×

Simba Yamtambulisha Kocha Mpya Raia wa Brazil Akitokea Vipers (Picha +Video)

Simba leo Januari 3, 2023 imemtangaza rasmi kocha wake mpya, Roberto Oliveira (69) kama kocha mkuu mpya klabuni hapo baada...

READ MORE

CAF Yampasua Kichwa Nabi Yanga, Atoa Tamko Kuelekea Kombe la Mapinduzi

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi, amefichua kuwa, licha ya ushiriki wao katika Kombe la Mapinduzi, lakini mipango na mikakati...

READ MORE

Wabunge Wahukumiwa Kifungo cha miezi 6 Jela kwa Kumshambulia Mwenzao

MAHAKAMA nchini Senegal imewahukumu wabunge wawili siku ya Jumatatu kifungo cha miezi sita jela kwa kosa la kumshambulia mwenzao aliyekuwa...

READ MORE

Wabunge Marekani Kumchagua Spika Mpya, Kevin McCarthy wa California Atajwa

Kikao cha 118 cha Bunge la Marekani kinafunguliwa rasmi leo Jumanne na matarajio yakiwa mengi. Jambo kubwa linalotupiwa macho zaidi...

READ MORE

Nyota Waliufunga Mwaka Kwa Kishindo Baada ya Kufanya Vizuri Ligi Kuu

SIKU TATU tayari zimeshameguka tangu ulipoingia mwaka 2023, lakini bado stori za mwaka 2022 zinaendelea kubamba sehemu mbalimbali. Kwenye Ligi...

READ MORE

Djigui Diarra Bado Yupo Sana kwa Wananchi Aongeza Mkataba Mpaka 2024/25

GOLIKIPA bora wa Ligi Kuu ya NBC msimu uliopita, Djigui Diarra bado yupo sana kwa Wananchi. Hii inakuja baada ya...

READ MORE

Dubai Yafuta 30% ya Ushuru wa Pombe na Ada ya Leseni Kukuza Utalii

Dubai imefutilia mbali ushuru wake wa 30% wa pombe katika jitihada za kuimarisha utalii. Pia itaacha kutoza leseni za pombe...

READ MORE

Familia ya Watu Sita Yapoteza Maisha Kwenye Ajali Mbaya ya Gari

  Yapo baadhi ya mambo ambayo bora usimuliwe tu! Omba yasikukute. Familia ya watu sita akiwemo baba, Khumbulani Togara, mama...

READ MORE

Visu Vipya Vya Yanga Hadharani Mapinduzi Cup, Luis Miquissone na Bobosi Watajwa

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa utatambulisha majembe mawili mapya kabla ya mchezo wao wa kwanza wa michuano ya Kombe...

READ MORE

Wasafi Washangaza Mashabiki Wamepata Wachumba lakini Ajabu Hakukuwa na Ndoa

WASANII wengi wa lebo ya Wasafi Classic Baby ( WCB) walibahatika kuwa na wachumba lakini ajabu ni kwamba hakukuwa na...

READ MORE

Kaburi la pamoja la watu 18 Lagundulika Libya, Serikali Yawataja Islamic State

Serikali ya Libya, Jumapili imesema wamegundua miili 18 ya watu waliozikwa kwenye kaburi la pamoja katika mji wa kati wa...

READ MORE

Moses Phiri Ajiondoa Simba, Arejea Zambia Kukosekana Mapinduzi Cup

WAKATI wachezaji wa Simba wakiwa wanajiandaa kwa ajili ya kuelekea Zanzibar kushiriki Mapinduzi Cup imebainika kuwa straika wa timu hiyo,...

READ MORE

Feisal Salum Atimkia Dubai Baada ya Kuaga Yanga, Ataja Majukumu Yake Mapya

KIUNGO Feisal Salum ‘Fei Toto’ ambaye hivi karibuni aliaga ndani ya kikosi cha Yanga alichokitumikia kwa miaka minne, ameondoka nchini...

READ MORE

Exclusive: Mama Ashura Afichua Ukweli Ndoa Yake Kuvunjika, Amtaja Ebitoke – Video

KWENYE EXCLUSIVE na Imelda Mtema amepiga stori na mwigizaji wa filamu Bongo, Mama Ashura au Semeni wa Juakali ambaye amefunguka...

READ MORE

Mazishi ya Papa wa Zamani Benedict XVI Yatafanyika Jan 5, Kuongozwa na Papa Francis

Mazishi ya Benedict XVI yatafanyika Alhamisi Januari 5, 2023 na yataongozwa na Papa Francis, Vatican imesema. Kiongozi wa Ujerumani atoa...

READ MORE

Happy New Year Wananchi… Waibuka na Ushindi Dhidi ya Mtibwa Sugar, Aziz Ki Atupia

WANANCHIIIII… Happy New Year 2023. Mashabiki wa Yanga SC, wamepewa zawadi ya mwaka mpya na timu yao baada ya jana...

READ MORE

Irene Uwoya Ataja Kinachomtesa Kutoka Kwa Mpenzi Wake Mpaka Kutoa Machozi

MSANII wa Filamu Irene Uwoya ‘Uwoya’ amesema kuwa, anaweza kulia pale ambapo akishindwa kuelewana na mpenzi wake. Akistorisha mwanamama huyo...

READ MORE

Nmb Sengerema, Chato Watoa Msaada wa Magodoro na Kompyuta

Katika kuunga mkono juhudi za Serikali ya awamu ya sita katika kuhudumia wananchi, Wafanyakazi wa benki ya NMB kutoka matawi...

READ MORE

Papa Benedict XVI Afariki Dunia Akiwa na Umri wa Miaka 95

    Papa wa zamani Benedict XVI amefariki dunia katika makazi yake Vatican, akiwa na umri wa miaka 95, karibu...

READ MORE

Yanga Yawaandalia Dozi Nzito Mtibwa Uwanja wa Manungu leo

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa unahitaji kupata matokeo mazuri dhidi ya Mtibwa Sugar ili waendelee kusalia kileleni mwa msimamo...

READ MORE