×

Msanii Albino Flani Afariki Akiwa Marekani, Wasanii Wenzake Wamlilia – Video

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva na mwanaharakati wa kutetea haki za watu wenye ulemavu wa ngozi, Babu Sikare almaarufu...

READ MORE

Tetemeko la ardhi Uturuki: Juhudi za Uokoaji Zinaendelea huku idadi ya Waliokufa Ikiwa ni zaidi ya 12,000

Idadi ya vifo kutoka nchi zote mbili ilitarajiwa kuongezeka kwani mamia ya majengo yaliyoporomoka katika miji mingi yamekuwa makaburi ya...

READ MORE

Safiri Bure siku ya Valentine na Umpendaye! Download Application ya CHAPRIDE Kwenye Simu Yako

Chapride itakusafirisha wewe na umpendaye BURE kwenda sehemu yoyote ndani ya Jiji la Dar es Salaam. Mpeleke umpendaye popote unapopataka...

READ MORE

Expanse Studios na Meridianbet Kuja na Sloti Mpya

Expanse Studios, mtengeneza programu anayekua kwa kasi zaidi katika michezo ya kasino mtandaoni ambayo mingi unaipata Meridianbet Kasino ya Mtandaoni,...

READ MORE

Man City Hatihati Kushushwa Daraja Kutoka Ligi Kuu ya England au Kukatwa Pointi

MANCHESTER City huenda ikakabiliwa na adhabu ya kushushwa daraja kutoka Ligi Kuu ya England au kukatwa pointi kwa kosa la...

READ MORE

Ramaphosa Akiri Tatizo la Umeme Afrika Kusini Limeathiri Sekta ya Madini

Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa anasema tatizo la umeme limeathiri kwa kiwango kikubwa sekta ya madini, nguzo muhimu ya...

READ MORE

Baada Ya Kuweka Rekodi… Kocha Mkuu wa Yanga Afichua Siri Yanga

NASREDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga, ameweka wazi kuwa, siri ya kupata ushindi kwenye mechi tisa mfululizo za Ligi Kuu...

READ MORE

Kocha wa Al Hilal ya Sudan Florent Ibenge Aitabiria Makubwa Simba Kimataifa

BAADA ya juzi Jumapili kuiongoza Al Hilal kuilazimisha Simba sare ya bao 1-1 kwenye mchezo wa kimataifa wa kirafiki, Kocha...

READ MORE

Tetemeko la Ardhi Uturuki na Syria: Idadi ya Waliofariki ni Zaidi ya 8,700

Zaidi ya watu 8,700 wanadaiwa kufariki nchini Uturuki na Syria kufuatia tetemeko la ardhi la Jumatatu. Idadi ya vifo nchini...

READ MORE

Tetemeko Uturuki: Golikipa wa Malatyaspor Ahmet Turkaslan Afariki Dunia

Mlinda mlango wa Uturuki Ahmet Eyup Turkaslan amefariki dunia kufuatia tetemeko la ardhi lililotokea Jumatatu nchini kwao, klabu yake ya...

READ MORE

Fursa hii hapa… Je, wewe ni Mwalimu wa Shule ya Msingi au Sekondari Unayeishi Dar?

Ukijiunga na Chapride Tanzania, kampuni ya usafirishaji abiria na huduma nyingine kwa njia ya mtandao, utapata fursa ya KUPATA MKOPO...

READ MORE

Baada ya Kuhangaika Sana, Hivi Ndivyo Nilivyofanikiwa Kupata Mchumba na Kumuoa

Vijana wengi huwa tunapitia changamoto mbalimbali katika kipindi cha kutafuta wenzi (mke au mume) maisha kutokea na baadhi ya wenzetu...

READ MORE

Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana Kuendesha Mafunzo Maalum ya Leseni Jijini Dar

  Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana Nchini (CMSA), kwa kushirikiana na Taasisi ya Charted Institute for Security and...

READ MORE

Watu Saba Kusepa Dubai Kula Raha, Ni Kupitia Kampeni ya NMB MastaBata ‘Kote Kote’

  Kampeni ya kuhamasisha matumizi ya NMB mastercard na QR Code ‘Lipa Mkononi’ iitwayo NMB MastaBata ‘Kote Kote’, imefikia ukomo...

READ MORE

Wahandisi GGML Wafanya Ziara ya Mafunzo Daraja la Kigongo – Busisi

      KUNDI la wahandisi 40 kutoka kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) wametembelea daraja la Kigongo-Busisi linalounganisha...

READ MORE

Airtel Kutoa Gawio La Faida Ya Tzs 1.6 Bilioni Kwa Wateja Na Mawakala Wa Airtel Money

Dar es Salaam, Jumatano 8 Februari 2023:  Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania leo imetangaza kutoa faida ya...

READ MORE

Sheikh Alhad Mussa Alivyokabidhi Ofisi Kwa Sheikh Mkuu Mpya Wa Dar – Video

Aliyekuwa Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa leo amekutana uso kwa uso na Sheikh Mpya wa Dar...

READ MORE

Ally Kamwe Afunguka Ratiba Ya Yanga Kuelekea Tunisia Michuano Ya Caf – Video

OFISA Habari wa Yanga, Ally Kamwe leo Februari 7, 2022 amesema kuwa kocha mkuu wa timu hiyo, Nasreddine Nabi hatokuwa...

READ MORE

Mbatia Akwaa Kigingi, Mahakama Yawatambua Wajumbe Wapya wa Bodi NCCR-Mageuzi

MAHAKAMA Kuu, Masjala Kuu ya Dar es Salaam, Februari 6, 2023 imetoa uamuzi wa kuwatambua wajumbe wapya wa Bodi ya...

READ MORE

Bernard Morrison Yamkuta, Aondolewa Miezi Miwili na Kocha wa Yanga

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga Mghana, Bernard Morrison ameondolewa katika mipango ya Kocha Mkuu wa timu hiyo, Mtunisia Nasreddine Nabi kutokana...

READ MORE