×

Biashara United Hatihati KumaLiza Ligi, Hali Ni Tete Waomba Msaada

Katika hali isiyokuwa ya kawaida Afisa mtendaji mkuu wa timu ya soka ya Biashara United ya mkoani Mara Mariam Lima...

READ MORE

Timu ya Wasichana ya Fountain Gate Yaibuka na Ubingwa wa Bara la Afrika

Timu ya Wasichana ya Shule ya Sekondari ya Fountain Gate ya Dodoma, imeibuka mabingwa wa mashindano ya soka ya shule...

READ MORE

Watu Kadhaa Wahofiwa Kufariki Baada ya Basi la Burudani Kuacha Njia na Kugonga Daladala

Watu kadhaa wanahofiwa kupoteza maisha na wengine kujeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya Burudani lililokuwa likitokea mkoani Tanga, kugongana...

READ MORE

Ripoti ya CAG Haionyeshi Kama Ufisadi Umezidi Nchini, Kilichozidi ni Uhuru

Ripoti za Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Serikali (CAG) zimeibua mjadala mkubwa na mpana nchini tangu zitolewe hadharani siku chache...

READ MORE

Watu 10 Wafariki Dunia Baada ya Lori Kuvamia Kituo cha Waendesha Bodaboda

  Takribani watu 10 wamefariki dunia katika ajali mbaya iliyotokea asubuhi ya leo, April 8, 2023 katika eneo la Migori...

READ MORE

Wamiliki Wa Malori Wafunga Safari Kufuatilia Kilichokwamisha Malori Yao Zambia Na Congo DRC

Dar es Salaam, 8 Aprili 2023: Wamiliki wa malori nchini kupitia chama chao cha TAMSTOA, leo wamezungumza na wanahabari kwenye...

READ MORE

Mbrazil: Simba Tulieni, Tunaenda Nusu Fainali Ligi ya Mabingwa Afrika

MBRAZIL wa Simba, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ jeuri, ndivyo unavyoweza kusema kwani licha ya kupangwa dhidi ya Wydad Casablanca ya Morocco...

READ MORE

#Exclusive Video: Tariq Aliyemwagiwa Tindikali -“Mke Wa Mtu Hahusiki, Polisi Wanamjua Mtuhumiwa, Nisaidie”

Tariq Kipemba ni kijana wa Kitanzania ambaye mwaka mmoja uliopita aliripotiwa kumwagiwa tindikali na mtu aliyekuwa kwenye bodaboda mjini Moshi...

READ MORE

Mayele: Rivers Wamejileta, Hatuwaachi Hao Kombe la Shirikisho Afrika

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Fiston Mayele amewasikia wapinzani wao watakaokutana nao katika hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika,...

READ MORE

Sherekea Pasaka na Chapride Watoa Punguzo la Tsh 3000 kwa Kila Safari

Katika msimu huu wa Pasaka, kampuni ya usafiri wa kimtandao ya Chapride, inakuletea bonge la ofa la punguzo la nauli...

READ MORE

Rubani Atua Ghafla Baada ya Kuona Nyoka ‘Cobra’ Ndani ya Ndege, Apongezwa

Rubani wa Afrika Kusini, Rudolf Erasmus ambaye alitua kwa dharura baada ya kugundua nyoka mwenye sumu kali aina ya cobra...

READ MORE

Wikiendi Yenye Odds Kubwa ndio hii Unaweza kuwa Mshindi wa Tsh Milioni 85 za Jakipoti

Wikiendi ya kishua na Meridianbet imeanza tangu Ijumaa na itaenda mpaka Jumapili, kwa Odds kubwa mechi zote unazipata ikumbukwe Liverpool...

READ MORE

#Exclusive Video: Mtoto Wa Nabii Geordavie Monica Afunguka Kushiriki Umiss, Ndoa, Familia, Kazi…

Binti Wa Mtumishi wa Mungu Nabii Gerodavie, Monica amefanya mahojiano na Global TV Online na kufunguka maisha yake, ndoa na...

READ MORE

Mshambuliaji wa Simba Jean Baleke Hakamatiki, Amkalisha Musonda wa Yanga

USAJILI wa Simba kwa mshambuliaji Mkongomani, Jean Baleke umeonekana kuwa bora zaidi ya straika wa Yanga, Mzambia, Kennedy Musonda. Hiyo...

READ MORE

Rais wa zamani wa Mauritania Akana Mashtaka ya Ufisadi Dhidi Yake

Rais wa zamani wa Mauritania Mohamed Ould Abdel Aziz Aprili 6, 2023 amekanusha mashtaka ya ufisadi na kujitajirisha kwa njia...

READ MORE

Yanga Yasogezewa Ubingwa wa Kombe la Shirikisho Afrika

LICHA ya kikosi cha Yanga kutinga kwa mara ya kwanza hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, lakini...

READ MORE

Ndege Ya KLM Kushindwa Kutua Uwanja wa KIA Serikali Yatoa Tamko -Video

Kufuatia kushindwa kutua kwa ndege ya Shirika la KLM katika Uwanja wa Kimataifa wa Kilimanjaro wa KIA na kwenda nchini...

READ MORE

Helikopta ya Kisheshi ya Japan Yatoweka Kwenye Bahari Karibu na Taiwan

Walinzi wa bahari wa Japan wanaendelea na operesheni ya kutafuta na kuokoa ndege ya helikopta ya kijeshi iliyotoweka kwenye mitambo...

READ MORE

Simanzi! Wanandoa Waliofariki Kwa Ajali Ya Kugonga Kichwa Cha Treni Wazikwa Sinza, Ndugu Wasimulia – Video

Simanzi imetawala Aprili 06, 2023 wakati wa maziko ya aliyekuwa Mhandishi wa Wizara ya Maji, Hussein Chilala na mkewe, Furaha...

READ MORE

Meridianbet Yazindua Duka la Kubashiri Posta Jijini Dar

Jijini Dar es salaam kunazidi kupambwa na rangi nyekundu ya Meridianbet ambapo maduka kibao yanazidi kuzinduliwa kila mwezi na sasa...

READ MORE