gamondi Amsuka Upya Mrithi Wa Mayele

MIGUEL Gamondi Kocha Mkuu wa Yanga anaendelea kumsuka upya mrithi wa mikoba ya, Fiston Mayele ambaye ni Kennedy Musonda. Mayele...

READ MORE

Maxi Amchomoa Aziz Ki Yanga Kucheza Namba 10, Kocha Afunguka

RASMI Kocha Mkuu wa Yanga Muargentina, Miguel Gamondi atamtumia Mkongomani Maxi Mpia Zengeli kucheza namba 10 na siyo winga tena...

READ MORE

Mtoto Miezi 6 Kilio Tu Kitandani, Baba, Mama Hawalali, Aomba Kusadiwa Tatizo Lilianzia Shule – Video

Mtoto Doreen Sudi (10) mkazi wa Kitunda Kinyatira yupo katika maumivu makali sana, nah ii ni baada ya kusumbuliwa na...

READ MORE

Kampuni ya Societe Petroliere Kutoka Rwanda Yatua Tanzania

KAMPUNI ya Societe Petroliere Rwanda, imepiga hatua kubwa kwa kufungua tawi la kwanza nchini Tanzania, ikiashiria dhamira yake ya kuwa...

READ MORE

Mishy – “Nilimzalia Mwanaume Ili Niachane Naye, Huwezi Kuamini, Lakini Huyo Ndiye Mimi” – Video

Kwenye Exclusive ya Imelda Mtema leo tupo na Robinha almaarufu Mishy, mwigizaji mwenye jina lake town. Amesema eti alimzalia mpenzi...

READ MORE

Simba: Tutatangaza Ubingwa Bara Kabla Ya Mechi 5

SALIM Abdallah ‘Try Again’ ambaye ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba amewaambia mashabiki wa Simba kuwa wajiandae kufurahia...

READ MORE

Exclusive Video: Abdulrazak Afichua Mazito ya Diva, Shida Ya Kupata Mtoto

Habari iliyotoa mshtuko kwenye ulimwengu wa mastaa wa Bongo usiku wa kuamkia Januari 13, 2023 ni kuhusu sintofahamu ya ndoa...

READ MORE

Papa Francis akutana na waathirika wa Unyanyasaji wa Kingono katika Mkutano wa Vijana Katoliki Duniani

Papa Francis Jumatano Agosti 2, 2023 alisema kanisa katoliki linahitaji “kujitakasa kwa unyenyekevu na kwa muda mrefu” ili kukabiliana na...

READ MORE

Waziri Mkuu wa Canada Atangaza Kutengana na Mkewe Sophie Grégoire

Waziri Mkuu wa Canada, Justin Trudeau ametangaza kutengana na mkewe Sophie Grégoire (48) baada ya kudumu naye kwenye ndoa kwa...

READ MORE

Alikiba Aachia Wimbo wa Simba (Mnyama), Kupiga Bonge la Shoo Kwa Mkapa

Rasmi Staa wa Muziki wa Tanzania na Afrika, AliKiba ‘King Kiba’amehamia Simba na Agosti 6, 2023 atakuwa mtumbuizaji mkuu katika...

READ MORE

Dkt. Mpango Aiopongeza NBC Utoaji Elimu ya Fedha, Mikopo kwa Wakulima, Atoa Wito.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa taasisi za fedha nchini...

READ MORE

Mbunge Chelehani Ampa Tano Rais Samia Miradi ya Maendeleo

Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Wilaya ya Kahama Mkoani Shinyanga Dkt Emmanuel Cherehani amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

READ MORE

Aunty Ezekiel- “Mimi Ndiye Msanii Mwenye Ngozi Nzuri Zaidi, Ndoa Kwangu Hapana”- Video

Msanii wa Bongo Movie Aunt Ezikiel maarufu kama Mama Nono ameiambia Global Tv kuwa hakumsanii yeyote hapa Bongo anayemfikia kwa...

READ MORE

#Exclusive: Nakaaya Sumari Afunguka Kichapo Cha Ndoa Kilivyomtesa Mpaka Kutuma Ujumbe Mitandaoni – Video

Mwanadada Nakaaya Sumari kupitia Exclusive Interview aliyofanya na Global TV, amefunguka kuwa wanawake wengi wanateseka sana katika ndoa na hata...

READ MORE

Mc Luvanda: Nyumbani Kwangu Ukoko Hautupwi, Pesa Haitafutwi Inavutwa – Video

KWENYE HARD TALK ya Mtumishi wa Mungu na Mwandishi wa vitabu nchini Lilian Mwasha amepiga stori nyingi na MC Luvanda...

READ MORE

Maxi, Skudu Wabebeshwa Mzigo Mzito Yanga Wapelekwa Gym

ALIYEKUWA mshambuliaji wa Yanga, Mkongomani, Fiston Mayele, amesema anaamini usajili uliofanywa na timu hiyo, unatosha kabisa kutetea makombe yote ya...

READ MORE