×

Kocha wa Simba Atamba Saido Karudi, Raja Hawatoki Uwanja wa Mkapa

KOCHA wa Simba, Mbrazil Roberto Oliveira ‘Robertinho’ amefunguka kuwa, watakuja kuzifunga timu zote kwenye Uwanja wa Mkapa wakianza na Raja...

READ MORE

Kocha wa Yanga Ategua Mitego Ya TP Mazembe Hataki Kurudia Makosa Waliyoyafanya Tunisia

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mtunisia, Nasreddine Nabi amesema kuwa hataki kurudia makosa makosa matatu waliyoyafanya dhidi ya US Monastir ya...

READ MORE

Rais Buhari wa Nigeria Aongeza Muda wa Kubadilisha noti ya 200 ya Naira kwa siku 60

Rais wa Nigeria Buhari ameiagiza Benki Kuu kuachilia noti za kale za 200 za naira tena katika ili kutumiwa sambamba...

READ MORE

Wanawake Watatu Wapatikana Hai siku Tisa Baada ya Tetemeko la Ardhi Uturuki

Siku tisa baada ya maafa ya tetemeko la ardhi Uturuki, wanawake watatu na watoto wawili wamepatikana wakiwa hai. Melike Imamoglu...

READ MORE

Leo Kitawaka FC Barcelona vs Manchester Utd Pata Odds Kubwa na Bomba kutoka Meridianbet

Pata Odds kubwa na bomba kutoka Meridianbet mabingwa wa ubashiri na kasino ya mtandaoni, Leo Ligi ya Uropa na Europa...

READ MORE

Fei Toto Apata Ajali, Avaana Uso Kwa Uso Na Bodaboda, Gari Lake Laharibika – Video

Mchezaji wa Yanga na Timu ya Taifa ya Tanzania, Feisal Salum Abdallah (Fei Toto) amepata ajali mchana wa leo Februari...

READ MORE

Video: Rais Samia Awaapisha Waziri Mpya Wa Michezo, Pindi Chana Na Wenzake, Ikulu Dsm

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Viongozi wateule leo tarehe 15 Februari, 2023 Ikulu jijini...

READ MORE

Wanafunzi 32 Wanusurika Kifo Baada ya Kula Matunda Yanayodaiwa Kuwa na Sumu

  WANAFUNZI 32 wa darasa la awali katika Shule ya Msingi Mkomo, Kata ya Chawi Halmashauri ya Mji wa Nanyamba...

READ MORE

Chuo Cha Teknolojia Cha India Kuanzishwa Nchini Tanzania

Serikali ya India inatarajia kuazisha Chuo cha Teknolojia (Indian Institute of Technology) nchini Tanzania ambacho kitakuwa kinatoa kozi ya masuala...

READ MORE

Msanii AKA Kuzikwa Jumamosi, Baba Yake Afunguka, Kuagwa Ijumaa Ukumbi wa Sandton Convention Centre

Familia ya rapa mkubwa nchini Afrika Kusini aliyeuawa kwa kupigwa risasi, Kiernan Forbes almaarufu AKA imetoa taratibu za mazishi za...

READ MORE

Sakata La Fei Toto Lamuibua Kigogo Serikalini, Afunguka Mazito Kumaliza Suala Hilo

KUFUATIA sintofahamu iliyopo kati ya uongozi wa Yanga na kiungo Feisal Salum ‘Fei Toto’ limemuibua Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo...

READ MORE

Nikki Haley Ajitosa Kumvaa Trump Urais Marekani Kupitia Chama cha Republikan

GAVANA wa zamani wa jimbo la South Carolina, Nikki Haley amesema kwamba atawania uteuzi wa mgombea urais wa Marekani kupitia...

READ MORE

Raja Casablanca Wawekewa Ulinzi Mzito Uwanja wa Benjamin Mkapa

KIPIGO cha nchini Guinea ni kama kimewashtua mabosi wa Simba baada ya kuamua kuweka ulinzi mzito kwenye Uwanja wa Benjamin...

READ MORE

Jean Baleke na Clatous Chama Wakabidhiwa Waarabu Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar

KOCHA Msaidizi wa Simba, Juma Mgunda amefichua kuwa, wamekuwa katika maandalizi mazito kuelekea katika mchezo ujao wa Ligi ya Mabingwa...

READ MORE

Marekani Haijapata Uthibitisho wa Vyombo Ilivyotungua ni vya Ujasusi

Serikali ya Marekani, Jumanne imesema kwamba mpaka sasa haina uthibitisho kwamba vyombo vinne vilivyotunguliwa angani wiki iliyopita katika anga la...

READ MORE

Pia Premium mzuka mpya wa Kasino ya Mtandaoni Meridianbet

Meridianbet wameongeza gemu mpya na rahisi kushinda inayokupa mizunguko kibao na bonasi nyingi kutoka Kasino ya mtandaoni kutoka Meridianbet ni...

READ MORE

CTI Yaomba Malighafi Zinazoingia Tanzania Zisitozwe Kodi

SHIRIKISHO la Wenye Viwanda Nchini (CTI), limeiomba serikali kupunguza au kuondoa  kodi kwa malighafi zinazotoka nje ya nchi kwaajili ya...

READ MORE

Rais Samia Apangua Mawaziri, Makatibu Wakuu Wizara ya Michezo na Wizara ya Maliasili na Utalii

Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko ya mawaziri katika Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo pamoja na Wizara ya Maliasili...

READ MORE

GGML Yagawa Tani 23 Mbegu za Alizeti kwa Wakulima Geita

  KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited. (GGML) imesambaza tani 23 za alizeti katika Halmashauri ya Wilaya ya Geita, Halmashauri...

READ MORE

Chapride Yazinduliwa Rasmi Valentine’s Day, Yatoa Ofa ya Usafiri Kwa Wapendanao

  Kampuni ya Usafirishaji wa Abiria Mtandaoni ya Chapride, leo imezinduliwa rasmi jijini Dar es Salaam, zoezi ambalo limekwenda sambamba...

READ MORE