×

Huzuni! Mama Asimulia Alivyolipukiwa Na Bomu Kisha Kunusurika Kifo – “Sasa Nimekuwa Mlemavu”-Video

  Mwanamke aliyeathiriwa na vita aitwaye Charlotte Vimana kutoka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amesimulia jinsi bomu lilivyolipuka na...

READ MORE

Mayele, Musonda waipa jeuri Yanga Kuvaana na Geita Gold Uwanja wa Azam Complex leo

KIWANGO bora kinachoendelea kuoneshwa na Yanga katika mashindano mbalimbali msimu huu, kimemuibua Rais wa Yanga, Injinia Hersi Said ambaye ameweka...

READ MORE

Mstahiki Meya Ubungo Azitaka Taasisi Kuiga Mfano wa DCB Uboreshaji wa Elimu

Mstahiki Meya wa Ubungo azitaka ya taasisi mbalimbali kuiga mfano wa  Benki ya DCB uboreshaji wa elimu nchini. Mstahiki Meya...

READ MORE

Suma Mnazaleti Arudi Kwa Kasi, Amchana Alikiba Kushoot Coco Beach – “Mobeto Siyo Mwimbaji Mzuri” -Video

Suma Mnazareth, msanii wa kitambo wa Bongo Fleva, amemshukia Hamisa Mobeto na kueleza kwamba licha ya kuwa anapata ‘views’ nyingi...

READ MORE

Rais Samia Ampandisha cheo Jumanne Muliro kuwa Kamishna Msaidizi Mwandamizj wa Polisi

  MKUU wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Camillus Wambura, amesema Rais Samia Suluhu Hassan, amempandisha cheo Kamanda wa Polisi...

READ MORE

Mwanamuziki Costa Tsobanoglou Maarufu CostaTitch Afariki Dunia Ghafla

Mwanamuziki kutoka nchini Afrika Kusini, Costa Tsobanoglou maarufu CostaTitch (28) amefariki dunia ghafla baada ya kuanguka jukwaani wakati akifanya shoo,...

READ MORE

Vodacom Yajenga Minara 227 Ya Mtandao Wa 5G Nchini

Dar es Salaam – Machi 10, 2023. Katika kufanikisha adhma yake ya kuwaunganisha watanzania na teknolojia ya mawasiliano na kuboresha...

READ MORE

Simba: Horoya Watakutana Na Kitu Kizito Uwanja wa Mkapa, Machi 18

UONGOZI wa Simba umebainisha kuwa wapinzani wao Horoya AC kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika watakutana na kitu kizito...

READ MORE

Kesi Kina Mdee: Dk. Lwaitama Asema Atatetea Uanachama Wao Wakiachia Ubunge

MJUMBE wa Bodi ya Wadhamini ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Prof. Azavel Lwaitama, amesema atakuwa wa kwanza kuwatetea...

READ MORE

Watu Zaidi ya 150,000 wako Hatarini Wakati Kimbunga Freddy Kikikaribia Msumbiji

Mamlaka ya Msumbiji inasema watu 158,000 wanaweza kuathiriwa na Kimbunga Freddy katika kitovu chake katika jimbo la kati la Zambezia....

READ MORE

Yanga, Winga Bamako Mambo Safi Wafanya naye Kikao cha Siri

KWA mara ya pili Kocha Mkuu wa Yanga, Mtunisia Nasreddine Nabi amekutana na winga Real Bamako ya nchini Mali, Cheickna...

READ MORE

Mme Adaiwa Kumuua Mkewe Kisha Kumzika Chumbani Chini Ya Kitanda Tabora

Mwanamke aitwaye Salma Maulid mkazi wa Mtaa wa Mbilani Kata ya Kidongo Chekundu Manispaa ya Tabora, ameuawa na mtu anayedaiwa...

READ MORE

Unambiwajee Unapocheza Sloti Ya Aviator-Meridianbet Unapata Mizunguko 500 Ya Bure Kila Siku

Haijawahi kuwa kinyonge pale Meridianbet wanapoanzisha jambo lao, mwezi huu tena wamekuja na sloti ya Aviator, ndani ya Kasino ya...

READ MORE

Rais wa China, Xi Jinping Achaguliwa Tena Kuongoza kwa Muhula wa Tatu

Rais wa China, Xi Jinping amechaguliwa tena leo Ijumaa Machi 10, 2023 kuwa Rais wa China ambapo ataiongoza Nchi hiyo...

READ MORE

Gavana wa Taliban wa Jimbo la Balkh Afghanistan Auawa katika Shambulio

Gavana wa Taliban wa jimbo la Balkh kaskazini mwa Afghanistan ameuawa katika shambulio la kujitoa mhanga linalodaiwa na kundi la...

READ MORE

Simba Watamba Kuchukua Pointi Tatu Mapema kwa Mtibwa kesho Uwanja wa Manungu

“KAMA hakutakuwa na hali ya mvua katika Uwanja wa Manungu, basi tunaiomba Mtibwa Sugar isalimishe pointi zetu tatu mapema kabla...

READ MORE

Kocha Nabi Acharuka Yanga, Amshukia Fiston Mayele Kisa Real Bamako – Video

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi ameweka wazi kuwa hakufurahishwa tabia ya ubinafsi iliyokuwa ikifanywa na mshambuliaji wa timu hiyo,...

READ MORE

Exclusive: Ezden Jumanne Afichua Kuwa Na Wake Wawili – “Msimtie Ubaya Didah, Sikulogwa” I Mapito

MTANGAZAJI maarufu kupitia Runinga na Online TV, Ezden Jumanne, amefungukia ndoa na aliyekuwa mke wake, Khadija Shaibu ‘Dida’ kuwa imemfunza...

READ MORE

Watu kadhaa Wafariki kwa Kupigwa Risasi kwenye Jumba la Jehovah Witness Ujerumani

Watu kadhaa wameuawa kwa kupigwa risasi kwenye jumba la mikutano la Jehovah Witness katika jiji la Hamburg kaskazini mwa Ujerumani....

READ MORE